michuzi, 
wape wadau hiyo. nimeiona huku marekani leo
mdau joni mtembezi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. hiyo marekani gani unayoishi wewe mbona imekaa kama soweto.cpt kisoda

    ReplyDelete
  2. IT IS OK ENGLISH.IT DOES NOT MATTER PEOPLE CAN STILL USE IT THOUGH ISN'T GRAMMAR ENGLISH.

    ReplyDelete
  3. PETER NALITOLELAApril 14, 2009

    HIYO LUGHA NI KAMA ILE ANAYOITUMIA NABII MT. YOHANNA MASHAKA

    ReplyDelete
  4. Lugha aina nyumbani kaka,Labda niayako ya kutujurisha uko USA tumekupata.

    ReplyDelete
  5. Did you know that in the U.S., 1 in every 7 adults cannot read? In other words, 31million Americans cant read. This is a Fact. just google.

    ReplyDelete
  6. MBONA SIONI TATIZO?

    ReplyDelete
  7. THE UNITED STATE OF AMERICA IS NOT AND NEVER SHALL IT BE THE UNITED KINGDOM.ENGLISH IS DIFFERENT FROM AMERICAN ENGLISH.

    ReplyDelete
  8. nadhNI tatizo ni huyo msomaji...

    ReplyDelete
  9. Naunga mkono mdau wa Juu hapo, Kingereza cha marekani ni tofauti kabisa na cha Uingereza, Sasa kabla ya kukosoa watu, angalia upo wapi na muandishi analenga Nani? Kama umezoea mitala ya bongo iliyopo katika british english utashangaa sana. HAPO HAKUNA TATIZO, AU KWA MSISITIZO WA VERY ndio umeona makosa??
    Kifupi naweza kusema kwamba, WAMAREKANI HAWAELEWEKI IPASAVYO UINGEREZA NA KINYUME CHAKE.

    ReplyDelete
  10. Savimbi - USAApril 14, 2009

    wewe Joni kisomo ,sijui, Mtembezi ACHA USHAMBA .ndio umeingia Marekani hivi karibuni nini? kwani uliambiwa watu wote wanaoishi Marekani ..wanazungumza Fluent English, kwa taarifa yako Asilimia 40 ya wakazi wa Amerika hawajui English ..Kama vile Latino , Asians . AFRICANS UKIWEMO WEWE MSHAMBA.

    ReplyDelete
  11. Cha muhimu umeshaelewa kuna nini kinaongelewa...unataka nini zaidi....by MBIJE,A-Kafanabo

    ReplyDelete
  12. Mimi huwa nakulaga chakula kila nisikiapo njaa.(Mimi hula chakula kila nisikiapo njaa)

    Kila ifikapo mwezi wa saba mimi hupenda kuhudhuria maonyesho ya sabasaba.(maonesho kutokana na kitendo onesha,mzizi ..ona na si onyesha. mzizi ..onya)

    Gari yake ya kutembelea imeibiwa na majambazi.(sahihi gari yake imeibwa na si kutendewa ...ibiwa)

    Niambie mdau katika kujua kwako kiswahili hujawahi kuzungumza makosa hayo? Hivyo lugha ni maana tu. Ukielewa ujumbe mawasiliano yashafika!

    ReplyDelete
  13. We' ujiitaye Johni Mtembezi; mbona wajihangaisha kutafutamakosa ya lugha za wengine wakati ya kwako - Kiswahili huvunjwa na kuborongwa kila leo katika blog hiii hii na watu wa kila daraja, nawe hujawahi kukemea uzoroteshaji huo wa lugha yetu tukufu? Kwanza hiyo sentensi uloitoa hapo juu na kuibatiza lugha gongana, yagongana na lugha gani? Ni kweli sentensi hiyo ina kosa moja dogo kimanzungumzo ambalo ni kubwa kisarufi, yaani neno lile lililopigiwa mstari - "very". Hii "very broken" inakubalika kama inahusu lugha, mathln: His sentence/English was very broken. Lakini ili kuonyesha kiwango cha uharibifu au uvunjikaji wa kitu kama alivokusudia mwandishi Marekani wa sentensi hiyo hapo juu, budi kabisa very kufuatiwa na adv. kabla ya pp. Hivo sentensi hiyo hapo juu ingeweza kuandikwa hivi, "This window is very badly broken...keep it shut". Lakini neno hilihili VERY laweza chukuliana na kisifa(adj.) moja kwa moja bila matatizo, mfano very tired, very pleased, VERY BROKEN- hearted! Lakini twasema kuna mgongano wa lugha tu pale ambapo sentensi au maneno ya lugha tofauti mbili au zaidi yanapotamkwa au kuandikwa kwa namna moja bila kumaanisha kitu kilekile katika lugha zote. Mfano; Kijapani kina maneno rufufu yanayotamkwa sawa na baadhi ya maneno ya Kiswhili: kata, mimi, moto, moshi, tako, uma, shingo, etc. Lakini vitu vinavyo maanishwa na maneno haya ni tafauti kabisa na vile vinavyo maanishwa na yale ya Kiswahili. Huo ndio mgongano wa lugha, bwana John.

    ReplyDelete
  14. Naona wa beba box mmekuwa wa kali baada ya sehemu yenu ya kazi kuguswa na mnaitetea kwa nguvu zote,hayo hayo maandishi yangekuwa bongo mnge ya ponda sana kuwa hatujui ila hamkumbuki kuwa hiyo english sio lugha yetu kabisa. ila leo imeletwa toka sehemu yenu ya kazi mmekuwa wakali.

    ReplyDelete
  15. Mimi kwa mtizamo wangu ni `je ujumbe umefika?' kama umeelewa nilichotaka kusema haijalishi kuwa nimeongea `broken' au `fasaha'
    Kama upo kwenye `mtihani' au mjadala wa lugha fasaha, hapo unaweza kuhoji. Zipo lugha, au maneno tata, hayo unaweza ukawa `fasaha' ili usije ukawachanganya watu.
    Kuna watu wepesi kutafuta makosa ya wenzao,kuliko kuangalia ujumbe. Na hawa ndio hao wanaopenda kujadili watu kuliko `jambo halisi'
    emu-three

    ReplyDelete
  16. Hapo ni Nursing Home - nyumba za kutunza wazee, na aliyeandika maandishi hayo ni mwafrika, kwa sababu ndiyo kazi zao huko marekani!!!

    ReplyDelete
  17. PETER NALITOLELAApril 14, 2009

    MIMI NAWASHANGAA WOTE MNAOMUTUKANA HUYU JONI KWANZA KAMA NI MSHAMBA AMA HAJUWI LUGA KINAWAWASHA NINI KWANINI MUSIJIKUNE? HII NI BULOG UNAWEZA KUPOSTI KITU CHOCHOTE KILA KINACHO ONEKANA NI FANI, MIMI NIMEIPENDA HIYO POSTI SIJAFIKA MAREKANI KWA HIYO NINAJUA KUMBE HATA WAINGELEZA HAWAKIJUI KIZUNGU. NA WEWE ULIYEPOSTI KWA KUTUMIA JINA LANGU KUMPAKA MATOPE MASHAKA UKOMAGE KABISA MIMI NIMEMALIZA MUZUMBE CHUO KIKUU SIANDIKI PUMBA KAMA WEWE. HASANTE MICHUZI KWA KUIWEKA COMMENT YANGU LIFE GO ON, I AM A PEOPLE LIKE YOU SO DO NOT COMMENT ON MY SLANG, HOLA...!

    ReplyDelete
  18. KWA UFUPI HUYO JONI AMEZOEA KINGEREZA CHAN ENGLAND. AU NDIO KWANZA AMEINGIA USA HAJUI KUWA KINGEREZA CHA MAREKANI NI TOFAUTI NE ENGLAND. WAMARAKANI WANAONGEA KIMAREKANI NA ENGLAND WANAONGEA KINGEREZA. KAMA WA JAMAICA HUWEZI KUSEMA WANAONGEA KINGEREZA.

    ReplyDelete
  19. peter nalitolela you said... I am a people like you? hee kweli mzumbe kuna issue...!

    ReplyDelete
  20. ROSE MLEKWAApril 14, 2009

    Mimi nafikiri badala ya kuandika ....THIS WINDOW IS VERY BROKEN PLEASE KEEP IT SHUT. Angesema.... THIS IS THE WINDOW WHICH WAS BROKEN VERY EARLY PLAESE SHUT IT...!

    ReplyDelete
  21. Iwe ni USA au UK ujumbe umefika kwamba kilichoandikwa hapo kina makosa ya Lugha. Hivi unaweza ukakosoa ujumbe uliokosewa wa kichina kama hujui kichina? Si utaona ni sawa tu maana kw wengi kichina ni michoro tu. Hongera bwana mtembezi kwa kuonesha ya kwamba hata sehemu ambapo English inazungumwa sana yapo makosa kama hayo katika kufikisha ujumbe. Tazama annoni wa Apil 14,2009,2:41 huyu sasa si ni mtumwa bado!Sina cha kumwambia maana nitazidi kudhalilisha kwani tayari kisha jidhalilisha.
    Hongera mwana ukiona kitu ingine we turushie tu ili tupate la kusema, si unaona comments hapo?

    ReplyDelete
  22. WEWE ROSE MLEKWA NDIYO MBUMBUMBU NUMBER ONE HUMU HII ENGLISH YAKO HATA BATA HAWEZI KUITAMKA, TETETETETE....!

    ReplyDelete
  23. Nyinyi watu jamaa ame-underline VERY kutilia nguvu tahadhari ya hilo dirisha. Huyu john mashaka ni mshamba, this is AMERICA baby, if u don't get it, just shut up.Don't trip.

    ReplyDelete
  24. Kumbe ndiyo maana maprofesa na madaktari wengi Mzumbe tunaambiwa ni vihiyo. Kwa ushahidi kuhusu hili, soma mtundiko wa mtu anayejiita mwana-Mzumbe huyu. Angalia vyote, Kiingereza na Kiswahili.


    MIMI NAWASHANGAA WOTE MNAOMUTUKANA HUYU JONI KWANZA KAMA NI MSHAMBA AMA HAJUWI LUGA KINAWAWASHA NINI KWANINI MUSIJIKUNE? HII NI BULOG UNAWEZA KUPOSTI KITU CHOCHOTE KILA KINACHO ONEKANA NI FANI, MIMI NIMEIPENDA HIYO POSTI SIJAFIKA MAREKANI KWA HIYO NINAJUA KUMBE HATA WAINGELEZA HAWAKIJUI KIZUNGU. NA WEWE ULIYEPOSTI KWA KUTUMIA JINA LANGU KUMPAKA MATOPE MASHAKA UKOMAGE KABISA MIMI NIMEMALIZA MUZUMBE CHUO KIKUU SIANDIKI PUMBA KAMA WEWE. HASANTE MICHUZI KWA KUIWEKA COMMENT YANGU LIFE GO ON, I AM A PEOPLE LIKE YOU SO DO NOT COMMENT ON MY SLANG, HOLA...!

    ReplyDelete
  25. WE MMATUMBI ACHA USHAMBA,
    UTAKUWA WAKUJA TU WEWE ??SASA HAPO MBONA HAKUNA TATIZO KAAKAA KIDOGO HAPO MAREKANI UTAONA VIHIYO WENZAKO KAMA WEWE. HAPA USA KUNA LUGHA ZOTE ZINATUMIKA,KAAAZI KWAKO

    ReplyDelete
  26. Hahahaa, Lugha kitu gani bwana, ujumbe umefika Poa, Mara ngapi tumewaskia wabongo wakisema ... Naomba unipigie ile NYIMBO ya ... au hii NYIMBO nilitunga wakati... Sasa NYIMBO na WIMBO wapi na wapi.. Tena Tanzania!! wazungumzaji wakubwa wa Kiswahili, Sembuse kiinglish!! Tena huko huko mbele. Kifupi ni kwamba wenye lugha zao ndo waborongaji wakubwa wa hiyo hiyo lugha.

    ReplyDelete
  27. hahahaha....teh teh teh tih tih uwiiiiii mbavu zangu

    nimeongeza siku za kuishi leo!!

    jamani i miss this!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...