duh! kumbe hata wah. wanapig mikonozzzzzzzz...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Balozi bwana, unajua zito ni mdogo wako wa tano ivi...basi amepata fursa ya kuaminiwa na wananchi...mchizi yupo poa mno, huwa nakutana nae viwanja kama mediteriano, mikadi kule, sometimes maisha club....yani ingekuwa mbele mchizi ni lulu ya maana lkn kibongobongo mafisadi watamrostisha.

    ReplyDelete
  2. Huyu dada ni mzuri, jina kwa wanaomfahamu. Na anafanya shughuli gani?. Ingekuwa sio kelele, ningemuomba Michuzi contacts za huyu dada.

    ReplyDelete
  3. Mimi kwa jinsi ninavyomjua Zitto toka enzi za Tosa chini ya Mkangwa kama Headmaster mpaka Ud enzi za Luhanga,Zitto alikuwa ni mtu wa Mikonooooooz tu jamani......na najua ni mtu wa watu kwa sana tu hakuna kwere kama akina mh. flani wa chama Cha Maji................zi aaha Majita.

    ReplyDelete
  4. anony wa 1:33PM acha tu ule kwa macho!!hapo unamwona misupu,zito na kono la kushoto la zito liko kwa wife wake...sooo kalagha baho mwanakwetu..habari ndo hiyo

    mdau..wits university

    ReplyDelete
  5. BIG UP SANA KAKA ZITO KWA KUJICHANGANYA KILA PANAPOFAA NDIO INAVYOTAKIWA HIYVO MBUNGE KIJANA KAMA WEWE KUWA MTU WETU. DAHAAAAAAAAAAAAA KAKA MICHUZI KABURUDIKA KISHENZI YANI, HALAFU UNAJUWA NINI ZITO CHA....DE.....MA MMTUVUTA WENGI KWA SASA ILA KINACHOTAKIWA SIASA YA KWELI SIO MAZUNGUMZO TU HALAFU UKILAMBISHWA VIJISENTI UNALEWA AAAAAAAAHAAAAAAA AAAAAAA MAFISADI BWANA... WAKIKUITAJI AAAHAA AAHAA AAHAAA LAZIMA UTAKWENDA TUUUU ILA MTU WETU WEWE KAZA BUTI....

    ReplyDelete
  6. Zitto ni mpiga kazi hasa we si unamuona anazeeka kwa kasi sana hasa ukimuangalia machoni. mfano wa watu kama hawa ni Bill Clinton. alionekana kazeeka sana baada kufikiri kwa makini kwa miaka 8. Sasa style kama hizo za mikonozzz zinamuondolea stress mheshimwa maana bado tunamuhitaji sana hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye real "Transparency and accountability in governance of the Country".

    ReplyDelete
  7. ZITTOOOOOOOOO,,
    mambo vp,ivi ujaoa tu au ndo iyo mikonozzzzz
    dah ivi utapataje mke if till now not yet????kazi mkubwaa oooohooo watu wamepidna kweli thiz dayz,,,oa bwana kwani wee padri???
    yan uctusahau washkaji zako wa UDSM basi kijana "mheshimiwa"
    mikonozzzzzzzzzzzzz kama michuzi
    hahahahaaaaa

    ReplyDelete
  8. Mdau uliyegusia enzi za Tosamaganga na Mh Zitto umenikumbusha mbali! Nakumbuka kikosi chetu (Ngido, Malamsha, Theodemiri, Edward na Zitto) katika nondozzz ya EGm pale Tosa! Zitto alikuwa na ndoto za u-Mh tangu Tosa. Poa, tumtakie mema mshikaji wetu Zitto katika kazi yake ya kutuwakilisha.

    ReplyDelete
  9. Mzee Misupu, sasa mbona wewe ndo unaonekana Mh. zaidi hilo koti mzee ulilotinga Kawe tunakuhitaji!

    ReplyDelete
  10. Mmmmh MH. mbona afya gogoro au macho yangu.....

    ReplyDelete
  11. KUNA HUYU MWALIMU MKANGWA ALINIFUNDISHA PHYSICS NA CHEMISTRY FORM ONE NA TWO 1979 NA 1980 MZUMBE SECONDARY NDO YEYE ALIKUWA HEADMASTER TOSA NA LINI HIYO? ALIKUWA ANAJUWA KUFUNDISHA SANA.

    ReplyDelete
  12. Leo ni Leo saa 23:00 Hrs East African Time(EAT) mechi itapoanza, Rafael Benitez anategemea vijana wake waigize maneno yake Benitez kuhusu 'ukweli' dhini ya Sir Alex Ferguson, kwa Everton kufungwa vibaya ktk wanja la Anfield la Liverpool.

    Waingereza wanaliita gemu la leo 'derby' ikiwa na maana timu za kutoka sehemu moja ya Merseyside ya Uingereza, timu za Everton na Liverpool zitapambana kwa ushindani mkubwa.

    Ushindani ni kama wa Yanga na Simba zote toka DSM. Katika familia moja baba-mama mmoja unakuta kuna wanaozaliwa Yanga na wengine Simba.

    Katika mechi hii ni kawaida kadi kibao kutolewa na mwamuzi tena dakika za mwanzo za mchezo.

    Everton watawakosa Yakubu, Saha na Fellani ktk safu ya mashambulizi.

    Liverpool itaanza full muziki wakiwemo Torres, Keane, Kuyt, Alonso.

    ReplyDelete
  13. Mpira umekwisha na matokeo ni kuwa Liverpool 1 Everton 1 katika premier league Barclays Cup. Mechi ilikwisha kipindi cha kwanza bila mabao yoyote.

    Bao la Liverpool lilifungwa na Gerard dakika ya 67 kwa shuti la mbali kama kawaida yake. Hii ilikuwa ni jibu la Liverpool baada ya Anichibi wa Everton kuangushwa ndani ya box la Liverpool na Everton kunyimwa peneti dakika 66.

    Cahill wa Everton alisawazisha ktk dakika ya 86 kwa kichwa kutokana na mpira wa kona. Torres muda mwingi alikuwa ametiwa mfukoni na kufanya madhara machache sana.

    Kwa matokeo hayo ManUtd inaendelea kushika usukani wa premier ligi Barclays Cup kutokana na tofauti ya magoli. Zote ManUTD na Liverpool zina pointi 47.

    Everton watakumbana tena na Liverpool jumapili hii ktk uwanja wa Anfield ktk mechi ya FA cup.

    ReplyDelete
  14. Jackie and Kabwe mmependeza and its nice you are still together, nakukumbuka sana enzi za Ashira girls...mimi ni yule yule tuliyesoma wote kidato kimoja hahahah !!

    ReplyDelete
  15. Its good to see Zitto n Jacky together smilling, sasa lini mnaifanya official
    wadau tunawasubiri tujoin hands in this event!
    Jacky umenenepaaaaaaa!kwa raha zako!

    ReplyDelete
  16. Hakika life is how you make it! Nikikumbuka enzi za campaign za uchaguzi wa 1995; kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Hai ( ), wakati Freeman Mbowe akichuana vikali sana na Marehemu Mwinyihamisi, wakati huo Zitto alikuwa akitujia bwenini night kali kukampaign... Lol! (Sijui kwa nini Freeman alitunyang'anya mipira na Tv aliposhindwa. Sad!) Ulianzia mbali, but thanks, you are causing changes in Tanzania for Tanzanians. Big wow!

    ReplyDelete
  17. Mvutabangi!

    ReplyDelete
  18. Wow nice to see you my beloved sisy wa shule "Ashira" Jacky go gal I am still love you dear and wish u all the best

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...