wafanyakazi wa irish pub iliyoko msasani mwisho hapa dar wakishangilia huku msanii Fid Q na waalikwa wachache wakishuhudia wakati msanii rehema chalamila a.k.a ray c alipokuwa akivishwa pete ya uchumba katika sherehe ndogo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo. tarehe ya ndoa bado ni siri ila inasemekana itakuwa  si siku nyingi zijazo kwani wiki ijayo anaelekea london kwa shoo kibao pamoja na kufanya shoping ya harusi
mtarajiwa ana aibuuuuuu...
watarajiwa wakifungua dansi katia sherehe yao fupi ya kuvishana pete katika ukumbi wa irish pub, msasani mwisho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 103 mpaka sasa

 1. mshkaji na we miyeyushooooooo!!!!!

  april fools washike..........

  ReplyDelete
 2. ndio mkuu wa nanihii ya nanihii.....mbona kama pete wewe ndo unamvalisha sio fid q??????? nilkuwa naisubiri kwa hamu siku ya leo nione utatupa nyuz gani kwa fools day ya 2009.....asante mkuu wa nanihii ya nanihii.....

  ila yawezekana kweli....

  ReplyDelete
 3. happy Foul day.....!!:-P

  ReplyDelete
 4. Hayo macho hayo...
  Mkuu wa nanihii kila ikifika Aprili mosi mambo yako yanakunyookea tu.

  ReplyDelete
 5. mvisha pete ndo mume mtarajiwa? ni nani huko bongo sisi wengine hatumjuwi kwa vile si wfuatiliaji wazuru wa mambo, pengine wanaomjuwa watupe habari, nilisikia noelewa na mmoja na NACLE 2 NACLE BONGO FLAVA Y ARUSHA, JE NDO HUYU, KMA NDO MWENYEWE SHAPE HIYO WAPI NA WAPI NA MZIKI WA KIZAZI KIPYA? HENDANI NAO KABISHA? NAJUWA JOE MAKINI ANA FEATURES YA MZIKI SI HUYU DUDE! NA BINTI UZURI WOTE NDO NINI?

  ReplyDelete
 6. Maendeleo ni kusonga mbele..
  Kutoka UKUU WA TEGETA hadi MR.RAY C.
  April,1st.

  ReplyDelete
 7. jamani michuzi kidogo nizimie,yaani kwaumbea nikampigia simu mume wangu kumwambia.lol s ndo ananistua ni siku ya wajinga.wala hilo sikuligundua.ila mmepenzea sana.vp naona kama Ray c ni mtarajiwa kweli................

  ReplyDelete
 8. kwani yule kijana mwingine vipi?(mwisho)lakini mtoto bado wamo karibu UK mtoto

  ReplyDelete
 9. karibu UK hasa SOUTHAMPTON ukutane na the tall boy!

  ReplyDelete
 10. TVZ KicartoonApril 01, 2009

  APRIL FOOL!

  ReplyDelete
 11. fool urself not me...1st april

  ReplyDelete
 12. TVZ KicartoonApril 01, 2009

  afu wewe utapigwa wewe, shaul lako!
  afu isijekuwa unafanya kweli afu unamdanganya mama nanii kuwa usihofu ni aplil fulu! shaul lako nasema tena!

  ReplyDelete
 13. HUYU BWANA HARUSI MTARAJIWA NI KAKA YAKE ISSA MICHUZI? NAONA KAMA AMEFANANA KIDOGO.HONGERENI NAWATAKIA MAISHA MEMA YENYE AMANI NA UPENDO.

  ReplyDelete
 14. Wewe Michuzi, unataka kumfanya nani mjinga?, leo ni siku ya WAJINGA. Lakini Balozi unaweza fanya utani Ray C akawa wako baadae.

  ReplyDelete
 15. Uzuri wa watu wa Ulaya tuna machale saana braza Michu...APRIL FOOL BRO!

  ReplyDelete
 16. April Fools Day!Nice try Michuzi.

  ReplyDelete
 17. anaonekana mjamzito au ni macho yangu?

  ReplyDelete
 18. tupate na iyo siku ya wajinga. mdau Holland

  ReplyDelete
 19. Samahani kaka Michuzi sasa mbona hukutupa jina la mchumba wa Ray C? Halafu huyo mchumba wa Ray C kwa kweli sura yake siyo ngeni kabisa machoni kwangu. Yaani huyo mchumba wa Ray C anavyofanana na wewe kaka Michuzi!!!

  ReplyDelete
 20. mjidanganye wenyewe

  ReplyDelete
 21. AprilfoolsdaygeniusApril 01, 2009

  Michuzi, wewe na Ray-c mlianza kutoka pamoja lini??? Hata sie wajinga tunamacho... Ukizingatia picha ya engagement na picha yako ya blog ziko side by side....... Got ya!!!

  ReplyDelete
 22. sasa aliyemvisha hiyo ring ni nani? au mume mtarajiwa jina mbona umeliweka kapuni? but i'm confused ni weeee tena hapo unyemvisha hiyo ring? mbona kama sura yako vile? au ni pacha wako au pc yangu inahitaji kusafishwa kidogo. mnafanana saaaana ehe...lakini kama ni weee mbona mambo...ukweni kwetu tunakoenda kila siku kumeshakua zilipendwa?

  i wish her all the best.....aliyempata huyu bibiye is the lucky guy

  congratulations ray c

  ReplyDelete
 23. mwaka wako huu mkuu wa naniniliii.

  ReplyDelete
 24. Hujanipata bado, sherehekea mwenyewe hii sikukuu.....:-)

  ReplyDelete
 25. jamani mheshimiwa mkuu wa wilaya ya nanihii april fools stunt hii kabambe yaani kwakweli nilifikiria sana, nikawaza unamengage ray c na wewe kila siku unamsifia mai waifu wako mganda kwakweli hii post ilikuwa hainiingii kichwani......... heheheehe well done utawapata wengi

  ReplyDelete
 26. BALOOOZIII, 1st ARPIL FOOLS DAY

  Mheshimiwa Balozi Michuzi, kweli Fools Day umekuja kivingine kabisaaaa.Hiyo imetulia kabisa.

  Mbona Fulanaz umeiacha kwenye kukumbumbu "uchumba" wako?

  MAKULILO Jr,
  www.makulilo.blogspot.com

  ReplyDelete
 27. Mbona huyu mume mtarajiwa ni kama kaka Michu au mtarajiwa ni mdogo wako Michuzi kwa hiyo unavisha pete kwa isani yake kama zile mila zetu za naniii....aha aha

  ReplyDelete
 28. Mdau, OmanApril 01, 2009

  mkuu wa wilaya ya nanihino kajishindia kitu bomba, Mabrooki!

  ReplyDelete
 29. We kaka michuzi hebu usitudanganye sisi, we are not fool at all, hujamuengage Ray C wala nini, wajinga ndio waliwao hahahahahahahah nimekushtukia mapema

  ReplyDelete
 30. fool's day

  ReplyDelete
 31. Hongera bi mdogo,
  Lakini hizo show atazifanyaje na hilo tumbo? si asubiri atotoe kwanza.

  ReplyDelete
 32. WAJINGA NDIYO WALIWAO!!

  ReplyDelete
 33. April Fools Day???????????

  Prosso!

  ReplyDelete
 34. Acha kutuyeyusha bwana!

  ReplyDelete
 35. teh teh, kaka mithupuuuuuuu, utawakamata wengi, ila mimi nimegundua, teh teh

  ReplyDelete
 36. michuzi mambo ya ukweli au ndio siku ya wajinga?

  ReplyDelete
 37. huyu ni michuzi au macho yangu ni kama ya "liatonga"

  ReplyDelete
 38. hahahahaha Hapyy AprilFool Michudhi.. kwikwikwikwi

  ReplyDelete
 39. ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa
  kaka michuzi Hon'''''geraaaa. lakini mi nimeishtukia hiyo. hajavishwa mtu pete hapaaaa.Ukiangalia kwa makini slide ya pili, utaona jinsi mzee wa fulanaaaaazzzz alivyomfinya kidole bibie Rehema. Anyway ni part ya celebrations za April f...s.
  chiggs hapaaa.

  ReplyDelete
 40. DUUU!! ANAYEMVALISHA PETE KAFANANA NA MICHUZI KOPILAITI. KAMA NI MICHUZI WALAI TENA NAKUNYWA SUMU MAANA MIMI NILIKUWA NAMPENDAGA SANA LEISII SASA KITENDO CHA KUOLEWA NA MTANI WANGU KITANIUMIZA SANA. MUNGU EPUSHIA MBALI HII ZAHAMA YA MOYO WANGU

  ReplyDelete
 41. haaa jamani au machoyangu hayajatambua vizuri huyo mwanaume sio MICHUZI WA ISSA? na kama ndie alikuwa hajaoa? na kama alikuwa ameoa wameachana na mkewe? na kama hawajaachana anaongeza mke mwingine? na kama majibu yote yatakuwa ndio,MICHUZI HUTOKUWA UMENIFURAHISHA.

  ReplyDelete
 42. Jamani mbona anaevisha pete kama Nanii ...au macho yangu??Ngoja niangalie vizuri.

  ReplyDelete
 43. Heeh! Huyo anayemvisha pete mbona kama amefanana na Michuzi vile? Mzee ni wewe nini?

  ReplyDelete
 44. Yaani wewe Michuzi ulitakiwa uwe ZE KOMEDI, Kwa hiyo wewe ndiyo unataka kukitwaa hicho kifaa yaani ndiyo my husband wa Ray C.

  Sielewi!!!!!

  ReplyDelete
 45. Kaka Mithupu huyo mtarajiwa mwingine ni wewe au mmefanana??? Kama ni wewe hongera yakhe!!

  ReplyDelete
 46. Michuzi, Wakamate wajinga wenzako sisis tumeshakustukia leo ni siku ya wajinga-Nick

  ReplyDelete
 47. Kidogo unipate Bro Michuzi!!
  Mchumba wa Ray C si Lord Eyes jamani?
  It must be part of celebrating April Fools Days!
  Hahahahahaa.....Hongera Michuzi anyways,

  Niqwa

  ReplyDelete
 48. April fools day ya'll. Don't get fooled!!!

  ReplyDelete
 49. HAPPY FOOLS' DAY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 50. happy aprils fools day.. mhh michuzi hapo kweli umetuweza..lol

  ReplyDelete
 51. LEO NI SIKU YA WAJINGA.HIVYO WEWE MICHUZI USITUZINGUE NA HIZO PICHA ZAKO ASANTE.

  ReplyDelete
 52. ehehehehhehe!
  Michuzi usitufanye sisi wajinga..acha tukuwahi...Happy April Fools Day!

  ReplyDelete
 53. Its April fools you fool. Hujatupata hata kidogo.

  ReplyDelete
 54. We Michuzi we. Mtarajiwa ni huyo mwenye shati jeupe lenye mistari mistari?

  Mbona anafanana na wewe kopirait!?!
  Sio wewe Michuzi huyo kweli!?

  Halafu huyu Rei Sii si alikupigaga marufuku kutoa habari na picha zake humu kwenye bulogi yako?

  Mmmepatana siku hizi? Mweeh!

  ReplyDelete
 55. April fool's, humpati mtu hapa issa michuzi, Pete gani kidole kitupu.
  "SweetypiE"

  ReplyDelete
 56. Teh teh teh....Mkuu wa Wilaya ya Nanihii, mbona pete yenyewe haionekani? Hapo bwana hammpati mtu...leo ni sikukuu ya wajinga!!

  ReplyDelete
 57. Michuzi umemchumbia Ray C au huyo bwana harusi mtarajiwa ndugu yako?

  ReplyDelete
 58. ApriL Fools!

  Misupu hata wewe unataka kuturusha wanguuuu...hahah April Fools hiyo! Lakini bado kidogo unikamate...ila nilivyoona Sura yako ikabidi nicheke saana!!

  Thanks for burudisho hili!! Lakini wewe bado *UpoUpo* ... We endeleza Mikonoz tu...

  Mdau wa Ohio....

  ReplyDelete
 59. SHIIIIIIIIIT KUMBE LEO NI TAREHE1 APRIL.

  ReplyDelete
 60. No no nimeshtukia kaka mithupu April's Fools Day, duh! mshikaji umenipata, asubuhi asubuhi.Basi utajidai.

  ReplyDelete
 61. KweKwekweeeeeeeeeeeeeeeeee
  Wajinga Ndio waliwao.

  ReplyDelete
 62. Fool who ??? fool yourself...

  ReplyDelete
 63. April Fool....lol.

  ReplyDelete
 64. bwana mithupu, hiyo ni fools day!!!!! hahahaaaaaaaa!!!!!. Good idea!!!!!!

  ReplyDelete
 65. Kaka mithupu nimeshtuka kidogo nizimie but nimekumbuka leo ni siku ya wenye akili sana a.k.a genious

  ReplyDelete
 66. Hongera Ray C na mchumba wako! Jamani huyo mchumba mbona kama ni mkuu wa wilaya ya nanihii?!! Au macho yangu?!

  Leanji

  ReplyDelete
 67. Jamani ni macho yangu yameanza kuzeeka na kushindwa kutambua watu nini? Huyo kama Mkuu wa wilaya ya nani hii!! Au braza wake kama siyo pacha wake.

  ReplyDelete
 68. Mbona huyu bwana anafanana na nanihii...

  ReplyDelete
 69. shemeji anafanana na mkuu wa wilaya ya nanihii au naoana vibaya. Kama kwelei ni mkuu wa wilaya big up and hongera

  ReplyDelete
 70. tehetehe michuzi hujanipata bado.

  ReplyDelete
 71. Kwa kweli Michuzi unajua kupata watu siku hii ya wajinga, huyo anayevalishwa pete sio RayC, ni yule dada anayefanana nae

  ReplyDelete
 72. Hivi leo ni tarehe ngapi vile?

  ReplyDelete
 73. Siku ya wajinga leo, so tuwe makini na habari tunazozisoma.

  ReplyDelete
 74. Siku ya wajinga leo, so tuwe makini na habari tunazozisoma.

  ReplyDelete
 75. Mmh Michuzi, mimi hujanipata, hii siyo April fool's day kweli?

  ReplyDelete
 76. wajinga ni nyie nyie

  ReplyDelete
 77. wajinga ni nyie nyie

  ReplyDelete
 78. Mmh Michuzi, mimi hujanipata, hii siyo April fool's day kweli? Hiyo pete ungefunika funika hivyo?

  ReplyDelete
 79. MH.Balozi huyo pacha wako au umempatia shemeji yetu msaidizi,tunashukuru kutukumbusha leo ni happy fools day kazi njema huko nyumbani.

  ReplyDelete
 80. kaka hili bonge la changa la macho yaani umetushika pabaya. Yaani kama ni kweli basi hii imekaa vibaya. lakini mbona umegandamiza tu siioni pete? Duhh kaka hii hatari

  ReplyDelete
 81. we michu sisi sio wajinga hiyo ni april fool wala hujamvisha pete ray c kwanza hapo ni kama unamvisha vidole hata hakuna picha. lakini mshkaji umebuni vizuri.

  ReplyDelete
 82. oya huna ubavu wa kumvisha pete huyo

  ReplyDelete
 83. You almost had me fooled there...

  ReplyDelete
 84. April Fools Day, Umewapata kweli Michuzi...!!!!

  ReplyDelete
 85. Finally Ray C makes a come back on globu ya jamii.

  Nakumbuka Michuzi uliwahi kumdiss huyu demu baada ya kuleta shobo.

  ReplyDelete
 86. Michuzi kumvalisha pete tu hadi jino la 32 linaonekana!!!

  ReplyDelete
 87. Ungekua umevaa ze fulanaz ningekubali!

  ReplyDelete
 88. Kwakweli brother Michuzi hapo umenipata. Du, mhhh!!! Nakupa tano. Hata hivyo namtakia RAY C safari njema ya UK. Japo ni fools day, umemtakia dada yetu RAY C mambo mazuri.
  Good day

  ReplyDelete
 89. Ohhoooo wajameni naona blog imeingiliwa na kirusi.

  Sasa hii ni dalili kuwa blog yetu itafungwa maana shemeji yetu mkubwa hawezi kukubali UPUUZI huu, na hivyo lazima aombe kugawana mali ikiwamo na blog.

  Nalilia blog jamaniiiiii.....

  Mdau China

  ReplyDelete
 90. Idumu ndoa hii.nilijua tu we na Ray C kuna kitu kinaendelea.ha ha haa! Michuzi we kiboko!

  ReplyDelete
 91. thubutuuuuuuuuuuuuuuuu, kama mtoto wako wa kike hakumtoa macho, he he he kweli leo SIKU YA WAJINGA.

  Mdau Davey Road

  ReplyDelete
 92. Ingawa umepatia sababu ya kukumbatia kiana na April fool Hongera mkuu wa wa Wilaya ya ...hapo unakula kitu mwanangu!!!

  ReplyDelete
 93. Mithupu humpati mtu leo ni 1.april. Umelala nacho

  ReplyDelete
 94. I can't believe I was caught up in the Tegeta position. Was it on April fools' day too. Oh, dear...I have since believed he is the Tegata head despite posting a comment once wondering when he works for the district - which, for obvious reasons, was not published. He wasn't gonna catch me on the Ray thing, though, as I could clearly see it was him and as someone pointed out above - she is probably too posh...(or is she?)

  ReplyDelete
 95. good try michuzi boy!

  happy fool dai

  regards

  ReplyDelete
 96. yes it is fools dei lakini mnapendeza

  Mdau
  Kijitonyama

  ReplyDelete
 97. NAONA MKUU WA WILAYA YA NANIHII UNAPIGA CHABO KWA CHATI HAPO KIFUANI,, MTOTO NDIE HUYO KILA IDARA ANALIPA.. Tehe tehe tehe tehe kwi kwi kwi kwi…..

  Mdau UK

  ReplyDelete
 98. Unamtakia mafanikio mema bibie labda atapata mtu wakumuweka ndani siku za mbeleni.Au ongea na mama nanihii akuruhusu uoe mke wa pili ahahahahahah.Angalia tu asije kutupa nje na the Fulanaazzzzzz

  ReplyDelete
 99. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mimi hii ngoma nilipotea, ikabidi mpaka niikuze picha ili kuhakikisha kama ni Michuzi. Da! Nimepatikana vibaya kweli. shehe lakini kifaa moto hiki.

  ReplyDelete
 100. Ziingize kweli kweli basi mzee mwenzangu, who knows!

  ReplyDelete
 101. Hivi nini maana ya mjinga na mpumbavu?? Happy Fools Day.

  ReplyDelete
 102. Mmmmmh!Jamani,Ray C bado wamo,bado anadai!So be very carefull,usije ukaukwaa Mkenge dada!Wengi watakupapatikia,lakini uwe makini,kila kin'gaacho si dhahabu.You still have all the future ahead of you babygirl,you haven't seen a mm of the world yet!Na kwako michuzi,hongera yahe japo kwa huo mnuso na kubahatika kumvisha pete ya uchumba huyo SisterDo wetu,kweli 'UMEBAHATIKA',Mungu akupe nini?akupe tende? Hatujui yaliyojiri baada ya Hafla hiyo!Ray C kama bado unahitaji mchumba wa Kilo basi nitafute mie "Mr.Anonymous",naahidi nitakufikisha!Adios.

  ReplyDelete
 103. Hey Michuzi, siyo wewe kweli kwenye hiyo picha?

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...