Dear michuzi tunafurahi kukutumia picha hizi ambazo tulikuwa tunasherekea kuagana Da' Vicky Kamata (mwenye nyekundu) mara baada ya kumaliza masomo yake vizuri hapa Southampton UK na anarejea nyumbani Tanzanai wakati wowote kuanzia sasa. Tutafurahi kaka kama utazirusha katika mtandao wetu wa jamii ambao haubagui wala hauchagui.
-Wadau Southampton
wadau wakifurahia na vicky
furaha na masikitiko ya kumuaga da'vicky
hakika tutakumiss na tunatumai utaendeleza libeneke nyumbani





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2009

    we mwenye afro kuuuubwa na t-shirrt nyeusi inaelekea ardhi ya malkia imekukubali vilivyo. ndo UK hiyo kama una kazi basi hakuna sehemu kama UK duniani humu. hela iko juu kinoma kama una kazi inalipa kishenzi. mi nimeishi marekani miaka mitano baadae nikazamia hapa UK kwakweli naona kuna tofauti kubwa sana hapa UK mambo mswano Pound inalipa ile mbaya yani sahivi US dola naiona kama toileti pepa flani hivi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2009

    yah sister vicky,hongera sana kwa kupata uamuzi huo wa kurudi nyumbani baada ya masomo,ningependa pia wabongo wengine waige mfano huo,na inaniuma zaidi kuona wabongo wenzangu tena wasomi wanafanya kazi za kusafisha vyoo au barabara ambapo angerudi bongo angekuwa ni mtu muhimu sana kijamii,wabongoeeh tuachane na kasumba ya ulaya,mimi pia nipo mbioni kurudiii

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2009

    Shimboni shafo papa MREMA, we miss you H-TOWN

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2009

    mdau weye unaesema wabongo turudi zetu bongo umetugusa kwenye ikulu zetu, jua kuna makundi matatu wanaokuja ulaya la kwanza kwa ajili ya kusoma na kurudi,la pili kutafuta mitaji na kurudi la tatu wamefika hawataki kurudi Bongo wala kusikia habari hiyo. kwa hiyo uheshimu uhuru wa watu hata kama umeona wamepotea waelimishe tu kiduchu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 23, 2009

    mjomba wa kwanza, kama unatathmini maendeleo ya kipesa kwa ukubwa mwili au wingi wa nywele kalaghabaho...
    NB: waafrica tutajifunza lini kama mafuta mengi mwilini yana madhara kiafya??

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 23, 2009

    We anonymous kwenu Masaki, kwetu Tandale halafu unaniambia nirudi, una wazimu eeh! kila mtu alikuja na kiroba chake, mnaotaka kurudi rudini na tunaotaka kubaki tuacheni tubaki. kazi bongo hadi uwe na connection, na mie hiyo connection sina, unataka nikale kwa balozi eeh! unajuaje kama mie si-enjoy kusafisha vyoo?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 23, 2009

    mzee wa early times,stake country represent..

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 23, 2009

    Wewe ujui watoto wa mafisadi kazi ziko tayari!! Wewe ukijitia kurudi nyumbani na hakuna mtu unayemjua jikoni kiama chako na litakuchwea. Sisi tuko USA tunaendelea kubeba ma-boxes na yanalipa kama kawaida. Huyu dada kazi ipo tayari.

    ReplyDelete
  9. JP, Kinyerezi TZJune 23, 2009

    Jamani kifua cha huyo Da'Vicky kimetulia na kimekwenda shule kubwa. Ukimpelekea mpira anautuliza kifuani kwanza halafu ndio anapiga shuti, GOOOOOOOOAL!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 23, 2009

    wewe anoymous 1:41 am, umeulizwa hayo yote?au shobo tu, ndo nyie nyie mnabeba mabox huko unajifanaya $ kwako kama toilet pepa, Tz ndugu zako umewaachia nini?ala, kila m2 akianza kujishembendua kama hivyo 2tafika?pamoja na kukaa nje miaka yote hiyo bado una ushamba wa kutozoea vitu na kujitangaza,..Hongera Vicky karibu home.

    Mtoto wa mkulima Tz

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 23, 2009

    wewe anonymous acha kumwatanganya wabongo kuwa warudi nyumbani, Bongo hakuna kitu vumbi tu na shida kibao haziishi, wewe daaa vick wala usirudi bongo hakika utaijutia hiyo nafasi yako ya kutoka kwa malkia haya bwana yetu macho karibu tule vumbi Bongo.
    mie mdau niko kijiweni Bongo

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 23, 2009

    Aliahidi ubalozini akimaliza masomo atarudi kwao, ndio maana wakampa visa, Na sasa Anarudi...Hongera kwa uadilifu.
    Sijawahi kusikia Mtu ana British Passport au indefinite leave to remain na ana kazi nzuri (professional) karudi bongo kabla ya mid 30's to late 40's...All the best mama.

    ReplyDelete
  13. hongera sana madame V.


    Kila la kheri katika mchakato wa maisha urudipo nyumbani.

    Edo aka ISHI

    ReplyDelete
  14. wadau naomba kusema kidogo hivi sis wtz hatuna kazi hata wale wa ulaya yalele.kwanini mtu abaki ulaya wakati uku tayari ana jina kubwa kama yeye na nafanya kazi nzuri Bot Mshara mzuri wewe unataka tena ubebe taulo za wazungu kwa $2000.00 kwa mwezi wakati pango $ 800.00 na pia heshima hakuna mitoto haina heshima kama nyumbani bongo watch out men. wewe unayebaki uko una kazi ya maana bongo ndoo maana
    unaangaika. bongo tamu saaaaana
    viela lakini unafanya mambo ya maana kama kiwanja,wazaziwako nk.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 23, 2009

    weee annon apo ukue akili na mwili pia

    bongo michingo miiiingi sana,yan km huna mtu kwishnei kbs

    madame uyu ana wake tena vibosile kwisha habari yenu

    ni ayo tu

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 23, 2009

    Duh! Mwana mwenye fulana kama ya Michuzi tulikuwa tunakula wote vumbi TTCL sasa naona mambo yake si mabaya!! Nakusalimia Mkuu!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 23, 2009

    Nyie jidanganyeni krudi bongo. Mwenzenu alikuwa na "leave of absence" kutoka BOT, sasa anarudi kazini. Nyie fuateni asali mliwe na nyuki. Kurudi bongo ni mpaka uwe na kazi tayari si kwenda kutafuta kazi bongo, majungu mengi sana. Afisa mwajiri akiona una degree ya abroad anakwambia kazi hakuna ili usichukue nafasi yake huko mbele.

    Bongo ni mpaka uwe na godfather au upo kwenye payroll tayari ndiyo fikiria kurudi. Vinginevyo kama hujajilipua katembelee ndugu na jamaa wiki moja geuza ukikaa sana utaishiwa nauli na kujikuta umekwama.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 23, 2009

    wewe dogo wa June 23, 2009 5:33 AM una matatizo kweli, yaani picha zote hukuona cha kusema ila kifua cha huyo kimwana! you are pervert! big time pervert, you need help! ha ha ha ha

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 24, 2009

    Nakubaliana na ndugu zangu wabeba mabox wadanganyika! Lakini jamani naoma angalau mkipata hizo hela tafuteni watu waaminifu angalau mjenge vibanda maana naamini kabisa tuela twa kubeba mabox na kusafisha vyoo ukitunza asilimia fulani na kujenga nyumbani inaleta raha! Kumbukeni TZ ardhi ipo!

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 24, 2009

    Da!!! wangu umesema, anon wa 4:25 am, kwao masaki wewe tandale wapi na wapi, nani? atakuona huko tandalae karibia na uwanja wa fisi,wewe ni jilani yangu ulikua na mimi maeneo ya manzese, karibia na uwanja wa fisi, wangu achana nao hao watoto wa vibosi, mafisadi, tandale,manzese, uwanja wa fisi, hakuna hata kibosire anaekaa mitaa ya huko,

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 24, 2009

    Ha jamani kwani ilikuwa lazima mjitoe katka blog? Any ways hongereni

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 24, 2009

    Jamani, huyo Vicky Kamata anafanya kazi BOT, so angekuwa chini kamaangebaki huko UK, hivyo nyie wabeba mabox msifuatishe huyu dada, na ni kada mzuri wa ccm, mwache arudi kula pipi,

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 24, 2009

    Ah papaaa Lukwaro Jacob kumbe ndo mana umepotea sana mjini..... Mama yuko wapi kaka?

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 24, 2009

    Safari njema, da vick, ukifika home bongo utasikia heee!!!! katoka ulaya, katoka uk. Hizo ndio zetu, labda kama unatoka masaki, lakini huko uswahilini kwetu, katoka ulaya, hiyo ndio Tz yetu na wa Tz ndio sisi

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 27, 2009

    HUYO ANNON WA KWANZA KAMA KAJITILIA UJIKSI MWENYEWE? HALAFU BADO MSHAMBAZ WAA PHOTO. CHEKI ALIVYOKODOLEA MACHO CAM IKAMKOSA....NIPIGE PICHA BASI WATU WANIONE NILIVYOKWIVYA NA NGANO ZA UK...TEHTEHTEHTEHEEEEE

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 27, 2009

    dah ila unajua watoto wa southampton wanakaushamba fulani hivi watu wengi wamekuwa wakija kusoma na wanaondoka na phd ila hawajitoi humu ila hii group ni wale watu wanaolazimisha kujulikana anyway naona wamefurahi kuwekwa kwenye blog but hakuna cha maana wengi tumemaliza shule na tunarudi kimya kimya sasa yote haya ya nini?

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 31, 2009

    Safari njema wasalimie bongo.Madau uliyeponda Marekani inategemea ulikuwa wapi na unafanya kazi gani,Hapa mbona ni kila kitu!
    Mwakani narudi bongo kula bata kidogo.
    Big up da Vick.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...