President Barack Obama meets with Tanzania President Jakaya Kikwete in the Oval Office Thursday, May 21, 2009. This was the President's first meeting with an African Head of State. A bust of Martin Luther King is at far left. (Official White House photo by Pete Souza)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 67 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2009

    Vipi mkuu naona upo busy kweli na msafara, safi sana tengeneza jina zile ndoto za kuwa mkuu wa wilaya zipo mbioni zitatimia tu endelea kujenga jina na kuwa karibu na hawa watu wakubwa watakupachika sehemu nzuri ya ulaji siku moja.
    Nilishindwa kukupigia jana kwani nilikuwa nimetingwa na mambo mengi na kingine nilisahau kusave namba yako ya simu kwahiyo imepotea kwenye simu yangu. Ninaomba nipatie tena ili tuongee mawili matatu. Ninakutakia jioni njema na ninasubiri kusikia toka kwako.
    Thanks Steve 574.993.1266

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2009

    C'mon JK, you can do better than that..meaning that you don't need nondozzz bin nyenzo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2009

    dear Mr president JK i think you had whole lot of time to prepare yourself coming to see mr obama, i think is not necessary to carry all those papers with you and instead you would just used your head.
    sorry if you feel offended though i know mr michuzi will never publish my stuff

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2009

    aibuu jamani, rais gani anaingia na madesa kwenye utambulisho hii ni noma ..i'm going back i run for the office in 2015 hata mashaka hachukui nondo in public huwa anajificha

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2009

    sasa sijui hapo wanazungumzia nini!!! labda mshkaji anaomba hela za uchaguzi!!!
    aaaagh no anajaribu kumkonvinsi kwamba nayeye pamoja na kuwa raisi wa Tanzania lakini baba yake ni Mkenya!!!! yeeeeh i got it. ndivyo asemavyo msanii kikwete

    ReplyDelete
  6. Mutoto ya dc babyMay 22, 2009

    Naona mkuu wa nanihii uliishia tu nje ya geti la white house pole sana may next time hiyo picha utapiga wewe
    nawakilisha dc Kapitali

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2009

    Obama amkabe huyu dogo maana ni aibu tupu atakuwa anaomba msaada tu wakati mafisadi wanapeta tu bongo

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2009

    Kama sio hayo maelezo ya kimatumbi kidogo nifikiri kile kinyago ni Mkuu wa Wilaya ya nani ulikuwa unakula chabo kwa pembeni.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2009

    mtalii anajua vivutio vyoote vya US. kile kivutio kipya kinachitwa Obama ndio pekee alikuwa hajakitembelea marekani, lakini sasa na chenyewe keshakitembelea.
    Ningependa kumshauri tu kwamba kuna kivutio kimoja kikubwa sana tanzania anastahili kukitembelea pia!! kivutio hicho kinaitwa Watanzania wanaoizomea CCM busanda inabidi akitembelee na hicho ili aone muziki munene zomeazomea ulivyo!! manake huku busanda ni kivutio tosha cha utalii. akipanda malecela anazomewa, anashuka anampisha ngeleja nae anazomewa, anashuka anampisha Kilango nae anazomewa, anashuka anampisha tambwe hiza nae anazomewa, wote kwa pamoja wanaona soo isiwe tabu wanakimbilia bushi kugawa vyandarua!!!!
    anapanda mbowe anashangiliwa, anashuka anampisha zitto nae anashangiliwa, anashuka anampisha mgombea Magesa anashangiliwa na kuambiwa hakika wewe ni mkombozi, wote kwa pamoja wanaelemewa na furaha wanaelemewa na kurakiwa, wanaamua kupanda helikopta yao ili waondoke na helikopta na yenyewe inashangiliwa!!! wanatua kijiji kingine na kwenyewe yaleyale.
    Yaani wandugu huku Busanda raha tupu, yaani bajameni ni utalii tosha, kikwete ukitoka huko njoo basi na huku tukuzomee na wewe basi wajameni!!! tumezomea wote yani sasa tunakumiss wewe tu!!!

    Wenu niliyewahi kutesa maishani.
    MACMUGA. Jobegi mpaka TZ.
    Ahsanteni.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2009

    jamaa wamefanana kama mtu na mdogo wake vile!lakini ni ngozi tu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2009

    Alipofika kule south africa alikuwa na maisha bomba!!!
    Macmuga nimekukubali mwana na hiyo komenti yako.
    ila umesahau kitu kimoja. kuna utalii mwingine mzuri sana hapa TZ rais anatakiwa kuutembelea pia ajionee maajabu ya tisa ya dunia. kivutio hicho ni watanzania wanaokula mlo mmoja kwa siku, watanzania masikini vijijini!! angewatembela na hawa basi jamani!! sio kila kukicha yeye anawageuza WABEBA BOX NA WAOSHA VIBIBI VIZEE ndo watalii wake!! mara leo kaongea na wale wa london, kesho wale wa LA, keshokutwa wale wa NY au wa DC anawasahau wale washika jembe masikini wa TZ.
    halafu hata huko mamtoni mbona anabagua??? yani wale wabeba box wakulima wa Twin cities minneapolis sijui minessota na wale wafuga ngombe wa texas mbona hatusikii akienda kuongea nao?? kwani wao si wabeba box au waosha vibibi vizee ambao ni watz?? aah bwana rais uwege unakwengdaga na huko basi. ila usiende A town Atlanta kwa maana pale hutaweza kujua ni nani mbongo na ni nani black american kwa mana hapo ni black city big up wana wa atlanta, mnanikumbusha FIVE POINTS bado pako mwake?? CNN je pale vipi karibu na viwanja vya olimpiki??? atlanta shelaton hotel bado iko mwake pale chini???
    Je vipi Peachtree street bado iko mswano na ule mgahawa wa hardrock pale pembeni yake?? nakumbuka enzi zangu hapo A-town si mchezo nilikuwa nikicheza sana kamali pale garden karibu na five points baada ya masomo hapo insitute of policy studies!!!!
    Asenti, kwi kwi kwi kwi.
    aaaah mbona watu twin city MN mmekasirika tena??? hata nyie wa texas!!! duh. nisameheni basi!!!

    Asenti.
    Pique, Dom, TZ

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2009

    swali. nani handsome oldman hapo??
    eti mi mwenzenu naona kama huyo wa kulia ambaye haongei kwa kutizama makaratasi ndio handsome!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2009

    namuona mshikaji akiomba hela pale. big mwana mwenye bongolang wakilisha mwana, pia usisahau kula maisha mwana kifo chaja!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2009

    yep!! hayo ndo mambo omba omba omba mwenye fani yako. watakutambuaje kama nawe bado upo upo kwanza??

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2009

    Michuzi endelea kutumwagia mavitu unayoya-cover kwenye hii vakesheni yako. Au wamekunyima kibali cha kuingilia nyumba nyeupe!

    It's interesting to see our prezida is the first african presida to meet Obama.

    We're eager to learn Obama's response.

    Naona jamaa yetu alijiandaa na notes zake kabisa ili asije akasahau.

    Pia mkumbushe amwalike aje Bongo.
    Nadhani shangwe yake itazidi ile ya Joji Kichaka.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 22, 2009

    michuzi unatuaibisha bwana office ya white house office inaitwa OVER ALL OFFICE siyo oval imekuwa maua hayo?
    do your homework bro or use only swahili


    mrekebishaji

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 22, 2009

    Hana mpango mzee wetu anatuambia tunaokaa nje tunataka kula huku na huku, kwa hiyo hakuna Dual citizenship.

    Halafu hapo hapo anatuimiza tujenge nyumbani na tuanzishe miradi mbalimbali huko bongo kuiendeleza nchi yetu.
    Mbona kigeugeu sasa

    Mzee wa Ununio

    ReplyDelete
  18. Omba ombaMay 22, 2009

    JK kafanya bomba sana kuwahi mapema kuwasilisha MATATIZO yetu kwa Mzee, kwani African Leaders wengine wakianza kumimina SHIDA zao then Obama anaweza kuisahau Tanzania. Biashara ni KUWAHI na KUPATA pia.
    Huree JK:)))

    ReplyDelete
  19. MagazetiMay 22, 2009

    Haya sasa,

    Obama huyo Ghana na sas Obama atakuja Tanzania lini? Tanzania kwa sasa lazima "waleverage" uhusiano na Marekani kwenye fani ya Afya na Elimu, hasa leadership and public commuication.Wenzetu Wakenya na Waganda wametuacha mbali.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 22, 2009

    J.K: ..hatuna Chakula, Maji, Umeme, Madarasa... blah! blah! blah!

    B.O: mmh!.. style hii 2012 wamarekani hawata nichagua tena.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 22, 2009

    Hapo Mbowe angetinga na magwanda ya mgambo wa CCM.

    ReplyDelete
  22. MagazetiMay 22, 2009

    Rais Kikwete Kaitwa Nyumba Nyeupe. Niviongozi wachache sana wanaitwa kwenda nyumba nyeupe. Sasa wazee mimi ninaona Rais wetu yupo karibu sana na watu. Tofauti na Marais waliomtangulia.Rais wetu anatembelea watu wote na yupo karibu na watu.Tanzania tukae karibu na tuchague viongozi wenye hekima na wanaotetea maslahi ya watu wote.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 22, 2009

    Kikwete English Plz. Nyanya kanifundisha kiswahili kidogokidogo.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 22, 2009

    Kinachouma hawa viongozi wetu wanakuja huku Marekani daily lakini hata awapati uchungu wanavyoona mazingira ya huku yalivyo organised na masafi angalau wajaribu kuboresha bongo,ni kuiba tu dats all.Na we nanii mchezo wa kufananisha mwanza na LA uache kabisa utazidi kufanya watu wazubae pale bongo wasikazebuti wakijua kweli panafanana,anawachuza huyo ni kama kufananisha usingizi na kifo vile,ila ur doin a great job kutupasha,keepit rocking man.
    Mdau,Live from Detroit.

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 22, 2009

    Michuzi wewe unafikiri watu wanataka kuona picha tu hapa hebu waambie watanzania Kikwete ameongea nini na Obama. Ni haki ya mtanzania kujua.Picha maana yake nini uthibitisho kuwa Kikwete ameonana na Obama. Then What? Alafu ujinga wakujisifia kuwa Jk ndio rais wa kwanza kuja kuonana na Obama maana yake nini? What the point are you trying to make here?

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 22, 2009

    i hope hapo hakuna kigugumizi, sijui kigugumizi ni wakati akiongea kiingereza tu au hata kiswahili, kwani kama maswali madogo tu ya isha sesay yalitoa kijasho, pamoja na kuhost mkutano lakini hakuongea point hapo nadhan atakuwa amejiandaa vyakutosha, Kikwete habu tunaomba wasaidie watu wa mbagala jamani, kwani yale maafa ni uzembe wa serilai vinginevyo sioni kwa nini watu wanateseka kiasi kile! watoto hawasikii, ni fidia gani wameandaliwa wale watoto ambao wamepata ulemavu????????????????? jamani jamani, kesi za epa mpaka leo hazina muelekeo, zaidi ya kutia hasara nchi kwa ajli ya kulipa mishahata watuwanaozishughulikia, what the hell??

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 22, 2009

    Hakika wachangiaji tunategemea fikra na mawazo mazuri tufaidike sie wenye upeo mdogo, Huyu ni Raisi wetu mnamfanya kama hayawani maanake nini? Hapa kuna baadhi wana Chuki binafsi, hakuna mtu mtimilifu duniani leo nyie mnakaa kulaumu tu? Hivi aliekuambieni yale makaratasi kaandika anayosema ni nani? kama si umbeya basi mujuwe yale kapewa palex2 hakwenda nayo mwangalie alivyoingia acheni hayo toeni ya maana.Baadhi yenu kukaa nje mnajiona mmefiiika mnasema mtakavyo sio vyema. Ndugu Michuzi tukhabarishe yaliyozungumzwa na waliokubaliana sio blabla tu

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 22, 2009

    annon 4.17 am daah!!

    aiseeee,,,hahahahahahhaaa kwi kwi tih tih tih

    jamani ebu msomeni uyo annon kwa makini sana

    sijawai cheka ivi maishani,,tih tih
    raha sana blogu hii
    UMEMALIZA YOTE

    ReplyDelete
  29. Naamini ninyi mnaomlaumu Kikwete nisehemu ya Tanzania,je mmefanya nini kwa ajili ya Tanzania au Watanzania ambapo hata mkifa leo mtakumbukwa,au mnafikiri mpaka uwe kiongozi wa nchi ndo ufanye kitu kwa wtanzania?Yawezekana wengine nma familia zenu lakini mmeshindwa kufanya maamuzi ya kuzisaidia.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 22, 2009

    sasa obama mboni anamcheki mwezie kiivyo?????

    yan mie ningetupa chini izo karatasi

    hahahahaaaa

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 22, 2009

    desazzzzzzzz...
    kama misoup na konozzzzz

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 22, 2009

    KWA WALE WASIOJUA JINA LA OVAL LIMETOKANA NA MUUNDO WA HIYO OFISI MITHILI YA YAI LA KUKU WALA HAIHUSIANI NA MAUA. JK RUDI NYUMBANI SIKU ULIZOKAA ZINATOSHA.

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 22, 2009

    Wewe unayejiita Mrekebishaji hapo 5:09. wewe sasa ndo HUJUI, na unajiaibisha MWENYEWE na unatakiwa kufanya home work yako. MICHUZI yuko sawa, ile inaitwa OVAL OFFICE (shape yake kwenye plans iko kama YAI). ACHA KUPOTOSHA WATU HAPA, WATU WENGI WANAJIFUNZA VITU HUMU, WEWE UNAKOSOA UKWELI KWA UONGO.**&^%?? we

    chiggs, DESLAM

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 22, 2009

    Michuzi mbona rais ana desa mazungumzo ya kawaida tu?
    Mmemwandalia kabisa kidesa lakini wapi is is is kibao.
    Mdau Mchwechwele.

    ReplyDelete
  35. JK UMENIANGUSHA HAPO.INAMAAANA HAUJUI MATATIZO YA WANACHI WAKO KICHWANI???????????????? WHERE IS FOCUS!!! KIONGOZI WA TORRIES NCHI WINGEREZA DAVID CAMERON ALIHUTUBIA KWA MASAA MAWILI BILA KUWA NA NONDO YEYOTE KWASABABU ANAYAELEWA MATATIZO YA NCHI YAKE NA KUTOA MAPENDEKEZO YA UFUMBUZI.NEXT TIME PLEASE DONT TAKE NONDO BECAUSE IT CAN TURN INTO METAL!

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 22, 2009

    JK kweli ana bahati mbaya. Hata jambo likiwa zuri watu wanalaumu tu... mara anadesa, mara katia kanta. Jamani hayo makaratasi ni kweli kapewa hapo na nywele zake hazijatiwa kanta kwani hamuoni mvi kwenye picha kubwa? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. JK wewe endelea tu kuwatumikia wtz kwa uwezo wako wote, Mungu atakusaidia na juhudi zako zitazaa matunda. Kila la kheri.

    ReplyDelete
  37. AnonymousMay 22, 2009

    Kikwete uko juu, nyie wenye chiki binafsi hamtamfikia hata kwa aslimia tano 5%. Jamaa yuko juu saaana, mungu yuko nae kama unamchukia kikwete mloge mungu. Rais wetu wa nguvu na upendo, chukizenu zitawafanya msipate baraka za muumba, na mfe kwa vihoro. Kikwete uko juuuu.

    ReplyDelete
  38. AnonymousMay 22, 2009

    Wajameni,

    kwa nini CNN, BBC na mashirika mengine ya habari hayakutangaza tukio kubwa la kihistoria kama hili la Rais wa kwanza mweusi wa Marekani kukutana kwa mara ya kwanza na Rais wa Afrika?

    ReplyDelete
  39. AnonymousMay 22, 2009

    Ha nyie mahayawani kabisa, hivi Rais wetu anatembea mnasema mtalii, na kama angelikuwa kutwa yupo Ikulu tuu mngelim'badilisha jina na kumwita Kiwete badala ya Kikwete! Ndio, Mnabisha nini?! me nawajua tuu wabongo ,na hasa nyie mnaojifanya mpo nje ndio mnaotoa hizi Comments za Kufakufa wakati mmesahau kuwa m'bongo ni m;bongo tuu hata kama unaishi Mbingu ya saba we ni walewale tuu so acheni hizo. Au mmesahau usemi usemao Tembea ili watu wakuone?????
    Kuhusu hizo karatasi nyie nani kakwambieni kaenda nazo?! mara nyingi hizo karatasi huwa unazikuta tu pale mgeni yeyote anaefika pale huwa anapewa hizo karatasi ni kama Mfano wa Brochure na maelezo mengine mengi sasa ninyi madomo kaya Punguani msio na akili ya kufikiri na kuchanganua mambo na mliojawa na Chuki za kifisadi na siasa chafu ndio mtaongea hivyo Shabashhhh!!!!
    Nilikuwepo
    Abdull

    ReplyDelete
  40. Wewe Anony wa acha ushamba.

    Madesa huwa hashiki yeye. Akishika atasalimiana au atakumbatiana vipi?

    Madesa hayo huwa anayashika Bodigad au Membe.

    Kubali au kataa hayo yalikuwa MADESA na ni noma kuongea na Madesa.

    Tukubali tu hapo ameboili basi

    ReplyDelete
  41. AnonymousMay 22, 2009

    JK ananimaliza sana anavyopiga pamba za nguvu. JK na BO wote droo! Watu wamepooonda sana hapa lakini watalaamu husema, mtu huwa anaona kwa wengine kile anachokifanya mwenyewe, yaani ukiwa mwizi itaona wengine woote wezi, wanaomwona JK msanii, basi wao ni wasanii steringi kabisa. Mwenye sifa za ukamilifu Mungu tu. Nyie semeni, sie tunasonga mbeeele!!

    ReplyDelete
  42. AnonymousMay 22, 2009

    Watani/Majirani zetu mpo?

    ReplyDelete
  43. AnonymousMay 22, 2009

    habari watanzania wote mlioweka maoni yenu,mengine yanasikitisha na mengine ni ya busara.ningependa ndugu zanngu msipende kuangalia tulipoanguka zaidi ya mara moja angalia mara moja na ujue utainuka vipi na kuendelea,sio kuweka maoni yanayopotosha fikra wa watu ambao sio watanzania na wanaelewa kiswahili sio heshima kwa nchi yetu watu wanamkejeli raisi hivyo kuna vitu vya kuiga na vya kutizama tu!raisi wetu kualikwa ni heshima kubwa na manufaa yake hayaishi leo wala kesho,katika nyakati hizi ngumu kila nchi inajitahidi sasa msitegemee sana misaada bali kufanya kazi na kusave pesa.plz michuzi kuna comment zinakera kusoma tunaomba radhi kwa ajili yao na tafadhali usiziweke tena.

    ReplyDelete
  44. AnonymousMay 22, 2009

    Mrekebishaji jirekebishe wewe kwanza bro mithupu yuko sahihi.

    ReplyDelete
  45. AnonymousMay 22, 2009

    Watu wengine bwana? Over all office ndio nini? Lazima ujitie kujua japo kama hujui? Hio ni OVAL Office gademu rudi shule....eti Mrekebishaji!!! unaboa sana.

    ReplyDelete
  46. AnonymousMay 22, 2009

    jamani hii ni heshima kubwa kwa taifa letu, kwa vigezo vyovyote vile hili ni suala la kujivunia sana tena sana, kwani kuna baadhi ya viongozi wanaomba nafasi hiyo hawaipati.

    hata hivyo kinachosikitisha ni kwamba pamoja na nafasi hiyo mwafaka mara nyingi viongozi wa Africa wanashindwa kutumia fursa hizo, ama kwa kutojiandaa vyema au kwa kuelezea mambo sivyo ndivyo.

    Nadhani mzee wetu atakuwa amezungumzia kukua kwa demokrasia nchini kwa maana ya kuwa na vyama vya upinzani, atasema sasa idadi ya wabunge wanawake imeongezeka na anaweza kusema AZAKi zina nafasi kubwa bila kusahau hoja ya msingi kwamba uhuru wa kutoa mawazo upo juu sana. Hizi ndio porojo za viongozi wa Afrika wakifika Oval office.

    Wanasahao mambo ya msingi kama kuomba msaada wa kuboresha kilimo, kufufua miundo mbinu, kuboresha taasisi zetu mbalimbali kama mashule na viwanda vya msingi, kutetea jinsi tunavyoweza kunufaika na maliasili zetu kama madini na mambo kama hayo na pia kuieleza marekani waziwazi kwamba Afrika haitaki mpango wake wa kuweka kambi ya kijeshi katika bara la Afrika.

    Viongozi wa nchi kubwa wakija Afrika wanasea yale ambayo wanaona waseme na kwa manufaa ya nchi zao, lakini wetu wakienda huko wanasema kile wanadhani kitawafurahisha wakubwa hao.

    Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania.

    Asante ni kunisoma

    Nawasilisha

    ReplyDelete
  47. AnonymousMay 22, 2009

    NIMESOMA COMMENTS ZENU KWA MAKINI SANA NA NIMEZIELEWA KAMA IFUATAVYO:
    1. KUWA KIONGOZI MWAFRIKA WA KWANZA KUSALIMIANA NA OBAMA OVAL OFFICE, NI SIFA ZA KIJINGA MNAZOMPAKAZIA KIKWETE, SEMENI TU MLITAKA KUWALINGISHIA WAKENYA NA KUONYESHA TABIA KAMA ZA WAKE WENZA.
    2. NI KWELI KIINGEREZA SI LUGHA MAMA YA RAIS WETU, JAPOKUWA KAWA WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA MUDA MREFU. NI KWELI HAYAKUWA MATARAJIO YA WENGI KUONA KIGUGUMIZI KIASI HICHO KAMA TULIVYOZOEA KUWASIKIA VIONGOZI WENGINE. KUMBUKENI LUGHA HASA YA PILI NI JUHUDI YA MTU BINAFSI. TUNAMTAMBUA KUWA NI MZURI WA KISWAHILI NA KIKWERE HAPO HATUNA MASHAKA NAYE.
    3. KWA ASILI YA RAIS WETU NI KWELI NAYE ANAPENDA KUTALII, ROHO YAKE IMEZUZIKA KUWA WA KWANZA,KWANI ALIKUWA NA HOFU NA KIBAKI NA WAJARUO WA KISUMU, HIVYO KAWAPIGA BAO. SIKU AKIFURAI ATAITOA HIYO!!!
    4. FURSA HIYO AKIITUMIA VIZURI WTZ WATANUFAIKA, NA HII NI PAMOJA NA YEYE KUFUATA KANUNI ZA UONGOZI BORA, AJIEPUSHE NA VISHAWISHI VYA MAFISADI YALIYOMZUNGUKA NA KUMGANDA KAMA KUPE.

    KWA SASA NI HAYO TU.

    ReplyDelete
  48. AnonymousMay 22, 2009

    MICHUZI TUNAKUSHUKURU KWA KUTUPASHA HABARI NZURI NA MUHIMU KWA WAKATI. INASIKITISHA WATANZANIA KUKEJELI BADALA YA KUJIVUNIA. RAIS WETU KUWA WA KWANZA KUTOKA BARA LA aFRIKA KUONANA NA Obama ni heshima kubwa ya kujivunia na inaonyesha heshima aliyo nayo Mheshimiwa Rais ktk anga za kimataifa. Kila nchi inajitahidi kuwa na influence duniani na nchi kama yetu kuwa na heshima kama vile ya nchi tajiri ni jambo la kheri. Mmesahau sana uzalendo jamani. SHAME!! Rais wetu tupo na wewe tunatambua juhudi zako na tunakuunga mkono. Tunakushukuru kwa heshima uliyoliletea taifa letu.

    ReplyDelete
  49. Michuzi,
    I wont comment on the papers that HE is holding but rather the shoes he's wearing.
    I know you have access to him please tell him to buy shoes that have laces. What he's wearing(loafers) aren't appropriate for the occasion that he's attending. I know there would be some nonsense comment about this but believe me appearance is very critical in the meetings especially when you are dealing with money, whether its a grant/aid or a loan.
    Thanks

    ReplyDelete
  50. Advocate JashaMay 22, 2009

    Hapo JK anakabidhi nyalaka za kuuzwa kigamboni kwa ajili ya kamabi ya wamarekani

    ReplyDelete
  51. AnonymousMay 22, 2009

    Kweli kabisa anon wa 2.29 pm kejeli zingine hazina hata maana hata kwa vitu vyenye manufaa. Kuna usemi usemao "Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako"

    ReplyDelete
  52. AnonymousMay 22, 2009

    Ni gharama kiasi gani za safari hiyo? nini amepata na gharama hizo ni shule na madawati mangapi?

    ReplyDelete
  53. AnonymousMay 22, 2009

    mkwere utakenua sana tu.,haupo chimwaga hapo,IQ mwanzo mwisho..

    ReplyDelete
  54. AnonymousMay 22, 2009

    Jamani naona ma-apples pale mezani.
    duh ningekuwa mi ndo kikwete ningeng'aa na Apple moja kwanza pale mezani halafu ningekuwa kila baada ya neno moja nang'ata apple kimtindo kumuonyesha obama jinsi nchi yetu ilivyo na njaa ili aagize papohapo tupemewe mifwedha ya chakula!!!
    huyu kikwete hajui tricks huyu inavyoonekana!!

    ReplyDelete
  55. AnonymousMay 22, 2009

    wachameni acheni kubonda bonda kila chambo!raisi weito malehemu nyeree alitunsa mali setu kwa fisasi vichavyo watu watu wakabonda, akacha mwinyi akaruhusu uingisachi wa fitu injini pira kusuiasuia watu wakabonda,chapo kweli ruswa ilisidi kibimo! akacha musee wa kasi mukaba akarudisa hesima ya elimo,fijana walikuwa nanaaja sule kwenda kufanya tupiasara musensi,walimo wakakambia kufundisa rakini mukaba alirudisa hesima ya kasi sa kuachiriwa sirikalini!lakini bia arikuwa na koromea waandisi wa hapari chabo alitanganya kwamba ukweri na uwasi ila mmh! walibonda pia! sasa muhesimiwa kikwete mimi namufagiria kapisa kapisa! waja atembee,sisi ni masikini na fukara tu,kama hatujiendelesi wenyewe na samani tayali kumehafuka inapidi sasa achifanye kuombaomba kitogo huko inche ili kupata ngufu ya kibesa kuwekesa ktk elimo na kirimo,maana pira misosi hakuna kitu aisee!na kirimo cha chembe ra mkono hijo sio kirimo wasee!na mtu yeyete aliye kwenda sule akabata erimu ya kumusaitia hada kabata kuansia tigrii mocha au saidi hawesi kukupari kuisi maisa mapaya hata kwa rungu!atajitahiti hati kiereweke! tira yake ni nsuli sana itasaa madunda muta uchao jabo si reo wala keso!ila paada ya miaka kasaa hifi mutachionea wenyewe! kikwete chuuuuuu!nakufagiria papake malengo yako ni masuli sana!
    hehehe it has taken me back there where i studied some years long time ago!that kind of speech is commonly heard among the dudes who encouters trouble in phonation and it sounds akinda of that stuff bove!
    xxxxx

    ReplyDelete
  56. AnonymousMay 22, 2009

    Hee jamani, yote tisa, kumi, ni huyo anon wa 4.17, yaani some people wana vipaji vya kutoa ujumbe. Eti, helicopter nayo, inashangiliwa!!!

    Te he Te he.

    ReplyDelete
  57. AnonymousMay 22, 2009

    jamani tukubali binadamu wote si sawa hivyo kuwa na simbi au madesa au nondo au ki..mondo ..sio kosa kwani muhimu ni ujumbe ufike..

    hata obama mwenyewe ni mzee wa kutumia technologia!

    unaweza dhani anatoa hotuba kumbe ilisharekodiwa siku nyingi kichwani!
    kwa JK ,kama tulivyo wa Tz wengi sio fani yetu kukariri..au kumezaaaaaa

    JK...Big UP!!

    ReplyDelete
  58. AnonymousMay 22, 2009

    kiukweli kweli ni kwamba hizo gharama zote alizotumia kikwete zingetosha kabisa kununua japo vigoda vya watoto kukalia pale mbagala, what a shame!

    Mimi naomba Rais wetu akienda kukutana na watu kama kina Obama ajaribu kuchunguza system ya Marekani ikoje, atachemsha mwenyewe. kila kitu hapa kipo kwa mpangilio. uchumi sasa hivi ni mbaya marekani laikini, hutasikia obama anasema atafanya aende wapi kuomba, yeye anazungumzia afanye nini ili biashara ya marekani ikue hela irudi mikononi mwa wamarekani.

    Rais anazungumzia swala la watz kurubi home wekeza ha ha, mi sirudi hadi kieleweke ..

    thank you bro michuzi God bless you
    mdau Colorado

    ReplyDelete
  59. AnonymousMay 22, 2009

    JK kashika list ya matatizo i guess page ya mwisho ina habari za mafisadi kaenda kuwashtaki

    ReplyDelete
  60. AnonymousMay 23, 2009

    wadau lile sanamu mnaloliona mbele yenu ni la hasheem thabit,rais obama amependezewa sana na uchezaji wa hasheem kwa hivyo ameamuwa kumtengenezea sanamu big up hasheem.

    ReplyDelete
  61. AnonymousMay 23, 2009

    whats the he** is over all office? Geeh do ur homework, It is OVAL office damit! na huyo anayetaka ma-apples, hizo apple most likely zimekaushwa...who cares about apples anyway!

    ReplyDelete
  62. AnonymousMay 23, 2009

    LOL at mrekebishaji. Bora JK kajiamulia kubeba nondoz maana unaweza ukajifanya hubebi nondoz ukaanza kumwaga pumba kama za mrekebishaji, fedheha kubwa.

    ReplyDelete
  63. AnonymousMay 23, 2009

    Anon 12:35

    Hiyo sanamu ni ya Martin Luther King na sio Hasheem, huoni hata kwenye hayo maelezo chini ya picha wamesema. Uko dunia gani wewe?

    Tanzanians, we need to be smart!

    ReplyDelete
  64. AnonymousMay 23, 2009

    Anony wa Apples hapo juu kanimaliza...hahaha nimecheka hadi machozi yamenitoka. duh, ama kweli michuzi blog inaburudisha.

    ReplyDelete
  65. AnonymousMay 23, 2009

    DAH YAANI WATU WALIVYOMUUA MREKEBISHAJI HADI NATAMANI MISOUP UTOE HII HABARI TEH TEH!!YAANI MREKEBISHAJI INAONEKANA NI JAMAA FLANI MSHAMBA THEN ANAPENDA SIFA,KAPIGA RABA YAKE YA PLASTIC KAKAA KWENYE PC ANA COMMENT,YUPO NCHI GANI HUYU JAMAA? KAMA YUPO NJE NITASHANGAA ALIPATA VIPI VISA!!

    ReplyDelete
  66. AnonymousMay 23, 2009

    Kwanza kasaini kitabu cha wageni...pengine asubuhi kabla ya kuonana na Obama.

    Wakati huo kavalia tai tofauti na hiyo aliyovaa wakati anakutana na Obama!

    La sivyo, huo muda wa kufika na kuzungumza...Rais wetu hawezi kupata nafasi ya kubadili shati na tai...pengine shauri ya jasho!

    Hivi Mama salma naye alikuwepo kwenye hayo mazungumzo? Maana naona kuna kitenge mkono wa kushoto hapo chini.

    ReplyDelete
  67. AnonymousMay 24, 2009

    wewe unayesema picha ile ya kinyago ni hasheem, tafadhali muombe braza misupu samahani kwani ile picha pale ni misupu original!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...