hayati Zeyana Seif akipozi na wafanyakazi wenzie wa BBC London enzi za uhai wake. Picha ni kwa hisani ya BBCSwahili.com

Imeandikwa na Mwandishi wa BBC

Zeyana Seif, mwanamke wa kwanza kabisa kusoma habari kwenye redio, katika BBC, hatunaye tena. Amefariki ghafla jana huko London.

Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Solomon Mugera kwa niaba ya shirika la Utangazaji la Uingereza BBC ametoa pole kwa ndugu na jamaa za marehemu.

Akimzungumzia marehemu, Bw. Solomon amesema alikuwa mcheshi na mchangamfu, na daima alikuwa tarari kutoa msaada wowote katika fani ya utangazaji.
Alistaafu mwaka 2005.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema
-----------------------------------------------------------------------------
GLOBU YA JAMII INATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU PAMOJA NA WADAU WOTE WA BBC CHINI YA UONGOZI SHUPAVU WA BW. SOLOMON MUGERA. MOLA AIWEKE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.
-MICHUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. ZEYANA I LIKED ,ADORE YOUR VOICE,GOD KNOWS.I M GOING TO MISS U SOOOOOOOOOOO MUCH ZEY.MAY GOD REST U IN PEACE.YOUR SECRET ADMIRER.

    ReplyDelete
  2. Memories of Those who now have gone
    No matter how the waves of life may toss
    May the Happy times and Memories linger on

    Enfolding us with warmth sublime and sweet
    Imparting solace in our minds and heart
    Remembering our Loved ones we will meet
    For we are only temporarily...apart

    ReplyDelete
  3. new soul has entered heaven
    that is why the angels sing
    To escort them to the throne
    to bow before the King

    In heaven there's a party
    a great big celebration
    Welcoming a new resident
    as they gather in jubilation

    When the gates are opened
    the choirs of angels sing
    Joy has filled the heavens
    as they're presented before the King

    Sorry About Your Loss

    ReplyDelete
  4. Life is here and suddenly gone
    for some it's short, for others long
    The answer lies beyond our reach
    it's for us to learn and not to teach.Sleep peacefully zeyana

    ReplyDelete
  5. Goodbyes are not forever
    And nor is it the end
    When angels come to call away
    A loved one or a friend.

    The empty place that’s left behind
    Within this world we know
    Reminds us just how brief a stay
    We have before we go.

    So when it’s time to bid farewell
    To one we’ll dearly miss
    Let’s just say we’ll meet again

    ReplyDelete
  6. Ina lilahi waina ilahi rajiun...May Allah grant her paradise...Ameen,suma Ameen

    ReplyDelete
  7. Nimejawa na huzuni kweli kwa taarifa za msiba huu.
    Ulale pema Zeyana!
    Tutakukosa!

    ReplyDelete
  8. SI KWELI KUWA NI MWANAMKE WA KWANZA KUSOMA TAARIFA YA HABARI BBC! WAPO KIBAO TYU WALIOSOMA KABLA YAKE!

    ReplyDelete
  9. Anon Dec 31 7:39 Asante kutujulisha au kupinga kuwa hakuwa mwanamke wa kwanza kutangaza Khabari BBC lakini huna la ziada la kusema kwa hayati, aidha kwa wafiwa? zaidi ya kusimama kidete na kukanusha hapa,kifo ni kwa kila mmoja lazima aonje mauti, onyesha angalau rambirambi basiiiii.au mwenzetu uzungu ushakukolea?

    Poleni wafiwa.

    Inna lilah wa-inna illah rajiyn.

    ReplyDelete
  10. Nadhani si uungwana na ubinadamu Natumaini fursa hii kutoa mkono wa pole kwa familia na sekta ya habari za Kiswahili pamoja na washika dau wote wa utangazaji wa habari. Napenda pia kusema kwamba, kuanza kubisha kwanza hakuwa mwanamke wa kwanza kusoma habari BBC, watu wengine ni watu wa ajabu sana yaani daima hufukuta joto la ubishi, kweli jamani katika mazingira kama haya badala ya kuwapa pole kwanza wafiwa halafu baadaye kama un comment yako uto, lakini si kuvamia tu na kuvamia ubishi, tuwe waungwana. Kwa hakika sekta ya habari imepoteza mtu muhimu mno.Natumia fursa hii pia kuungana na wananchi madhulumu wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na wazayuni maghasibu hasa huko Gaza kutokana na mauaji na jinai za kinyama zinazotekelezwa na maadui wa Kizayuni. Nilituma changamoto yangu wadu wajadili mashambulio ya Gaza dhidi ya Wapalestina, lakini kama kawaida nikatiwa kapuni, no sweti iko siku braza michuzi ataacha ukiritimba na ubaguzi.

    ReplyDelete
  11. Natowa pole kwa wafiwa.
    Mimi naomba tubadilike na tuaache kutoa taarifa za uongo kwa marehemu. Huyo bwana alilopinga yuko sawa kabisa. Marehemu hakuwa mwanamke wa kwanza kusoma Taarifa ya habari BBC.Na ukweli utabaki kuwa ukweli.Watanzania huwa mnanikera sana kumsifia mtu akishakufa. Lakini kwa nini tudanganyane.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...