THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

libeneke la michapo ya ephraim kibonde

kwa niaba ya wadau wote natoa pongezi kwa ephraim kibonde (pichani) kwa uamuzi wake wa kujiunga katika libeneke la globu. inafurahisha sana kuona wadau wanaongezeka katika anga hii.

mtembeleeni hapa


Kuna Maoni 15 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Assalaam Alayakum, wa Kibonde

 2. Anonymous Anasema:

  Nadhani siku hizi , umepunguza ulevi ..

 3. US-Blogger Anasema:

  US-Blogger)

  Mbona hiyo globu ilikufa kabla ya kuanzishwa?

  mwalike Nabii wa Uongo wa Dhehebu la The Later Doom, Rais mtarajiwa wa wajinga wa 2015, Mt. Yohanna Mashaka aandike atiko alafu chati yako ipande

  Ameniogopa baada ya kusikia nina phD ya OXFORD. Ameogopa kuja kwenye mdahalo alabama. Mashaka ni kopo tupu

  Vinginevyo endelea kupasua Serengeti

  US-Blogger

 4. EDWIN NDAKI Anasema:

  karibu kwenye libeneke..tupo pamoja

 5. JP Anasema:

  kwa nini wabongo blog zenu zote zinafanana?...mimi nilifikiri atakuwa anazungumzia kuhusu vichekesho vyake...kuweni creative kidogo

 6. Anonymous Anasema:

  Michuzi,mwambie Kibonde aweke michapo ya Bongo kama wewe sasa hiyo michapo ya mipira ya Ligi za Ulaya sie tunaona Live mwambie nadhani hata huko mpira mnaona Live mwambie aige mfano wako unavyotuhabarisha wabeba box hadi raha!

 7. Anonymous Anasema:

  sasa kila mtu anadandia libeneke la blog ! sasa nani atamwandika mwenziwe? jaribuni kuwa wabunifu?
  unajua hizi tabia za kiswahili wacheni,ukimwona jirani kafungua kiosk basi na wewe utafungua bila kufanya utafiti wa wateja!
  Ukimwona mwenzio kafuga kuku wa mayai na wewe utafuga! utafuti Idea
  au deal lingine!

 8. Anonymous Anasema:

  (US Blogger)

  Kwa US Blogger 'pacha' wangu, pls usishambulie globu ya rafiki yangu na swahiba wangu asiye na matatizo na mtu yoyote na hana majivuno-Bw.E. Kibonde.

  Ephraim, endelea kufanya vitu vyako, nitakuja huko kutafuta fake Messiahs kama Mr. Mashaka ili nipambane nao.Pacha wangu, mapambano dhidi ya fake messiah tunaendeleza.

  (US Blogger)-original

 9. Fredrick Mboma Anasema:

  Ndugu Efraim Kibonde,

  Ni hatua nzuri kufungua globu lakini kuwa mbunifu japo kidogo bwana!

  Yaani mkuu unashusha nondo za Premier League one-to-one? Huweki hata spin yako mwenyewe?

  Bila shaka unatambua kwamba wasomaji wa globu ndio sisi watumiaji wa internet.

  Sasa hebu kaa ufikirie ni kitu gani kitamsukuma mtu mwenye internet aje kusoma habari za Premier Ligi kwenye globu yako badala ya kufungua site kama ya ESPN?

  Mfano mzuri cheki Mkuu wa Wilaya vile anavyorusha matangazo ya premier ligi ... huwa anaweka spin (vionjo) yake kama vile kuwapiga madongo wadau wa timu pinzani au kuandika as if ni mtangazaji anayerusha matangazo laivu.

  Nisiwe mkosoaji tu, acha nichangie mawazo ... mfano unaweza ukaanza kudeal na vijiwe vyote vya Premier Ligi hapa Bongo ukawa unawapaisha kwenye globu yako.

  Pia mara moja moja unarusha offer za pamba za timu mbali mbali za mpira pamoja na souvenirs zinginezo. I am sure kuna wadau huwa wanapenda vitu kama hivyo na itawavutia kuja kucheki.

  Hiyo italeta umiliki wa habari katika globu na kuvutia wadau kuja kujiona jinsi ulivyowapaisha. Ila hii ya copy-paste one-to-one itaua globu.

 10. Anonymous Anasema:

  Wabongo mara nyingi hatufanikiwi kwa mambo madogo madogo sana. Hivi nini kitanituma kwenye kwenye blog hii kuangalia habari za ulaya? Andika mambo ya bongo mzee blog yako itakufa kama ya January Makamba.

 11. Anonymous Anasema:

  dont scrape off my comments , comments zinawekwa kutujenga
  Ephraim should do broadcasting period. not MC and not blogging

 12. Anonymous Anasema:

  KIBONDE WAKATI MWINGINE UWE UNAONGEA MANENO UKITAFAKALI NA MADHALA YA UNACHOONGEA.UMEONEKANA KUCHANGIA MADA JUU YA VITU USIVYOVIJUA,UNACHOCHEA MIGOMO VYUO VIKUU KWA MANENO MACHACHE YASIO NA BUSARA.WE LOVE YOU BROTHER,TAKE CARE WITH YOUR COMMENTS

 13. Anonymous Anasema:

  Ulimi unaponza kaka....usicomment usichokijua...no information, o right to speak kaka

 14. Anonymous Anasema:

  KIBONDE KUSEMA KUWA ATA KAMA WEWE UNGEKUWA NA MWANAO ANSOM ACHUO KIKUU HAPA BONGO UNGEMPATIA MAITAJI YOTE?WAKATI KUPATA MIKOPO NI HAKI YETU NAOMBA USIRUDIE KUTOA KAULI CHUFU REDIONI KWANI WANAFUNZI WA VYOU TULIO KUSIKIA HATUTAMANI KUKUONA WALA KUKUSIKA NI HAYO TU,MPE HII SUGU KAMA WEWE WA UKWELI.

 15. Anonymous Anasema:

  ACHA MAMBO YA AJABU KAKA WEWE NI MTU MZIMA LAZIMA HUJIHESHIMU MIDAA MINGINE SIO KWA SABABU UPO RADION NDIO HUONGE MAMBO YASIYO NA MAANA WEWE NI MWANDISHI AU KIBARA WA SERIKALI AU UNATAKA NINI SERIKALINI KAKA SEMA KWA MAANA IMEZIDI SANA TUNASHINDWA KUKUELEWA JIHESHIMU NI HAYO TU