Yanga jana ilinyakua kwa mara ya 22 ubingwa wa soka bara kwa kuichapa toto afrika ya mwanza bao 2-1 katika mchezo uliochezwa uwanja wa kirumba na kushuhudia kipa juma kaseja akifunga bao la toka goli hadi goli. Yaani alipiga free-kick toka golini kwake iliyokwenda moja kwa moja kwenye nyavu za toto afrika, jambo ambalo limeingia kwenye historia ya bara
hii inakuwa ni mara ya 22 kwa yanga kuwa mabingwa wa bara
Issa Michuzi mie siipendi Yanga ila naipa pongezi, sasa kuhusu Juma Kaseja Vitu kama hivyo hamna Clip za Ushahidi basi utuwekee tuone?
ReplyDeletePAMOJA NA KASEJA KUWA JUU.BADO MAXIMO ANABANA.KOCHA HUYU AONDOKE.ANATUDANGANYA APETA TIMU SOUTH NANI ATAMCHUKUA LOOSER?
ReplyDeletePIA SOUTH HAWANA MCHEZO AKIPOTEZA MCHEZO HANA KIBARUA SIO KAMA SISI TUNAMUONA KAMA MFALME.
MDAU KISIJU.
Aaaakkhkhhhh...@#%$**!~ Mabingwa hapa bongo tu, wakivuka mipaka aibu. Yafaa SSC iachiwe ifanye kazi inayoiweza na iliyoizoea ya kuiwakilisha nchi kimataifa. SIMBA OYEE!!!!!!
ReplyDeleteKaseja unatisha Braza...!!!. hiyo ni salamu kwa Maximo........!!!.Kuondoka kwako Simba hakufanyi nikuchukie ,Huko juu....!!!
ReplyDeleteTeheee teheeeee.... mimi hata msimamo wa ligi yenyewe sijui upo vipi? Zaidi najua Man utd, Inter na Barcelona wanaongoza ligi majuu .....Michuzi naomba uweke pia msimamo wa ligi tujue nani anashuka daraja pia....
ReplyDeleteHONGERA WAZEE WA TATU BILA (Al alhay wanakuja)
ReplyDeleteKwa wasiojua hizo timu mbili ni sawa na mtu na mkewe kwa hiyo goli la Kaseja halishangazi!!!!
ReplyDeletejamani yule jamaa Obrein kipa mzungu wa Yanga yuko wapi!mbona hamuwakilishi kwenye picha hii ya magwiji wa Yanga?
ReplyDeletetushawazoea yanga wazee wa kununua!!!! tena kwa toto aaah shwari hata kwa mkopo watapewa tu!!!
ReplyDeletehatimaye Mh. Balozi umetuwekea habari yetu, tunashukuru sana. Hongereni kwa wanayanga wenzangu wote. Watani acheni kubana, kubalini matokeo; jaribuni mwakani!
ReplyDeleteYANGA AFRIKA YANGA UMOJA WA MATAIFA!! MABINGWA WA SOKA WA TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI NA KATI EEEEE!!!
ReplyDeleteHata mzee mwenyewe Kabasele Yampanya Peple wa Kale kakubali mavituuz yetu. Mlio na wivu kunyweni sumu!!!
Yanga wazee wa majungu na fitina dah siwawezi!!
ReplyDeleteMTABAKI KUFUNGANA WENYEWE KWA WENYEWE
ReplyDeleteNanukuu moja ya rap za marapa wa bendi nguli ya FM Academia,"Yanga Afrika tuna tesa, Yanga Afrika tuna tesaa....."
ReplyDeleteYanga Oyeee....
Hongereni wana yanga wenzangu kwa ushindi huu...!!
Bahati mmbaya mpira wa miguu siupendi kabisa......Yanga ni timu ya wapi jamani? Mdau MBIJE,A-Kafanabo
ReplyDeletehahaha utawajuwa tu watu wanatafuta watu waseme yanga ni YOUNG African Of Dar-es-salaam au Yanga Afrika ni timu mmoja ya mpira au Kandambili za kuendea chooni. Sasa Video ya Kaseja kapiga bao mbona hakuna? yule Mfundishaji wa Yanga mzungu kasema Bao la Kaseja Mguu wa mungu? wazungu vipi hawa? Mpelekeni Elimu ya Dini.
ReplyDeleteYanga A imeichapa Yanga B...sio mbaya ushindi wa kupeana!! Tuwasikilizie mashindano ya kimataifa mtakapoishia...Simba oyeee!!
ReplyDelete