kamishna wa operesheni wa jeshi la polisi paul chagonja akitoa maelezo muda mfupi uliopita kutoka eneo la tukio mbagala kizuiani a.k.a mbagala zakhem

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. ama kweli mheshimiwa anatowa brief lakini anampa kipa umbele muuliza masuali asiyekuwepo akitumia mobile! heko tanzania!

    ReplyDelete
  2. hii ni mara ya tatu naleta suali hili na haliruhusiwi ku-appear hapa. hivi ni kwa nini watanzania wengi siku hizi wanazungumza kwa kuimba?

    ReplyDelete
  3. POA SANA MICHUZI YOUR CNN WETU, Ilikua inaniumiza sana kwa kukosa habari nilijua MAFISADI wamefanya vitu vyao.

    ReplyDelete
  4. Poleni sana watu wa Mbagara. Mithupu tunasubili picha za tukio lenyewe.

    ReplyDelete
  5. Tume haijaundwa?

    ReplyDelete
  6. Dah,huo msala mkubwa!

    Sijui hatma ya wakazi wa mbagala itakuwaje mtu wangu!

    Ila Serikali inabidi iangalie upya mambo yaliyopitwa na wakati coz kuwa na makambi ya jeshi karibu na makazi ya watu si busara hata kidogo!

    Yes, kipindi yanajengwa jiji lilikuwa halijapanuka kiasi hicho ila inabidi tubadilike na kwenda na wakati.

    Kambi kama Lugalo na nyinginezo kama hiyo ya mbagala zinatakiwa kuhamishiwa haraka iwezekanavyo!

    ReplyDelete
  7. ahasante kaka kwa up date zako ila naisi hali ni mbaya sana make Mbagala watu wnasevu wenyewe kila hapo wizi umetanda isipime kakaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  8. POLENI SANA
    NIMEMSIKIA HAPO AFANDE ANAWAMBIA WATANZANIA WAWE COOL HAHAHAHAHA ANASAHAU WENGI WETU WAOGA KWENYE MPANGO WA KUFANA WENGINE NDIO HIVYO
    POLENI SANA NDUGU ZETU WA MBAGALA

    ReplyDelete
  9. Mdau wa PILI umenifurahisha sana, eti watanzania wanazungumza kwa KUIMBA..hahah mi huwa nashangazwa sana na press conference zao, jamaani kuongea mbele ya waandishi wa habari ni fani nyeti, hebu gawaneni kazi kutokana na uwezo na ujuzi wa kazi, sio kila mtu ni mzungumzaji. generali ulimwengu na hamza kasongo ni mfano bora sana wa kuigwa kwa maswali na majibu.

    ReplyDelete
  10. Hongera sana mzee wa nanihii ila sasa mbona picha zinachelewa au maafande wamekuzuia kupiga picha? au tayari umeshalipukiwa na BoMu maana kimya tokea mda ule fanya mambo kaka sisi tulio mbali tunategemea sana hii blog yako kaka
    Mdau
    Ivory Coast

    ReplyDelete
  11. hongera sana kamichuzi manake kwa sie tuliokuwa mbali na nyumbani tunapata kuona habari mbalimbali toka hapa. binafsi huwa nakuja hapa michuzi blog sababu najua habari ni za uhakika. Noana kwa mablog yote ya huko hii ni kama CNN ya kitz.

    Thank you bro.

    ReplyDelete
  12. wewe unayesema kambi zihame, aliezifuata ni nani? si hao wanaowauzia watu viwanja? kwani lazima watu waishi hapo? lazima tujifunze kufuata taratibu, kambi zikihamia hata baharini kuna siku watu watauhusiwa kujenga karibu yake kwa hiyo watakuwa wanahama tu?

    ReplyDelete
  13. Inshallah wanadamu wapo Salama huko, Afande naona Lugha Watu wote wapo COOL na Kiswahili Kila kitu Shwari hahaha. Poleni wote huko. sasa hivi kweli hawawezi kusema kitu mpaka uchunguzi kamili.

    ReplyDelete
  14. Anajipiga Vibomu Afande hatujui kama baruti au umeme bado mapema kusema haya baadae hapohapo kwenye simu anasema watu wanaendelea na kazi wataalamu wa mabomu. kule Daily news Tambara la kioo kaweka Nzuri utaona Gari za Fire zina Bana matumizi ya Kelele wanawahi na NUSU Ya Tanki la Maji.

    ReplyDelete
  15. watu wawe "cool" hali itakuwa "contended" ndani ya muda mfupi hahaha what is contended?

    ReplyDelete
  16. I believe kamanda kamaanisha watu wawe calm...kuhusu contended anaijua mwenyewe kwenye Miriam Webster bado sijafanikiwa kuiona...hahaha

    ReplyDelete
  17. Anony 11:48pm; Contended means v.tr

    To maintain or assert: The defense contended that the evidence was inadmissible

    ReplyDelete
  18. Haya maswala ya makazi kuchanganyika na kambi za jeshi, zifikie maala uongozi wa nchi kuangalia upya. Miaka 30-40 nyuma idadi ya wakazi wa Mbagala haikuwa kubwa kiasi cha kuwa karibu sana na kambi hizi za jeshi.

    Hali imekuwa tofauti na sasa... Mji unapanuka watu wanafikia kuishi just few yard kutoka kwenye kambi za jeshi.

    Hii yote ni kutokana na mipango miji kuwa mibovu. Wataalam wetu huwa wanashindwa kufanya makadirio ya ongezeko la idadi ya watu kwenye miji mikubwa kama DSM. Ni bora sasa ilo linalo itwa ammunition dump aidha liamishwe na kubakia just infantry with out so called ammunition dump au
    wakaazi wa eneo lililo karibu na makazi ya jeshi waamishwe na kulipwa fidia ya usumbufu na mali zao.

    Hizi mbinu za nchi za kijamaa jeshi kukaa karibu na raiya ili kuweza kulitumia jeshi pindi tu watu watakapotaka kufanya mapinduzi au maasi, inaonekana sasa imepitwa na wakati.

    Hatuhitaji tena tena kambi za jeshi kuwa karibu na raiya, ukizingatia kuwa kambi zenyewe ndizo hizo hizo zenye kuifadhi expired ammunition.

    Tena kwenye Ghala lililo zungushiwa mabati kama sikosei kama si under ground. Tz ni kubwa sana katika nchi za East Afrika, kuna maeneo Tz tangia kuumbwa kwa hii dunia binadamu hajawai kukanyaga huko. Kwanini serikali/Jeshi lisihamue kupeleka huko mbali kabisa na kwenda kuangamiza hayo mabomu na ammunition zinazo semekana zimepitwa na muda wake...(!?) Hapa mi nashindwa kupata picha halisi... Hivi ni kweli this so called Ammo zinafikia ku'expire ni zile ambazo zipo tangia enzi ya kina Tip tip na Mkwawa au ni zile zilizo tumika kwenye vita vya maji maji?

    Ninavyo fahamu mimi Ghala la siraha linakuwa kept clean, cool and dry na kufia mpaka those Ammo kuwa expire may take many, many years to reach a point of unsuitability, hapa tunazungumzia kuanzia miaka 50-70 or longer.
    Sasa hizi ambazo zinafikia mpaka kuripuka tu, mbona haiingii akilini? Au ndio zile ambazo wakati wa production ndizo zilizo kuwa rejected, kisha tukazi nunua kwa bei ya kutupa...!? Na hata hii sidhani kama inakubalika.
    Au ni zile ambazo tulizirithi toka mkoroni!? Nashindwa kuelewa...! I'm shocked.

    This is serious matter tena ime'involve maisha ya raiya, bora yangewakumba hao hao wanajeshi tungesema ajali kazini. Lakini kuwakuta raiya wasio juwa hata mbinu za kujihokoa pindi maafa kama haya yakitokea ni jambo kubwa sana hili.

    Tufikie wakati sasa tusema kuwa TUMECHOKA HATUTAKI TENA.
    Kwani hii ni dhurma kubwa sana kukatiza uhai wa raiya na wakazi wasio na hati.

    Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un... Tuna wapa pole sana wakazi wa mbagala kwa maafa yalio wakuta. Insha'Allah M'Mungu azipokee roho za marehemu na kuzipumzisha kwa Aman.

    Ila sisi ambao bado tu HAI tusimame sasa kwani wahenga walisema Amkani si shwari tena. Ni lini itafikia kipindi tutasema BASI.

    X-PASTER

    ReplyDelete
  19. annon apo juu umenena sawa kabisa

    kuna annon mmoja kaniacha hoi "eti silaha za KICHINA" hahahahahaaa

    inaniuma sana ila kuona raia ndo wanapata shida,ata km wamevamia eneo ivi mpaka wanajenga,wajeshi hawakuwepo basi angalau kuwatoa nduki/marufuku kujenga karibu????

    tunajua mipango-miji ni ovyo kabisa ila wajeshi wana amri sana tu na raia hawezi leta fyooo!!

    ILA DI ZINALIPUKA????haiingii akilin ata kiduchu/kabisa.

    ok tunasubiri MSEMAJI WA JWTZ/JW aongee (sio awa polisi)

    ReplyDelete
  20. 1. To strive in opposition or against difficulties; struggle: armies contending for control of strategic territory; had to contend with long lines at the airport.
    2. To compete, as in a race; vie.
    3. To strive in controversy or debate; dispute. Nimetowa sehemu nime Paste hapa.

    ReplyDelete
  21. Mie napinga naunayesema Jeshi ndio wanatakiwa kuongea hapana Polisi kwam uda wa mwanzo ndio wanatakiwa Kuongea sababu balaa limetokea Jeshini na Limewaangukia wananchi. Jeshi wanaotakiwa ni kuulizwa maswali na Polisi Je ilikuwaje kwahiyo Jeshi ni kujieleza. Polisi hapo wanaweka tu usalama wa wananchi na nini kinaendelea kwa muda mfupi huo. Kama nakosea Wadau ruksa kunikosoa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...