DNA proof: 60pc of male 
parents not biological fathers 

By Austin Beyadi 

The Government Chemist Laboratory Agency has said that among the 250 deoxyribonucleic acid (DNA) samples it received for disputed parentage cases in the year 2005/2006, at least 60 per cent of the cases proved that the male parents were not the biological fathers of the children. 

Speaking in Dar es Salaam on Friday, the Chief Government Chemist, Ernest Mashimba, said that the agency receives samples from the department of Social Welfare and registered lawyers and not from individuals. 

He said that in 2005/6 it received 250 cases for DNA testing on parentage dispute whereby 150 fathers were proved to be only custodians and not biological fathers. 

Only 100 fathers were proved to have biological linkage with the children. 

Mashimba said in 2006/07 the agency received another 209 samples for DNA testing on disputed parentage cases. The result were that 53 per cent were biological fathers against 47 per cent, who were not. 

``We also use DNA samples in criminal investigations, identification of victims of mass disasters, verifying the identity of human disorders, determining whether a biological material is of human origin, etc ,`` he said. 

He said in criminal cases the agency received 28 samples in 2006/7 and that among them 21 percent of the samples involved the suspects with the incidents while 79 percent were not involved with the case. 

He further said that during the same period, the agency also received 31 samples of rape cases and that after conducting the DNA test it was discovered that only 3 per cent of the samples were involved with the cases while 97 per cent were not involved with the criminal offences. 

He said that every person is genetically unique and genetic compositions do not change through life. 

Expounding, he said an individual inherits genetic compositions from both parents. 

Mashimba said that in rape cases, semen samples can be used to link the suspect to the samples provided. 

He said that in essence, DNA evidence is in principal becoming an irrefutable identification proof and it is useful for excluding the innocent from the case in question. 

SOURCE: Guardian

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 59 mpaka sasa

  1. Nilishawaambia wanawake wa kibongo wanaongoza kwa uongo na ku-cheat mkabisha, mnaona sasa matokeo hayo. Hao mababa 60% wote walidhani wao ndio baba wa kweli wa hao watoto kumbe wamebambikiwa. Nina uhakika hata wakipima nchi nzima watakuta zaidi ya nusu ya watu wanalelewa au wamelelewa na baba ambao hawakuwa Biological. Wanawake wa kibongo wanaongoza kwa ku-cheat duniani na pia ni waongo sana, jamani msioe wabongo mtakuja kujuta.

    ReplyDelete
  2. Yaani madada zetu wa Kibongo mtatuua kwa presha jamani! kwa nini mnashindwa kuwa waaminifu kwenye ndoa???? Mnaudhi na kutia hasira kwa kutokuwa waaminifu!! What are you missing really?? Nayasema haya kwa uchungu mkubwa!Tukiacha kuwaoa, tukaoa wazungu/foreigners mnalalamika kwa kuuliza eti ''kwani Tanzania hamna wasichana??'' Currently marrying a Tanzanian girl/woman is like taking a risk, uki-take risk kuna mawili, mosi ni kwamba rewards zake ni kubwa au it might backfire!

    ReplyDelete
  3. Duuh! Akina Mama wana mengi! Wanawake wana mengi! Ndio maana dem akikuletea mambo ya mimba inabidi ukatae kwanza. Ukiingia kichwa kichwa utajikuta unalea mtoto asie wako.

    ReplyDelete
  4. Tusipotezane,

    1. Ni asilimia 60 ya waliopeleka maombi yao, siyo ya watu wote.

    2. Kumbuka, ili watu wapeleke pale kwa kipimo hiki, kwa hiari yao wenyewe, ni kwamba tayari wana matatizo na ndiyo maana wanalazimika kuhakikisha.

    3. Namba 250 haiwezi kuwa sampuli ya kutosha kwa nchi yenye watu milioni 40.

    Salamu zao.

    ReplyDelete
  5. I wish every father in Tanzania should take a DNA test of their children as to prove that they are fathering their own children. Today women are increasingly carrying pregnancy from their most loved one, but those who are in other marriages, and normalise these cases in the first family they live. It is shocking indeed. I think this is where infidelity mothers should get hanged up or being thrown on stones. Forgive me if I being hard on the case but it hurts so immensely. Bring on free DNA please!!!!!

    ReplyDelete
  6. Hii balaa sasa, inabidi na mimi nikapime hawa watoto wangu, watano kwa ujumla. Mpaka nitakapopata majibu ya vipimo vya DNA, napunguza majigambo. Hapa mtaani kwangu najulikana kama JOGOO, pengine sio kweli, majogoo wenyewe wananing'ong'a kila ninapopita.

    ReplyDelete
  7. He kumbe wanawake wa Tanzania nao ni mafisadi!!

    Yuko wapi yule mwenyekiti wa UWT aliyekuwa anadai hivi majuzi kuwa wanawake sio mafisadi?

    Checki ufisadi huo wa watoto wa kubambikiwa na kesi za ubakaji za kubambikiwa.

    ReplyDelete
  8. Mkuu wa nanihii inabidi na wewe uchunguze vizuri yawezekana huyo mshua si ding yako..! Ulizia vizuri.

    ReplyDelete
  9. Ndio maana ukimwi mwingi sana Bongo. 60%??????? That is huge...wangefanya research ya hizo data waangalie ni watu ambao wameoana au hawajaoana? Ni among watu wa umri gani zaidi? Social and economy status yao, education level etc etc

    60% is huge.....lol ...

    Ndio maana yule mtu aliimba mtoto wa kwanza katoka mchina naambiwa amechukua kutoka kwa babu....bongo hiyooooooo....itabidi tufungue Maury talk show yetu na sisi ...tusikie tu "You are not the father"

    ReplyDelete
  10. Mh! Bongo tambarare! Mtoto kafanana na mjomba hamisi kumbe babake mpemba wa gengeni mtaa wa pili.
    Hebu chekini hiyo Mitambo kwanza nyie msije kuwa munawatenganisha watoto na wazazi wao kwa sababu umeme ulikatika wakati wa process.

    ReplyDelete
  11. Wadau najua takwimu za kubambikiwa mtoto ziko sensational.

    Na kuna mdau anon wa April 10, 2009 4:52 AM kaelezea kuhusu udogo wa sample, na kwamba sample hizo ni za wale ambao tayari wana mushkeli kwenye ndoa zao ndio maana wakaenda kwa Ustawi wa Jamii na kwa Wanasheria ili kuwasilisha malalamiko.

    Pia hatujui lakini kama wote walikuwa na malalamiko au wengine walikuwa wanataka kupima tu. Hilo hatujui, hivyo nitampa anon huyo a benefit of doubt.

    Hata hivyo kuna takwimu ya kutahadharisha zaidi katika sekta ya kesi za ubakaji.

    Makala inasema 3% kati ya watuhumiwa 31 ndio walionekana kuhusika na ubakaji.

    Kwa lugha nyepesi ni MTU MMOJA TU KATI YA WATU 30.


    Maadam tunaongelea tuhuma za ubakaji hili ni suala ambapo tayari tatizo lipo, kwa hiyo hakuna haja ya kuangalia "wengine wasio na matatizo" kama kwa kesi ya watoto wa kubambikiwa.

    Kama sikosei ukipatwa na hatia ya kubaka mwanamke hukumu ni kifungo cha miaka 30 hivyo hii tabia ya wanawake kusingizia kwamba wamebakwa ni ya hatari.

    Nadhani ni wakati muafaka sasa kwa Bunge kurekebisha sheria ya makosa ya jinai kwamba hukumu isitolewe mpaka ushahidi wa DNA utakapokamilika.

    Naomba kutoa hoja.

    ReplyDelete
  12. NDIO MAANA UTAKUTA WATOTO WA DIZAINI HIYO HUWA HAWAWASIKII BABA ZAO MAUGOMVI KILA KUKICHAA HATA UFIKIA KWENYE HALI MAUSI MAZITO MAZITO(WENYEWE WANADAI KITANDA HAKIZAI HARAMU MTUMEEE)LAKINI HAINA JINSI TUSITUSHWE KWA HILI KUNA LENGINE LINAKUJA NALO ZITO
    WAKINA DADA MKAE MKAO WA KUJILAMBA

    ReplyDelete
  13. Ninakubaliana na mdau wa 4.52 am, hiyo the sample is not representative. Hao waliokwenda kupima bila shaka walikuwa na wasi wasi ndio maana wakaenda kwa hiyo matokeo hayo ndio yenye uwezekano mkubwa. Hata ikichukuliwa sample ya wanaume wanaojulikana kwa kutembea na wanawake wengi wakapima "ngoma" bila shaka matokeo yanaweza kutabiliwa kwa uhakika. Mfano huu ndio sawa na waliopima DNA! Hata hivyo taarifa hii sio ya kuchukuliwa kwa masihara kwa wanaume!

    ReplyDelete
  14. 1: naanini 80% ya wadada wanaokuja kusoma huku nje wameacha maboyfriend/wame bongo.
    2:5% ya wanaokutana huku wanajuana tangu bongo
    3: mwisho, approximately 70+% ya wadada/wamama wa huku wadau wanajipigia
    as a conclusion baadhi ya kinababa vimeo, kinamama vimeo

    ReplyDelete
  15. AFANDE MIDAKOApril 10, 2009

    TENA DADA ZETU WAKIONA WAMENASA TU KWA JAMAA LISILOELEWEKA, HATA KAMA ALIKUWA ANAKUCHOMOLEA MIAKA ATAJIPENDEKEZA UPIGE WIKI ILE ILE UJE ULEE KANYABOYA LA MATEJA
    SAME PRINCIPLE TO OUR WIVES, AKINASA NJE TU.. ATATUMIA KILA NJIA UMCHAPE WIKI HIYO ILI ATATUE TATIZO LAKE, UKIHOJI UNALETEWA CALENDAR NA DATA ZILIZOJITOSHELEZA.
    SISI WATU WA PWANI MAMA ZETU WANASEMA SIRI YA MTOO AIJUA MAMAYE. SIJUI WENZETU WABARA HUWA MWASEMAJE.......!

    ReplyDelete
  16. Yale leo kali Hivi wabongo mko hivyo ?poleni kina baba lakini msiwalaumu wanawake zenu inawezekana hamuwakamilishii haja zao inapofika kuogelea bahari kuu mnaogopa msukumo wa maji ya chumvi nakumbuka shoga yangu alinambia siku moja alikuwa hajuwi kuwa alikuwa hajuwi yakuwa yakuchinja ina raha yake ni kamjibu kila muonja asali haonji kwa mara moja.

    ReplyDelete
  17. Mwaka jana mwezi kama huu Habari Leo walikuwa na stori ka hii icheki hapa. http://bongopicha.blogspot.com/2008/04/kwa-kina-baba-tuuuu.html

    ReplyDelete
  18. na huu ndo ukweli kwamba ukilinganisha kati ya wanawake na mwanaume, wanawake ni cheaters zaidi. lakini ni wasirir sana na huwezi kuamini kama wanafanya hivyo. wanyenyekevu wapole na hawapo tayari kukubali ukweli. utawaona hata humu watakavyokuja na sababu kibao za kuipinga hii habari.

    ukienda agaza unaambiwa kuwa wanaoongoza kueneza ukimwi ni wanawake na kwamba ni wepesi wa kuukataa ukweli.

    tukubali tu ndo walivyoumbwa.

    ReplyDelete
  19. upuuuzi mtuuupu.ebu tuepushieni shari hukoo.enhe na wanaume wangapi wana watoto nyumba ndogo mbona haujaandika we michuzi.Tatizo hapa wabongo mnapenda tu kuchangia lolote jumping into conclusion,kwa wale waliosoma statistics wanakubbali kwamba the sample was not representative of the population,therefore hatuwezi kukubali the outcomes.oh DNA ndo mmeijua juzi .mi nakwambia hapo ikifanywa research ya nyumba ndogo wanaume wengi wa tz mtakimbia.Hamwezi generalize eti wanawake wakibongo ni cheaters.alooo nyani haoni kundule including you michuzi.Habari ndo hiyo.Message sent though not delivered.

    ReplyDelete
  20. mwana fa unaoa lini....badoniponipo kwanza...unasema...badoniponipo sana.............wa kuoa nitakua mimi bwana

    ReplyDelete
  21. KAPIME SASA KAMA YULE NI BABAYAKO

    ReplyDelete
  22. MMEONGEA SANA KINA BABA JUU YA HILI HADI KUFIKIA KUTUITA MAFISADI SASA NI ZAMU YANGU MMAMA KUWAJIBU.
    1.hii asilimia huwezi kuitumia kugeneralize kina mama wa tz nzima.
    2.baba na mama wote wanaweza kuwa cheaters tofauti ni kwambaaa mama akipata mimba ya nje ya ndoa hana uwezo wakuificha zaidi yakumbambikia baba.why?coz A.kunusuru ndoa yake.B.mimba haifichiki.C.asilimia kubwa ya kinamama wakitz wanaishi na waume lkn hawawapendi 100PC ndo mana utakuta anafanyiwa karaha haondoki mana hapo analishwa anavishwa na ndio sbb zinakuja hizo mimba zakubambikiziana.mama kapewa mimba namtu anaempenda lkn huyo mtu wa pembeni hana uwezo,sbb baba ana uwezo wakutunza anabambikiziwa kitu.
    3.Baba nanyi ni macheters tu kama kina mama ila ninyi mkiwapa mimba wanawake wa pembeni mnaweza kusalimika HIVI:
    A.kukataa mimba nakurudi kwa wake zenu kimyaaa.
    B.kuikubali mimba nakulea mtoto huko pembeni kwa miaka na miaka bila mkeo wa ndoa kujua(kimbembe ck ukifa hasa ka una mali.mifano mingi ipo).
    C.Siri inaweza julikana na mama akaishia kununa ck 2 ,3 na asikuache wala nini (hasa kina mama tegemezi za wa waume zao)mana hana pakwenda au ukaachwa kama yeye ni super woman kama MIMI.(napenda mwanamme na naweza fanya yote wafanyao wanaume ivyo no upuuzi!!)
    HIVYO MSIWAIITE TU WANAWAKE MAFISADI BILA KUFIKIRI TENA UKIBIDI MUWAITE MAJASIRI, WHY?MAMA ANAWEZA BAKI KTK NDOA YAKE JAPO KAJUA UMEZAA NJE YA NDOA JE WEWE BABA UKIJUA HUYO MTOTO SI WAKO UTABAKI KTK HIYO NDOAAAAA?

    ReplyDelete
  23. Jamani mbona mnawashambulia kina mama/dada kwani unafikiri hao watoto wamezaa na wanaume ambao ni single????? Usilaumu mtu jiulize mimi nitajiepusha vp na hili tatizo??
    Naunga mkono waliosema mwanzo kuwa hii sample haikiuchukuliwa 'randomly' bali ni kwa watu wenye matatizo au mashaka juu ya uhusiano na watoto wao tayari ndo mana data ziko juu.

    ReplyDelete
  24. TATIZO SIO KUSEMA NDIVYO TULIVYOUMBA TENA USIRUDIE TENA NATAMANI TUKUTANE TUDIBATE HII ISHU KINA BABA MTAKIMBIA.TUNA SBB NYINGI ZAKUCHEAT,
    1.hamjui tunataka nini emotionally, sexually nk.kwa kifupi mnazani mnatujua kumbe hamtujui ng"o zaidi ya kutujua majina yetu.
    2.mnatuvunja moyo na karaha zenu hasa tukishagundua mnacheat mana nyie ndo mara nyingi mnaanza.
    hizo ni baadhi tu.

    ReplyDelete
  25. Anon wa April 10, 2009 12:54 PM

    Maada si kuwa na mtoto wa nje.

    Maada ni kwa nini umbambikie mwenzako?

    Je mwanaume akiwa na mtoto nje kama anataka msaidiane kulea si anakwambia?

    Au kama hataki basi hatakwambia atalea mwenyewe kimya kimya.

    Lakini wewe unajua hii mimba ni ya Hussein lakini unajikausha na kumdanganya Salehe kwamba mimba ni yake na iliingia siku fulani.

    Je hujui unamlostisha mwenzako kumebebesha mzigo wa malezi?

    Si utumie njia za uzazi mpango basi ukienda kwa bwana wako mwingine. Kama vipi abort hiyo mimba.

    Kama hutaki kuitoa, basi ustaarabu ni kuwa mkweli kwa mwenzako kwamba uliteleza ukatoka nje, na una mimba tayari yeye mwenyewe achague kama anakupenda sana atailea, au mtoto akizaliwa apelekwe kwa baba yake.

    Pili kuna hiyo ishu ya kubambikia watu kesi za kubaka. Hiyo sijui utaitetea vipi.

    ReplyDelete
  26. Yani nilipoona hii post nilijiambia kama hivi alivosema huyo anonymous wa April 10, 2009 4:52 AM, nakumbukia darasa langu la STAT 200, na kama nisingeona post kama hii basi ningerule out watanzania wengi sana wanaupeo mdogo wa kupambanua mambo!

    ReplyDelete
  27. biological farther mbwia unga ile kichizi halafu baba wa kufikia waziri. toto halisikii. jamani mbona hili toto ni tofauti na sisi. eheee unauliza.

    Jamani kina mama mtoto akilelewa na babake anakuwa mtu safi hata kama mbwia unga. wapeni watoto wao

    ReplyDelete
  28. nakubaliana na we anon hapo juu kwamba sisi hatuwajui lakini sababu ya kutowajua ni kwamba nyie hamtaki tuwajue. 2. ni waongo sana na hutumia wepesi wa ndimi zetu kutuweka sawa. 3. hampendi kujituma; mnapenda vya bure.

    lakini mbali na hayo yote siyo ulete toto lisilokuwa langu. malizana huko lakini si unajua siku yangu. na kama unataka picha yake si uhamie kwake?

    ReplyDelete
  29. "biased sample is better than no sample at all"

    Hata kama sample ni ndogo, ukiongeza, matokeo hayaridhisha bado. Tarajia 50%+ "you r not the father" Kwa mzee Maury.

    Nilikuwa natarajia kitu hiki maana wabongo kwa ngono si mchezo. Twajidai "mke na mume kuwa mwili mmoja" hamna lolote, mbona miili 20, hata dini zenu sijui ziko wapi ushabiki tuu.

    Ukichunguza zaidi utakuta baba aleaye mtoto asiye wake na wake alelewa na baba mwengine, ngoma droo.

    KIMWI LITATUMALIZA.

    By the way hawa hawakutumia KONDOMU.

    Uki-account for condom, kutolalamika kwa uaminifu, kutolalamika kwa kujua, kuzidiwa na imani ya dini, nk. hii sample ni nzuri kwa sasa mwanzoni.

    Tutaona improvement, ikiwa mwaka huu haitacheza mbali basi mjuwe tunatabia za dogi.

    ReplyDelete
  30. Afadhali mimi najua kuwa baba yangu ni baba yangu halisi.Vidole vyangu vinafanana kwa kila namna na vidole vya baba yangu.LoL.
    NB-Twende mbele turudi nyuma DNA si 100% kwa hiyo kuna uwezekano wa contamination na human errors.

    ReplyDelete
  31. bibi mkereketwaApril 10, 2009

    Suits you guys,mmezidi uzinzi.Hio takwimu imesema ni wanaume waliogundua si biological fathers,kwahiyo wanaume humu wamerukia hee wanawake wakibongo mafisadi je umeangalia katika hao wanaume wangapi waume za watu hata wameenda kupima ina maana wame cheat na mwanamke wa nje na inawezekana ni mke wa mtu fisadi nani hapo?

    ReplyDelete
  32. HAYA LEO MWANA FA UTAOA LINI?. BADO NIPONIPO KWANZA

    ReplyDelete
  33. okay,uelewa wa wengi ni mdogooo hapa.Wataalamu wakiwachambulia mambo mnakataa ,mshaambiwa hii samle arepresent pop ya wanawake watz.mpooo mnang'ang'ana sasa tumwombe John Mashaka atusaidie na hili .am sure amesoma statistics.Najuuuuta kuwafahamuu.

    ReplyDelete
  34. mkuu wa nanii kacheki maana hizi safari zako utakuta binti yetu unaeringa nae mamuu michuzi sio wako.

    ReplyDelete
  35. Ni ukweli usiopingika kwamba kina dada/mama wa kitanzania wanaongoza kwa ku-cheat na kinachoumiza zaidi ni waongo sana. Ukiwa na demu wa kizungu au wa West aki-cheat atakuja ku-confess lakini hii haipo kwa wanawake wa Tanzania. Wao wakisha-cheat wanakuja kwako na kukuongopea zaidi na wataendelea kukuongopea hadi ujue kugundua mwenyewe. Jamani usije kuoa mwanamke wa kitanzania kwa sababu utajikuta una-share na huyo mwanamke na watu zaidi ya 20. Halafu wanajifanyaga wakimya na wanyenyekevu wa uongo, hawafai kabisa na achaneni na mademu wa kitanzania.

    Na nyinyi mnaojifanya sijui mambo ya statistics na udogo wa sample au ukosefu wa randomness msitake kutuyeyusha hapa, mimi mwenyewe ni statistician na nakubaliana na wadau wa juu kuwa wanawake wa kitanzania hawafai na wanaongoza kwa ku-cheat.

    Hii stori ilitoka mara ya kwanza mwaja jana na hakukuwa na migogoro yeyote kwa watu ambao walijitolea kwenda kupimwa DNA na matokeo yake yakawa kama 60% sio baba ambao ni Biological.

    Bottom line ni kwamba MADEMU WA KIBONGO WANAONGOZA KWA KU-CHEAT NA PIA NI WAONGO SANA.

    ReplyDelete
  36. Ukweli unabaki pale pale KITANDA HAKIZAI HARAMU

    ReplyDelete
  37. HIYO TAKWIMU NI YA WALE WALIOPIMA TU SASA WATU WAMESHAAZNA KUPANIC OOH ETI WANAWAKE WA KITANZANIA MAFISADI. HIYO ASILIMIA ILIYOTOLEWA HUWEZI HATA KIDOGO KUGENERALIZE WANAWAKE WOTE WA KIBONGO HATA KIDOGO! MIMI NADHANI POINT NI KUWA WANAWAKE WANABAKI NA WAUME ZAO HATA KAMA WANA WATOTO WA NJE, JE NA WEWE MUME UTABAKI KWENYE NDOA KAMA MKEO ANA MTOTO WA NJE?? THIS IS NOTHING SUBIRINI KIMIMA UONGO KIINGIE BONGO (LIE DETECTOR TEST)UONE ASILIMIA YA WANAUME WANAOCHEAT ITAKAVYOKUWA KUBWA HAPO SASA!!

    ReplyDelete
  38. *kwa wanandoa: 'kitanda hakizai haramu' – huo ndo ukweli wa mambo.
    *kwa nyiye wana-takwimu mnaozungumzia kuwa sampuli haiwakilishi ulimwengu-tanzania (sampuli ndogo ama kina kifupi cha ubahati nasibu (randomness), sikubaliani nanyi 100%. Ni wazi kuwa sampuli ni random kwa kiasi cha kuashiria matokeo kutoka kwenye ulimwengu wa wenye kuwa na wasiwasi ama kushuku nasaba ya watoto (ambao nakubali na wao ni wengi sana). Wanaofikia hatua ya kuhakiki DNA ni wale ambao sababu nzito zimewalazimisha kufanya hivyo (kutokuwepo ndoa baina ya wazazi/ubakaji/ubishi uliotopea wa mzazi wa kiume/awareness-ufahamu wa uwepo wa kipimo DNA n.k). Kuhusu Sampuli ndogo (lakini ya vichwa 250) bado itakuwa na kijiukweli wa mambo. Sijuwi tu kama hawa ni watu wa Dar ama mijini. tatizo la ziada laweza kutokana na kuwa hii data haikuchujwa (raw).
    *kwa miaka miwili mfululizo, data za failure zinakaribiana (‘05/’06- 60% na ‘06/’07- 43%)
    Dada zetu wa kibongo mjirekebishe!!!

    ReplyDelete
  39. Wadau mnaosema sampuli zilizochukuliwa ni za wale wenye matatizo mnakosea. Hizo ni sampuli za wajanja walioshtukia dili. Ukichukua sampuli za taifa zima asilimia ya watoto waliodanganywa baba ni kubwa kuliko asilimia sitini. Haya mambo hayakuanza leo, yapo toka enzi na enzi.

    ReplyDelete
  40. ...please people let talk about DNA and watoto wakubambikiziwa mana mnapotutupia kila uchafu nawaona hamjaelimika kabisa.hasa we ulosema hatupendi kujituma eti twapenda vya bure si kweli mimi nina 24 yrs niko ughaibuni nabeba box kwa juhudi zangu zote nikawekeza bongo nikanunua nyumba kadhaa magari ya biashara na maduka kkoo tena wanaume wanaojua mali nlizonazo wananiogopa tokana na mali zangu ivyo ongea DNA na sio upuuzi BRO.WANAWAKE WAVIVU WALIKUEPO ZAMANI SI LEO.

    ReplyDelete
  41. WANAUME NDIO WENYE NDIMI NYEPESI KUDANGANYIA MADEMU.NA WAO NDIO MAFUSKA MAKUU NATAMANI DUNIA INGEKUA BILA WANAUME MANA WANATUZARAU SANA MARA WAVIVU,MARA WAJINGA,MARA TWAPENDA VYA BURE,MARA WAONGO HEEE TUNGEKUA WAVIVU TUNGEWEZA KUWAWEKA TUMBON MIEZ9?KOMEEEN TENA MUWE NA HESHIMA KAMA MWAONA NDEVU MLIZOPEWA NDO UJANJA MBONA HATA BEBERU LINAZOO?

    ReplyDelete
  42. Nakubaliana na wachangiaji wanaosema kwamba the sample is not at all representative... nani cheater? wote wanaweza kuwa ila mwanamke siku zote ndo mwepesi kushikwa... to men ukiona uko busy sweet talking other people's wives ujue na wewe wako they are busy sweet talking her...

    Kwahiyo mabadiliko huanza na mwanamume... Hao wanawake hizo mimba hawanunui dukani...

    Eti wanawake ni rahisi kuambukiza UKIMWI? NO hii tutaanzisha mjadala mpya... MWANAMKE ANAAMBUKIZWA kirahisi... hii ni mada nyingine kabisa.... Michuzi tunaomba huu mjadala tumechoka kusingiziwa kila kitu...

    ReplyDelete
  43. kweni hao wanawake wamezaa pekeao au na wanaume, kama wanaume hao wanajua kuwa wanalala wake za watu, pia wao ni wanaume za watu basi wanawake na waume wa KUNDI HILO NI WANAOCHEAT MSI GENERALIZE NCHI ZIMA, MAANA UMEINCLUDE HATA MAMA ZENU, NYIE MSIO NA ADABU

    ReplyDelete
  44. 95% of the time wanawake ndio chanzo cha matatizo, wana frustrate wanaume too much

    ReplyDelete
  45. mbona mnasema tu wanawake? hao wanaume real daddies za hao watoto nao wanakubali vipii kutembea na mke wa mtu? lazima watu wote watumie akili sio kulaumu tu mwanamke

    kwanza hapa cha kujifunza ni kuwa asilimia 60 bila condoms hapo ......multiply by two manake hao kila mtu hapo atakua na partner wake pembeni.hao wanaotebea na wake za watu hiyo au wako kwenye ndoa lakini bado wana side kicks ni just a fling fling au ndoa ilishavunjika kitambo imebakia jina tu...... halafu multiply again by 0.5. tukifikiri kuwa nusu ya hao partner nao wa cheaters in both sides nao wana fling fling wao pembeni......bwana wangu ni the whole country inahitaji maombi. ukimwi utatumaliza.....tukimbilie wapi?

    I dare hapo ukiangalia hiyo 60 % ni wakristo.....don't get me wrong kwa vile hata mimi ni mkristo ila nachukia sana hii kitu dini zetu bongo divorce hazitoki kabisa. utaona watu ndoa imeisha kabisa na mwanaume is openly dating another woman...lakini mwanamke aliyeolewa kanisani yeye ni wa kutunza tu watoto sasa.... hawapeanii talaka kabisa...na kama hana kazi au elimu basi yeye ni kutunza tu watoto home wakati baba wa watoto hata siku nyingine harudi nyumbani. i hate this....i am not a fun of divorce thing but if there is no way to fix it let it go....sio kuambukizana magonjwa bila sababu.....huku nilipo hata maaskofu wanadivorce sembuse just a church member...lakini inasaidia sana kwa vile baada ya hapo kama ni watoto ni kujua nani attunza nani, na nani atamlipa nani and then kila mtu anaishia na kuanza maisha yake.....sasa hapo utamjua siafu ni yupi...mtu mmbaya ataoa/kuolewa hata mara 5.kila mtu anayempata hatamuweza...mwishowe unajulikana na ubaya wako....

    ReplyDelete
  46. Jamani tubishe tusibishe based on the sample, watu 6/10 ya watanzania baba zao wana walakini. Sample may be biased but unfortunately its what the world goes by since we can not research the entire population, its the closest proof to the actual population. Kazi kwenu.

    ReplyDelete
  47. "Not always a non-random sample is not representative."

    A bad data allows some inference, while no data is speechless.

    Kuwa ni sampuli isyo nasibu haimaanishi haiwezi kukubaliana na ulimwengu, cha muhimu ni kujaribu goodness of fit kabla ya kudismis data.

    ReplyDelete
  48. Kweli wanawake wetu ni makomandoo. Yaani unamshindilia mtu mtoto maisha yake yote anadhani ni wa kwake?! Kudadeki!! Anajidhani yeye jogoo kumbe watu wanamcheka, halafu mkiuawa mnashangaa... he he he!!

    Mdau, Boston, US.

    ReplyDelete
  49. Mimi naamini wanaume Bongo ndio sababu kubwa ya yote haya.

    Mnawasema wanawake, mbona wanaume hata waliooa wanatembea sana nje? Mimi nimeolewa lakini mijibaba tena waume za watu wananifuata kila kukicha.

    Wengine nawafahamu watatu wanatembea na mtoto wa rafiki yangu, na wanampa huduma zote mpaka kumpeleka nyumbani akitoka ofisini na amemaliza kidato cha sita mwaka jana.Wao wanajiona wajanja na yeye anawalia vyao.Hakuna anayemfahamu mwenzie? hapo hawajapeleka UKIMWI ndani mwao kama alivyoimba kapteni Komba: UKIMWI umeingia chumbani kwa baba na mama?

    Wenye ndoa zao hawawahudumii wake zao kwa mahitaji binafsi (nje ya matumizi ya nyumbani) lakini wanwanunulia vimada na mahawara dhahabu, wanalipa madeni ya nguo, vipodozi na huduma za saluni. Be frank kila mwanaume hapa ajiulize lini alirudi kwake akampa mke wake perfume aliyonunua au pesa kidogo akamwambia kajitengeneze saluni au kanunue unachotaka, hata mara moja kwa miezi mitatu. Nafahamu watakuwa wachache hasa hapa Tanzania.

    Sasa huyo mwenye mume hapati huduma hizo ambazo zinamfanya ajisikie faraja emotionally lakini anatokea mume wa mtu mwingine anampa huduma hizo. Akatae?

    Waume wa ndoa kila wakati wako mabaa na kwenye starehe na wafanyakaziwenzao, makundi au marafiki, hana muda na mpenzi au mkewe, akitokea wa kumpa starehe hatashawishika? wanawake wana hasira na baadhi wana visasi, hata kama hampendi mtu akiamua, anaweza kujiachia tu.

    Muda umefika wa kujirekebisha mara nyingi wanaume wanaanza, anachofanya mwanamke ni matokeo tu?

    mdau
    Mwajuma
    Mwanza

    ReplyDelete
  50. Kwani huyo mwanamke anapoenda nje analala na jogoo? Si hao hao wanaume. Na we mwanaume kama unaona dada ni mke au girlfreind wa mtu unambamiza wa nini? nawewe unachangia kwenye hizo percent. It takes two to tangle. Na kama wanaume mnaona wanawake hawaaminiki basi fungeni flyer zenu? Mnazifungua za nini? Nendeni kwa wanaume wenzenu wao hawazai. PLSEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  51. TANZANIA MNAPENDA SANA KUIGA SOUTH AFRICA HATA UKIPIMA HATA VIPIMO VIONYESHE WEWE SI BABA ILA UTAAMBIWA WEWE NI BABA KWANI HII HAIJENGI KTK PANDE ZOTE MBILI

    LEO HII MZEE UNAEAMINI NI BABA YAKO UKIAMBIWA SIYE UTAJISIKIAJE

    WATENDEENI HAKI WATOTO SIO MAKOSA YAO.
    KWANI KAMA VIPIMO VIKIONYESHA MTOTO SI WAKO NANI ANAYE ADHIRIKA KAMA SI MTOTO AMBAYE NI INNOCENT KTK GEMU LILE??

    NA MWISHO KUOWA SIO LAZIMA UKISHINDWA KUWAAMINI WANAWAKE BASI USIOE NA HAUTABABIKWA.

    ReplyDelete
  52. kwann mnawalaumu madada tu, kwan walikutana madada peke yao ndo ikaja mimba?, watu wanasema wanawake wawe waaminifu, sawa, lakini km cc wanaume hatujawa waaminifu mambo ndo yatakua vilevile, alafu ao waloenda kupima ni kwamba walikua na wacwac tangu mwanzo na ndo maaana hiyo asilimia ni kubwa ivo

    ReplyDelete
  53. JAMANI UKWELI NI HUU . WANAUME MKIFIKA MIAKA 40. MadudeYENU HAYAFANYI KAZI VIZURI TUFANYAJE?

    ReplyDelete
  54. Justification za kucheat zote ni excuse za kishetani tuu.

    Hamna justification za kucheat mbele ya Mungu.

    ReplyDelete
  55. nawashangaa sana watu mnaoshabulia wanawake kwa kebehi ili nitatizo kila mahali duniani na pengine waweza kashifu sana kumbe hata wewe baba alikulea si baba yako sasa hapo unamkshifu nani kama si mama yako!!!!!! na usifikiri wanawake wa nchi zilizoendelea ndo hawanyi hivyo ngalia hii web site ndo utajua kuwa afadhali wanawake wakitanzania yunajiheshimu

    http://www.mauryshow.com/

    ReplyDelete
  56. "No data is completely random or completely non-random."


    Badilini tabia nyie wadada siyo kujastifai uasi wenu.

    ReplyDelete
  57. walianza ss tutamaliza na bado hii ni moja yamfano mm mume wangu anamtoto njee na analea kemesha yake na mletea mwungine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...