Proud family: US President Barack Obama greets members of his Britishand African-based family at the White House following hisinauguration, including half-brother Abongo, far left, and stepmotherKezia, in yellow.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. Wale mashombe wawili ni WaTanzania, wanaitwa Ndesanjo. Mama yao ni mzungu mwingine na baba yao ni mwaga mbegu mkuu Obama Sr.

    ReplyDelete
  2. Huyo mama wa kambo ka si ushabiki tu - Obama kamhusu nini...

    ReplyDelete
  3. From Bracknell (and Kenya) to the White House: Barack's family visit
    THESE are the first pictures of Barack Obama inside the White House with his British stepmother.
    Taken the day he was sworn in as President, they show him giving Kezia Obama and the rest of his extended family a tour of his new home.
    Embraced by Mrs Obama, who travelled to Washington DC from her council house in Bracknell, the President proudly posed in an official reception for the family.
    He is also surrounded by his half-brother Abongo, his sister-in-law, niece, nephew and other relatives, who all travelled from Kenya and were in the VIP enclosure for his inauguration in January.
    Mrs Obama, 66, who was married to the President's late father, also named Barack, when they lived in Kenya, wore a traditional African outfit made in Tanzania especially for the big day.Abongo Obama, who flew from the family's ancestral home in Kogelo, western Kenya, just days before, said: "Barack gave us a grand tour of the White House. It was amazing to be in there with him. This is his new home. He has come a long way."
    The 51-year-old accountant, who was best man at the President's wedding, added: "My brother had such a hectic schedule that day, but he still took time out for us."
    Despite sharing the family's jubilation, he told of his fears President Obama could be assassinated.
    "There are crazy people out there, there is always a danger someone will try to hurt him," he said. "That's something I worry about all the time. Security was so tight, yet there were times when he was out there shaking hands with the public and I just saw how exposed he is and it scared me."
    He also revealed how his brother had sent a personal note to the family on official White House stationery once they returned to Kenya. The note read: "To the people of K'Obama - Thank you for the prayers and support!"
    A similar letter was sent to the people of Kogelo, some of whom had travelled to the US for the historic occasion. The President's 86-year-old paternal grandmother Sarah was also in Washington DC for his swearing-in ceremony, as well as his half-sister Auma, 49, and half-brothers Ben, 38, and Abo, 40.
    Mr Obama said: "I am looking forward to going back and staying with Barack at the White House, but it won't ever be the same.
    "We can't just hang out like we used to and sit in a bar with a few drinks catching up. I will miss that and he will too but this was his dream, he knew he had to make certain sacrifices."
    After marrying Mrs Obama, Barack Obama Snr went on to marry President Obama's mother Ann Dunham - an American he met during a scholarship to the United States. He eventually returned to his first wife, with whom he had four children, and died in 1982.
    President Obama first met his Kenyan relatives during a trip to Africa in his twenties, after his father died.
    THESE are the first pictures seen of Barack Obama inside the White House with his family including his British stepmother just hours after he was sworn in as President.
    The family snaps given exclusively to the Standard reveal a private moment when Mr Obama took time out of his busy schedule to show his relatives around his new home.
    Embraced by his stepmother Kezia Obama, who travelled to Washington DC from her council house in Bracknell, Berkshire, the President proudly posed in one of several grand rooms, for the first of many family portraits.
    He is also surrounded by his half-brother Abongo, his sister-in-law , niece, nephew and other relatives, who all travelled from Kenya and were in the VIP enclosure for his inauguration in January.
    Mrs Obama, 66, who was married to the President's late father, also named Barack, when they lived in their homeland of Kenya, wore a traditional African outfit especially made in Tanzania for the big day.
    Pictured on the far left, Abongo Obama, who flew in from the family's ancestral home in Kogelo, western Kenya, just days before, said: "Barack gave us a grand tour of the White House. It was amazing to be in there with him. This is his new home. He has come a long way."
    The 51-year-old accountant, who was best man at the President's wedding, added: "My brother had such a hectic schedule that day but he still took time out for us."
    Despite sharing the family's jubilation he told of his fears President Obama could become an assassination target.
    "There are crazy people out there, there is always a danger someone will try to hurt him, that's something I worry about all the time," said Mr Obama. "Security was so tight yet there were times when he was out there shaking hands with the public and I just saw how exposed he is and it scared me."
    He also revealed how his brother had sent a personal note to the family on official White House stationary once they returned to Kenya. The note read: "To the people of K'Obama - Thank you for the prayers and support!"
    A similar letter was sent to the people of Kogelo, some of whom had travelled to the US for the historic occasion. The President's 86-year-old paternal grandmother Sarah was also in Washington DC for his swearing-in ceremony as well as his half-sister Auma, 49 and half brothers Ben, 38 and Abo, 40.
    Mr Obama said: "I am looking forward to going back and staying with Barack at the White House but it won't ever be the same. We can't just hang out like we used to and sit in a bar with a few drinks catching up. I will miss that and he will too but this was his dream, he knew he had to make certain sacrifices."
    After marrying Mrs Obama, Barack Obama Snr went on to marry President Obama's mother Ann Dunham - an American he met during a scholarship to the United States. He eventually went back to his first wife, with whom he had four children, and died in 1982.
    President Obama first met his Kenyan relatives on a trip to Africa in his twenties after his father had passed away.

    ReplyDelete
  4. wamependeza saana na dgu zake woote. We jammaa wa hapo juu hujui mama wa kambo ni mke wa baba yako kwa hiyo anamhusu hassaa. acha ubaguzi, afrika ni familia kubwa hata mjukuu wa bibi mdogo hujaliwa.

    ReplyDelete
  5. Mdau kaichomoa wapi hiyo picha? Wazungu walikuwa hawataki kuona shungi na vibalagashea. Taifa linalodai kutetea uhuru na demokrasia linaongoza katika udini vilevile. Wakati wa kampeni jamaa alishikiwa bango kwa kudhaniwa kwamba ana imani tofauti na ya kikristo halafu baadae akashikiwa bango kwa kudaiwa kuwa ni mkristo wa imani kali.

    ReplyDelete
  6. Al Musoma
    acha ku hate...unataka kwenda wewe!!??nenda basi uwe mama yake wa kambo
    Mdau Toronto

    ReplyDelete
  7. SASA HAO MASHOMBE WA KITANZANIA AKINA NDESANJO MAMA YAO MZUNGU, KAMA SIKOSEI NI MAMA WA KIZUNGU AMBAYE OBAMA SENIOR ALIMUOA BAADA YA KUTENGANA NA MAMA YAKE BARACK WALIKUTANA HARVARD UNIVERSITY NA ALIKUJA KUWA MWALIMU KENYA AKAACHANA NAE NA KUOLEWA NA NDESANJ SASA HAWA HAWANA UDUGU WOWOTE NA OBAMA THE PRESIDENT KWANI HAWA SI DAMU MOJA.

    ReplyDelete
  8. ACHA UONGO HAWAWEZI KUWA WATANZANIA NA BABA YAO KUWA OBAMA THE SENIOR, ACHA KUDANGANYA WATU, HAO NI WATOTO WA MKE WA KIZUNGU WA PILI WA KIZUNGU WA OBAMA SENIOR ALIMUACHA NA MTANZANIA AAKAOA NA KUPATA HAO WATOTO, WATAKUWAJE WA OBAMA NA WAWE WATANZANIA, MWEEEE.

    ReplyDelete
  9. GodFather,
    Shombe mmoja tu ndio mtanzania. Huyo wa kulia kabisa. Huyo ndio maza mzungu alizaa na yule mbongo. Huyu mwingine Mark baba yake ni Obama Sr lakini alichukua jina la Ndesanjo baada ya yule maza mzungu kumtema Obama Sr.

    Yule mama mzungu alizaa watoto wawili na Obama Sr ambao wanaitwa Mark na David. David alifariki kwa ajali ya gari.

    Nimeshangaa sana kuona Mark alikuja kwenye hii sherehe maana jamaa alikuwa cold sana kwa Barck Obama Jr walipokutana Kenya. Obama mwenyewe anasema kwenye kitabu chake kuwa Mama Mzungu alikuwa anataka kumlingishia jinsi mtoto wake anavyofanya vizuri.Yaani alimualika Obama Jr kwenye ile dinner ili ku compare Mark na Obama Jr.

    Ila hili liwe fundisho kwa wanawake wanapoolewa na njemba nyingine waache kuchange majina ya mwisho ya watoto. Baba ni baba hata baada ya divorce.

    Eniwei, rudia tena kile kitabu kitamu cha Obama cha Dreams From My Father. Kitabu kina drama balaa. Inabidi wakitengenezee movie?

    Faraja

    ReplyDelete
  10. Hata mimi nimeshangaa mama wa kambo????? afadhali angekua baba yake wa kambo aliyemtunzaga huko indonesia.....ndio huyo baba yake aliyempata akiwa anasoma akarudi naye huko kenya au?????

    ReplyDelete
  11. hawa wajaluo bana, mashaka na wewe pia tunakusubiria, naona umeanza za obama. samaki mmekula ndo maana mnadhania mnaenda kutawala dunia nzima?

    ReplyDelete
  12. ujumbe kwa KINA MAMA WA KAMBO WOTE si mnaona mwenzenu kasafiria nyote ya mwenzie hii inaonyesha aliishi vizuri na Obama maana asingemlea vizuri hata kama ni kwa wiki moja ambayo obama alikuwa akienda Kenya.sasa nyie wateseni watoto wa kambo muone,siku wakiwa ma PRESIDA msijikombe kaka wewe mama fulani

    ReplyDelete
  13. hiyo nguo aliovaa mama wa kambo,ni made in tanzania

    ReplyDelete
  14. Kama ni ushabiki, basi hata half - brother anao! Tofauti yake na step mother iko wapi?

    ReplyDelete
  15. Hivi nyinyi watu mnaopinga kuwepo kwa hao ndugu mnaakili kweli.
    Hao ndugu hawakujipeleka pale white House bali walialikwa na Obama mwenyewe sasa nashangaa watu kuandika negative comment kuhusu hao ndugu zake. Watanzania tuacheni kuandika comment za kipuuzi kama huna cha kuandika ni afadhali uache kuandika.

    Mjusi

    ReplyDelete
  16. BRO MICHU INGEKUWA HIKO KIBARAKASHIA KINGEIGIA PALE IKULU YETU BASI WENYE MARADHI KTK MIOYONI MWAO WENGEKADIA SANAA LAKINI NDO HIVYO TENA HADI KWA MZEE OBAMA.BG UP KIBARAKASHIA!

    ReplyDelete
  17. Nimewasoma anonies wote hapo juu na kugundua kuwa nyie ni lagered hamjui lolote.......obama ni msanii kama mjomba ambaye anatakiwa ampatiwe nauli jamaa ili aje amnong'oneze.Wamarekani wataniambia..mjomba nikipata nauli nitakuja ila uache maagizo hapo mlangoni ili wasije wakasema "ririkuwa rinapambana na polisi tukarishinda nguvu".

    ReplyDelete
  18. khaaaaaaaaaaa yani uyo mjaluo alikua anatotoa kila kona??na uyo maza wa kizungu nae utulivu F,,,
    kaaaazi kweli,,,
    sasa ao apo juu wawe wanasubiri tu matunzo toka "white-house"

    hahahaaaaaaa

    ReplyDelete
  19. Watu humu wameandika ujinga mtupu.
    Baba yangu alioa wanawake watano na wote kazaa nao watoto. katika wote alioa watatu waliachana nae na wakaenda wakaolewa na waume wengine. Kumbuka watoto wa baba aliozaa na wale wanawake nawaita wadogo zangu na watoto ambao sio wa baba lakini ni ndugu za wadogo zangu waliozaliwa na mama asiye mama yangu na aliyeolewa baada ya kuachwa na baba pia nawaita wadogo zangu.
    Hivyo hapo kila mtu ni ndugu wa damu na OBAMA. Iwe kwa baba yake Obama SR, au kwa mama yake mzazi, au kwa mke wa baba yake Obama SR, au kwa mke wa zamani wa baba yake. Pia kwa waume wa mama yake pia , watoto waliozaliwa ni ndugu zake pia!!
    Hao woteeee hapo ni ndugu za OBAMA>

    ReplyDelete
  20. Faraja asante. Naomba maelezo zaidi maana hiyo historia siijui pia naomba unielekeze jinsi ya kupata hicho kitabu nipo Kilimanjaro Tanzania

    ReplyDelete
  21. NYIE WATU WA IMANI ZINGINE MNA UFINYU WA KUELEWA MAMBO, BALAKASHIA NA USHUNGI SI UISLAMU NI UTAMADUNI WA MASHARIKI YA KATI HATA WATU WA DINI ZINGINE HUKO HUVAA BALAKASHIA NA USHUNGI HATA HAO WAKIRISTU MNAOWACHUKIA MKIENDA IRAQ AU IRAN MNAWAONA WAMEVAA BALAKASHIA, HATA HAPO BONGO WATU WA DINI ZINGINE HUVAA BALAKASHIA, ACHANI KUONISHA MAVAZI NI DINI.

    ReplyDelete
  22. mambo ya hijabu na vibakashia white house tena jamani. nyie msiingize mchanga kwa kitumbua cha mwenzenu, wazungu hawamchagui tena maana mnajua haya mambo ya dini fulani hayawaingii kabisaaa.

    ReplyDelete
  23. Anonymous wa Tarehe March 03, 2009 10:05 PM, Anonymous

    Aiseh Dreams From My Father ni mojawapo ya kitabu kizuri sana. Barack Obama alikiandika mwaka 1995 . Alipewa book deal wakati anasoma Harvard Law School na kuchaguliwa kuwa Rais wa Harvard Law Reviw.

    Barack Obama Snr aliporudi Kenya alikuwa na maisha mazuri sana. Mwanamke wa kizungu anaeitwa Ruth toka Marekani alimfuata na ndio huyo aliewazaa Mark na David.

    Mzee Obama Snr alianza kuingia kwenye siasa akijiamini kuwa ni mmoja wa wasomi(PhD holder) wachache Kenya. Lakini hakupendezewa na ukabila uliokuwa unaendeshwa na Jomo Kenyatta. Alipoanza kuuliza maswali Jomo akamfukuza Obama Snr kazi na hata kumwekea mizengwe ya kutoweza hata kutafuta kazi nje ya nchi.

    Obama Snr akaanza kunywa pombe na kuwa mlevi wa kutupwa. Ruth Obama akaamua kumuacha na kuolewa na mtanzania Ndesanjo. Aliondoka na hao watoto wake wawili Mark na David. Akawabadilisha majina ya mwisho na wakawa wanatumia Ndesanjo. David alikuwa mbishi na alikuwa hataki kutumia jina la Ndesanjo. Alikuwa hata anatoroka kwa mama yake na kwenda kuishi na Roy ambae ni mtoto wa Kezia Obama(mke mkubwa wa Obama Snr). David alipata ajali ya piki piki alipokuwa anamshughulikia Roy kutoka jela baada ya Roy kugombania mwanamke bar.

    Huyo Ruth Obama alikuwa hataki kabisa kuwasikia akina Obamas. Yaani hata dada yake Obama alishangaa sana alipoona dereva wa huyo mama analeta mwaliko wa dinner baada ya kusikia Obama Jnr yupo Jijini Nairobi.

    Huyo Mark alileta nyodo sana na kusema yeye sio mwafrika. Alimuambia Obama anapoteza muda tu kuja Africa maana Kenya is another fucked up country. Alikuwa hata hataki kumuangalia Obama jnr machoni. Alikuwa anajiona bora sana.

    Eniwei, kitafute hiko kitabu. Umesema uko Kilimanjaro? Ukienda Kenya next time hiki kitabu ni popular sana na kiko kwenye maduka yote ya vitabu. Ukikosa nitafute na nitakutumia.

    Nipe email yako na tutawasiliana.

    Faraja

    ReplyDelete
  24. HAO WANAKAOSEMA KWANINI HUYO MAMA WA KAMBOYUKO KWENYE HIYO PICHA NAFIKIRI NI WANAFIKI. MILA NYINGI ZA KIAFRIKA ZINARUHUSU KUWA NA ZAIDI YA MKE MMOJA. WAKE WOTE KWENYE HIZO FAMILIA HUESHIMIWA NA WATOTO WOTE WA HIZO FAMILIA. OBAMA ALITAMBUA HILO NDIO SABABU AKAMUESHIMU HUYO MAMA YAKE WA KAMBO. WAKATI WOTE OBAMA ALIKUA ANATEMBELEA KENYA HUYO MAMA ALI MTREAT KAMA MTOTO WAKE. JAMANI KAMA MNATAKA KUJUA ZAIDI JUU YA BABA WA NDESANDJO WAULIZENI NDUGU ZAKE SIMON NDESANDJO. WANATOKA MASAMA KILIMANJARO NA FAMILIA YAO INAISHI MAJENGO MOSHI. WENGINE WAKO DAR. SIMON ZAMANI ALIKUA ANAFANYA KAZI NA VOK. WALIISHI KENYA MIAKA MINGI SANA.

    ReplyDelete
  25. Huyo Mark ni mtoto wa Obama Sr. kama President Barack lakini kwa mwanamke mzungu mwengineyo. Huyu yeye akabadilisha jina lake la mwisho - badala ya Obama anatumia Ndesandjo la baba yake wa kambo aliyemlea ambaye ni Mtanzania. Watu acheni uzushi na ubishi wa kijinga. Mxiii.

    ReplyDelete
  26. KAKA HAPO JUU HAO WATU NI WAISLAM SIO TAMADUNI KAKA UNAVYO JUA WEWE NA WANADHIHIRISHA YAKWAMBA HATA KAMA OBAMA ALIBADILIKA KUTOKANA NA MALEZİ SISI NDUGUZAKE NI WAİSLAM NA TUTAENDELEA KUWA WAISLAM NA HUYO ANAESEMA KWAMBA OBAMA HATACHAGULIWA TENA KWA KWAKUA NDUGUZE NI WAISLAM WA MATENDO ANAONESHA JINSI UPEOWAKE NI MDOGO KTK FIKRA ANAKUMBUKA BI HILAR

    ReplyDelete
  27. God bless you Faraja. Nitamtuma rafiki yangu Kenya akikikosa basi nitawasiliana na wewe.Asante

    ReplyDelete
  28. ni kweli baba yake obama alikuwa na wake watano ambapo wawili walikua wazungu. hao watoto wawili ni wa mke wake wa pili wa kizungu. hao watoto wa kichotara mmoja ni wa obama snr na huyo mwingine ni wa ndesanjo. huyo aliyezaliwa na baba yake obama ni half brother wa obama. huyo wa ndesanjo ni step brother wa obama kwasababu uhusiano wao ni vile wazazi wao walikuwa wameoana kakini they are not blood relatives. sasa kama huyo kijana wa ndesanjo ni step brother wa obama hata sisi watanzania tuna uhusiano na obama eeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  29. mashallah hao wengine wote waislam,kwa mana hiyo Obama ni muislam wa kuzaliwa sema ali base kwenye dini ya kikristo kutokana na waliomlea.

    baba yake mzazi ndo wakulaumiwa kumtenga mtoto wake mpaka akapotokwa na kuacha dini yake ya kweli na hakhi dunia nzima.masikini

    mwenyezi mungu awasamehe OBAMA'S

    I LOVE THE DUDE HIS MY CRASH.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...