mange kimambi akiwa na mchumba wake wa kimarekani lance baada ya kuvishwa pete ya uchumba usiku huu hoteli ya kilimanjaro kempinski katika hafla fupi ya lanchi ya usiku
lance akipiga goti kuomba chanda cha mange
mange na marafiki zake baada ya kuvishwa pete
mange akiwa na basilla mwanukuzi (shoto) na klynn kwenye hafla hiyo
mange na mchumba wake lance na marafiki 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. asanteni kwa picha

    ati hayo mawili ni ya kweli au yauwongo (ma-tea tea), na nani kasema wanaume hawapigi magoti? ebwanaeeee!

    ni mimi mkulima P.E.D

    ReplyDelete
  2. (US Blogger)

    Kazi inayokuweka Dubai umeshaitangaza vya kutosha. Kama una hoja bring it on kama huna hoja nyamaza.

    Nyie ndio wafuasi vipofu wa John Mashaka ambaye mnamsujudu. ananiogopa. kila la kheri kilimanjaro hotel, tusisikie yale tena hapo level 8

    Unaweza kuweka tangazo lako kwenye craigslist, section ya 'services', it will be more effective.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. Mnapendeza mwee ujanja kuvua maji marefu,Namwona sister tulikua nae Florida. Cheez

    ReplyDelete
  4. Frier. PatriceApril 25, 2009

    Ndugu Watanzania US- Blogger anafuatana na hata wanawake. Ya Yohanna Mashaka yamemshinda

    Kwa mara ya kwanza, nalazimika kutoa maoni yangu baada ya kuwasoma ndugu zetu wawili US-Blogger na Peter Nalitolela.

    Ndugu yetu Blogger, una majivuno kupita kiasi, nadhani tukifutilia maisha yako vizuri, tutakuta kwamba una maisha ya dhiki sana na mihangaiko. hiyo Pint house yako, mbona usiwape masikini nao wapate sehemu ya kujisetiri?

    Nashindwa kabisa kuelewa mahudhui yao katika hizi postings. Nadhani lengo lako kubwa ni kumchafua mashaka. Huu sio Utanzania ni ushetani

    Naona hata dada Mange Kimambi mnamvamia sababu kubwa ni nini?

    Kadhalika nimesoma kila comment sijaona hata sehemu moja ambapo Mashaka amejibizana nao ila Blogger na Nalitolela wamefika hatua ya kumuita kila aina ya Jina

    Ngudu Blogger, wewe msomi tena hadi Oxford. Mbona unadhalilisha shule yenye hadhi kama hiyo kwa maneno yako ya wivu na chuki? Mashaka kakukosea nini.

    Wewe Nalitolela, umesoma Uchumi mzumbe, shule inayoheshimika sana katika jamii yetu, pamoja na akili yako timamu kwa nini uandike mambo ya kutisha namna hii tena iliyojaa kashfa?

    Wajami hutu wetu wa kitanzania huko wapi. Naona mnamvamia hata mwanadada Mange Kimambi bila ya sababu yoyote maalum. Mange kakukosea nini?

    Hapa ni sehemu ya kujadili mada siyo kujadili watu. Hii tabia ni mbaya sana, au ni umaarufu ndio tatizo lenu? Poleni sana ndugu zangu

    ReplyDelete
  5. Ukiona mtu ana hate ujue anawivu na kuumizwa moyo.
    Asante sana Mange kwa kumuumiza moyo huyu US blogger , maana maombi yake ya wewe ku fail kimaisha yameshindwa na anabaki ku hate tuu , ata hate sana tuu mbaka ataingia motoni, maana ana roho mbaya
    Hongera sana Mange , wanga washindwe na walegee

    ReplyDelete
  6. (US Blogger)

    The fake US Blogger uliyepost comment, tafadhali wacha kutumia jina langu kwa comments zako.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  7. Zungu kaliwa

    wizi mtupu

    ReplyDelete
  8. Hii kitu ni changa la macho. Imekaa ki movie movie! Wabongo andikeni novel!

    ReplyDelete
  9. wakuu,hebu nikumbusheni!!hivi ukisha mvisha pete namna hiyo ndo tayari free ticket ya kumumega!!!??

    ReplyDelete
  10. MANGE KIMAMBI FUNIKA BOVU!! GO GO GO MANGE. UMENIFURAHISHA SANA WEWE NAWE NI MMOJA WA WANAWAKE WA SHOKA. KILA LAKHERI

    ReplyDelete
  11. weweeee mtoto KASHIKAAAAA,
    usiachie apo dada penzi ndo hilo na life ndo ilo

    ila duh!!umejibadili utafikili wale black americans???wee m-tz kweli au??
    annon apo juu,unaluhusiwa kabisaaaa kumumega tena kisawia labda yeye atie ngumu,hahahaaaa

    wanawake JUUUUUUU

    ReplyDelete
  12. Who the hell is Mange!!?

    ReplyDelete
  13. Anonymous, 8:45AM, siku hizi ni the other way round, anamegwa kwanza ten kwa sana kabla hajavishwa pete.

    Some people wanaenda mpaka mimba ndio shughuri zingine zinafuata. Nirihudhuria harusi moja bibi Harusi kama sikosei alikuwa na mimba ya miezi sita au saba hivi. Alichoka kabisaaaaaaaa. Ndio jamaa wanafunga ndoa, upo hapo?

    ReplyDelete
  14. hongera Mange kwa kupata mchumba ila swali kaka zako na wazazi walikuwepo? kama ndio huo uvaaji wako kidogo umepitiliza hata hao wazungu huchunga kuonyesha nyonyo zao hovyo. tunakuombea ndoa njema

    ReplyDelete
  15. Jamani Basila na Kylnn bado wapowapo nirushe ndoana? Kama wako occupied basi samahani sana kwa usumbufu dada zangu wapendwa!
    Mdau,
    Ughaibuni.

    ReplyDelete
  16. us blogger acha fixi, ni wewe unayeandika comment hamna mtu anayetumia jina lako tumeshakushtukia mchafuzi wa amani tu wewe kwani hizi comment zako zinafanana na mapigo mliyokuwa mnajibizana na mashaka the same flow inaonekana kabisaa.. leta mpya hii imeshtukiwa wewe ni hater fulani

    ReplyDelete
  17. How is Mange? can any one tell me less or more about Mange?

    ReplyDelete
  18. IT LOOKS REAL AND OKAY BUT VERY SUSPICIOUS,THE BODY LANGUAGES DOESN'T REFLECT THE GREAT EVENT THAT WAS HAPPENING. anyway thats my opinion.Congratulations and goodluck to u all in the new world of love birds.

    USA 1

    ReplyDelete
  19. hako kagauni alikovaa siyo kazuri. naona kuna wasichana wazuri wamependeza bila kuonyesha maziwa yao.

    ReplyDelete
  20. Ninarudia, I have no issues with Mange.

    Nime challenge fixi za Mashaka na nimekuwa tayari kum debate, yeye kanikacha na wapembe wake wanatambua haniwezi na ndio maana wanamkataza ku debate.

    They know pretty damn well Mashaka hawezi kupambana na economics PhD from Oxford.Wanajua he is not a public speaker. Wanajua he is not a walking encyclopedia. Wanajua he has no economic solutions.

    ReplyDelete
  21. Hongera Mange! all the best for the future! haters hapa si mahali pake jamani!

    ReplyDelete
  22. Go mtoto wa kiislam Go!

    ReplyDelete
  23. 2 words; green card!

    ReplyDelete
  24. Good luck penzi halichagui lakini I wish ungepata mzungu wa Europe kuliko marekani. Huyo wa marekani ni kwa mwendo wa budget tu hapo penny ikitoka imeenda wapi. Wako very frugal na uchumi wao ulivyovurunda anatafuta makaratasi ya kufanya kazi nchini.

    Just google how to get South African visa ufuatilie blog moja hivi. Wazungu wa Bush wanafundisha jinsi ya kwenda South sasa hivi.

    Best of luck

    ReplyDelete
  25. Ramazani Kasegero Jr.April 26, 2009

    Ndg. US-Blogger,
    I am not really understaning proble, as an intellect I am tending to see you like a soar loser, and an extremely bitter individual.

    First of all, you know clearly well that you have never seen, will never an oxford degree. You dont own a penthouse in dubai. You are self proclmaining to be an intelligent person yet cannot write even one pay essay to counter Mashaka.

    Mashaka is a very young kid compared to you. You ahve a family of your own, ye does not. He has never boasted over anything while you are boasting everyday jinsi ulivyo mzuri wa mdahalo. kuna watu wengi sana wa kujadiliana nao kwa nini usiombe kujadiliana nao ni mashak tu ndiye unayemtafuta.

    huyu kijana lengo lake kubwa ni kutuhamasisha sisi watanzania na kutupa changamoto wewe unafanyia nini nchi yako?

    Tafadhali sana ndugu yangu blogger muache huyu kijana hana shida na wewe. unaanza kuwa ker kwetu sisi washabiki wa globu ya jamii. nashindwa ni kwa nini michuzi anakuruhusu kusambaza hizi chuki za binafsi ambazo umekuwa ukizifanya.

    bwana hebu jaribu kuwa mstaarabu na mtu mzima. Uislamu unapinga sana chuki na wivu. sijui kwamba unaswali hata kidogo kwa maana nafsi yako mwenyewe itakusuta.

    ReplyDelete
  26. ndugu zangu mbona mnajisumbua na us blogger? huyu mtu ana chochote ni wivu tu.
    anajua wazi kabisa kwamba anamtafuta mashak ili apate umaarufu, naye. ila anafahamu kwamba mashaka amemshinda kwa mbali sana. angekuwa ni mtu mwenye busara, angejaribu kutafuta ni namna gani angejifunza kutoka kwa mashaka badala ya kujaribu kushindana naye katika mambo ya kijinga. hebu tuondokeeni hapa. sisi hapa tunafurahisha macho na madude ya mangezzzzzzzzzzzzzzz

    ReplyDelete
  27. Tukio kama hili huwa ni la kushitusha katika mwendo wa furaha au wenyewe wanaita sapuraizi lakini kama alivyosema mtu hapo juu kuwa bodelangweji inaonyesha walipanga kufanya hivyo fo shoo kupitia Michuzi ili kuwakomesha wazushi.Hongera sana kwa kuvalishwa pete na ndoa njema.

    ReplyDelete
  28. Ni kweli mimi nimeolewa na mmarekani mzungu tatizo wakioa they mean it na ukizaa nae watoto ni utazani wa kwake peke yake.Na mkiachana yupo ready kukuuwa achukue watoto be very careful honey.

    ReplyDelete
  29. jicho,tea-teazzzzz

    pozi picha ya kwanza,
    kila la heri ktkt ndoa yenu na muzae watoto wengi tu

    ila izo dadaz rastafari na uyoalovaa mkanda mwekundu,kama nawafahamu vile???

    ndugu hawakuwepo wee annon hujui sapuraizi za wazungu???mnaanzia kivyenu then mwaenda kwa wazazi,na wazazi unafikiri watapinga??mbele ya tasha???weeeeeee ulaji

    ReplyDelete
  30. eeee HABARI NDIO HIYO....Msumari huooo...

    ReplyDelete
  31. Lakini si uzito saaana hiyo ni pete tuuu...Tunataka kushuhudia wedding ndio litakuwa jambo la mbolea....

    ReplyDelete
  32. Ehh na mimi natafuta mchumba jamani...Mwenye kutafuta mchumba (mme)... Mwenye kuhitaji mke atume mawazo yake ktk blog hii ya jamii itatuunganisha...

    ReplyDelete
  33. boobs nje nje!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...