Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

 1. Kweli baba, endesha mpaka mtoni......wapo watakaokuwa nyuma yako!

  ReplyDelete
 2. Huyu bwana Mrema nadhani ana udugu na Robart mugabe, wa Zimbmbwe. aiwezekani mtu kunga'nga'nia madaraka namna hii.kila jambo lina wakati wake, ata kama ulikuwa kiongozi mzuri vipi, lakini kuna wakati ni lazima kuachia madaraka ili na wengine wapate kuongoza na kuchangia ustawi wa chama.
  Sasa huyu mrema kila anayegombea uenyekiti wa TLP ana mpiga majungu na kumtishia maisha.
  angebaatika kuwa Rais mwaka na 1995, basi angeachia madaraka mpaka leo. angetolewa na greda ikulu.

  ReplyDelete
 3. "Inji hii, ni lasima kielleweke, sito achia ngasi mpaka niingie ikulu"

  Huyu alisomewa itifaki, maulidi, albadili, kila kitu na waislamu. Wamemloga huyu keshakwisha mzee lyatonga.

  ReplyDelete
 4. Jamani Serikali inabidi imlipe fidia huyu mzee wa kichaga. Yale mabomu walokuwa wanampiga mara kwa mara wakati wao ndio waliomtuma yamemharibu mwili, macho mpaka akili. Pole Lyatonga, Mungu atakulipa


  Mdau
  Cardiff

  ReplyDelete
 5. yesu na maria nji hii ni ya..niyangu kweli.
  nampa siku sa.. saba kweli, kikwete aondoke iku..ikulu kweli.
  ubunge hauni to..toshi kweli nataka uarai..uraisi babangu.
  siajii madara..raka kweli mpaka kielewe..weke kweli babaangu yesu na maria.

  ReplyDelete

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...