WAZIRI WA EKIMU NA MAFUNZO YA AMALI,  MH. HAROUN ALI SULEIMAN AKIKABIDHI KOMPYUTA KWA MKUU WA KITENGO CHA SAYANSI  WA ZANZIBAR COMMERCIAL COLLEGE, SALEH MOHAMED JUMA. MSAADA HUO UMETOLEWA NA VODACOM FOUNDATION.
WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI,  MH. HAROUN ALI SULEIMAN AKIKABIDHI KOMPYUTA KWA MKUU WA KITENGO CHA SAYANSI  WA ZANZIBAR COMMERCIAL COLLEGE, SALEH MOHAMED JUMA. MSAADA HUO UMETOLEWA NA VODACOM FOUNDATION.
WAZIRI HAROUN ALI SULEIMAN AKIKABIDHI KOMPYUTA KWA MWALIMU MKUU WA SHULE YA SEKONDARI YA HAMAMNI YA MJINI ZANZIBAR, MSHENGA HAJI ABBASI. MSAADA KUTOKA VODACOM FOUNDATION.
MKUU WA VODACOM FOUNDATION, MWAMVITA MAKAMBA AKIKABIDHI MOJA YA KOMPYUTA KWA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI,  MH. HAROUN ALI SULEIMAN 
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA HAMAMNI YA MJINI ZANZIBAR WAKIMSIKILIZA WAZIRI  WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI, HAROUN ALI SULEIMAN KWENYE SHEREHE YA KUPOKEA MSAADA WA KOMPYUTA KUTOKA VODACOM FOUNDATION SHULENI HAPO.  HII NI SEHEMU YA KAMPENI YA VODACOM TANZANIA KATIKA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU NCHINI AMBAPO IMETENGA JUMLA YA SH.MILIONI 58 KWA LENGO HILO. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. huu kweli usanii yaani wameshindwa hata kutoa viti wanavokalia madarasani wanaaenda kukaa chini, km hakukuwa na taarifa ya ugeni

    ReplyDelete
  2. mdau wa juu makutoa viti nje hizo ni siasa za kipindi cha TANU,mwingine atauliza maua mbona siyaoni. hakuna mambo ya kutukuza wageni hapa
    NA HAO VODA WANATOA MA CRT 2009 HII ILI IWEJE? AIBU...

    ReplyDelete
  3. michu bwana wakati mwengine unanifurahisha sana. ona picha ya mwanzo na ya pili wanaokabidhiwa pc ni watu tafauti lakini wanawadhifa sawa na hata majina yao ni sawa. halafu icha ya pili na ya tatu alanekabidhiwa ni mtu huyo huyo lakini ana wadhifa mbili tafauti na majina tafauti pia! ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  4. we unayeuliza hawana viti wamekaa chini umeshaona shule za ulaya watoto wa vidato vya chini wanakalia viti? hawakalii viti sababu viti vinaleta uvivu sana kwa watoto hawakawii kusinzia darasani. tembea uone usingoje kuambiwa.

    ReplyDelete
  5. Hata mie naunga mkono na Kuhusu Viti hayawahusu wageni wao siwamekuja kutowa msaada uonekane tuoeni tu bila kutangazia. huyu mwalimu wa kiume mbonam kono nyuma kwa huyo Sister? taratibuni jamani hahaha subiri wakati uishe.

    ReplyDelete
  6. halafu watu wengine hamuoni yakusema hayoo unaliyotowa wewe ya 2011 yako wapi wee mdau hapo unaesema voda wametoa CRT 2009.saa ingine kama huna lakuchangia bora ukae kimyaa kuliko sema pumbaa.blood hell

    ReplyDelete
  7. Huyu Binti Makamba anajua kwenda na wakati. Mwezi wa Ramadhani huvaa hijabu. Miezi mingine kichwa waaziii kama Flaviani Matata.

    ReplyDelete
  8. MARA YA MWISHO NILIPO CHEKI, WAZIRI WA ELIMU ALIKUWA PROF. JUMANNE MAGHEMBE, SIO HUYO ULIYEMSEMA HAPO.

    NA YALE MAAFA YA MBAGALA SIO "LIBENEKE LA MABOMU," NI JANGA, NI AJALI ILE. HESHIMU KWA LUGHA NZURI.

    WEWE MWANDISHI KITAMBO, MBONA HIVYO WEWE?

    HATA USIPO POST COMMENT ZANGU KAMA KAWAIDA YAKO, NAJUA UJUMBE UNAFIKA, MIMI NAKUUA HUKU HUKU CHEMBA TU.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2009

    wewe aghalibu nawe waziri waelim wahapa ni wazanzibar sio wa tanzania nzima

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 02, 2009

    iyo pic ya nne kutoka juu huyo jamaa mkono wake wa kulia mmeuona vizuri. nna hakika hana nia mbaya taswira tuu izo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...