mambo mapya yananukia giraffe oceanic view hotel jijini dar, maeneo ya kunduchi ambapo wadau watakula kipupwe swafi toka baharini wakiwa juu ya bahari. habari kamili za hoteli hii


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2009

    i hope hiyo board walk imejengwa na vizuri na mafundi wa kwetu. tusije tukaanza kusikia watu wameoga maji hapo. na pia wafundishwe kiwango cha idadi ya watu wanaoweza kukaa hapo....bongo watawajaza wengiiiii mara pwaaaaa tuanze kutafutana

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2009

    Hivi wewe anonymous wakwanza,,unafikili kwamba mafundi kutoka inchi nyingine ndio wataalam tuuu,,,jua kuna watanzania wengine mnatakiwa kuelimishwa kabisaa!! jua kwamba hapo Tanzania wapo mafundi bora ambao wanaweza kujenga vitu imala tena weeengi,,sio tuu uendekeze wachina wazunguu,,,kasolo tu nikwasababu naona hiyo miti!!, ipo day yaweza kusalimu amli chwaaaaaaa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2009

    annon wa 10;16 lugha plzz matumizi ya r na l ni aje?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2009

    Ha ha ha na wewe nawe... Eti UNAFIKILI,INCHI,JUA,IMALA,KASOLO,AMLI LOL...UMEFULIA...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2009

    Moja kati ya miradi ya wazawa inayofanya vizuri sana.
    Huu ni mfano wa kuigwa, Hongereni sana wamiliki.

    ReplyDelete
  6. Mweeh! Mweeh! Mweeh!

    Watu hawajakoma wameanza tena kumchokoza Mungu.
    Tsunami hiyo nyingine yaja hapo!

    Me hawanipati hapo ng'o

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 28, 2009

    Mipango mibaya ya miji na uwekezaji. Hoteli yo yote ile iwe ya mzawa au mgeni haipaswi kufunga ufukwe, ambao unapaswa kuwa wazi kwa umma wote. kama tusingekuwa ama walimbukeni au watandumazi ili jambo lisingeruhusiwa kabisa kutokea tukiona na kushangilia. Wenye hoteli wajenge hoteli zao umbali muafaka kutoka ufukweni. Tuulize hao "wenzetu" wanaotushauri, mfano wamarekani, wanavyofanya katika fukwe zao za florida, california, nk. nikijachaguliwa kuwa rais nitatoa amri hoteli zote zilizoziba fukwe zitaifishwe au zibomolewe na fukwe ziwe wazi kwa umma wote!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 28, 2009

    mradi mzuri wa ubunifu na mnastahili pongezi.

    Ila tu kwenye hiyo 'pier' (chelezo) iafaa kama kutawekwa maboya ya kutumika ikitokea ajali ya kutumbukia majini.

    Pia vifaa vya kuzima moto ikitokea ajali ya moto ktk hicho chelezo.

    Mdau
    Blackpool
    England.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 28, 2009

    Napenda kuwapongeza wamiliki na washauri wao hongereni sana kwa kuwa wabunifuna kutokuwa waoga. sasa ushauri tu watu wasizidi idadi jamani itakuwa aibu na tamaa ya pesa. na nyie watanzania wenzangu mkiona watu wengi kwanini ung'ang'anie kukaa huko kaa sehemu nyingine kwani naamini eneo lipo la kutosha. tusije tukaaingia hukokama kwenye daladalaza mbagara.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 29, 2009

    ooh that hotel?

    ila iko mbali kinoma adi upande kibajaj afu very expensive mana wanajua tu km waenda uko unazo pesa

    ila kweli waweke maboya na kizimamoto...
    wee mdau mbona almost fukwe zote mitaa iyo ya mbezi/kunduchi ni "PRIVATE"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...