DMK GLOBAL PROMOTIONS

WAKISHIRIKIANA NA

INTERSTATE ENT, GALLERY LOUNGE NA WKYS RADIO 93.9.

WANAWALETEA

PARTY YA AINA YAKE KUSHEHEREKEA BIRTHDAYS ZA WATU WOTE WALIOZALIWA BETWEEN FEB 20 - MARCH 20-PISCES', PAMOJA NA BASKETBALL MARCH MADNESS NA SPRING BREAK KICK OFF.

SO FAR WATU 620 HAVE CONFIRMED, NA WATU WOTE MNAKARIBISHWA.
YOU NEVER KNOW WHICH CELEBRITY MIGHT SHOW UP
@
GALLERY LOUNGE
1115 EAST WEST HIGH WAY
SILVER SPRING,
MD,
20910

DRESS CODE: LADIES JUST LOOK SEXY, FELLAS PROPER ATTIRE

WATU WOTE FREE, FREE BEFORE 11PM
KAMA UMEZALIWA BETWEEN 2/20 HADI 3/20 FREE KABLA YA 11:30 PM

DRINKS DISCOUNTED UNTIL 12:30.

NAMBA ONE DJ, FROM WKYS RADIO- DJ JOE A. K.A THE CAT DADDY WA TEXAS 101FM RADIO DJ Q STICK

MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU HIZI-
301-661-6207 - DICKEY for DMK GLOBAL
202-492-4545 - DJ JOE for WKYS FM
646-961-8010 - DANY for DJ Q STICK & INTERSTATE ENT
301-589- 2555 - GALLERY LOUNGE
AU VISIT


KWA MAELEZO ZAIDI PIA KUONA EVERYTHING THAT DMKPROMOTIONS HAS TO OFFER,
SEE YOU THERE!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...