two things....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2009

    Super ingenuity ...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2009

    duh jamaa kila kitu ni two things involved...... nilifikiri kuwa baada ya kufa ni motoni au peponi .....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2009

    Baada ya kufa kwa HIV there r 2 things involved either ur in the heaven or hell , If ur in the heaven ur in safe but if ur in the hell ur finished forever.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2009

    Ni MSG Muwe waangalifu. Ila kweli angemalizia Peponi au motoni. Pazi. ni Critic tu sie msituchukulie mengine hahaha.

    ReplyDelete
  5. jamani mwenzenu sijui uelewa wangu mdogo au sijui ni nini maana nimeitazama hiyo picha hadi naona maluweluwe but sijacheka na wala sijaelewa why tumeambiwa tucheke tunenepe.....haya nisaidieni basi....as nimejaribu kutumia mbinu zote ninazotumia kwenye cartoon ya Kingo wapi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2009

    vaeni kondomu jamani ukimwi unaua!....

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 27, 2009

    Accent ya mshikaji ni "mpopo" haina mashaka.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 27, 2009

    IT'S FUNNY LAKINI JAMAA ALIPOTEZA MUELEKEO BAADA YA EITHER YOU KILL SOMEBODY OR SOMEBOY KILL YOU..

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 27, 2009

    UJUMBE UKO WAZI. WACHANGIAJI MBUMBUMBU A.K.A. PAM - UTAANZA NA TWO THINGS LAKINI MBIO ZA SAKAFUNI HUISHIA UKINGONI = KIFO. HUYU KIJANA AMETUMIA LUGHA YA NGONJELA KUKUELEMISHENI. UTACHEKA LKN KUMBUKA UKIMWI NI TAMATI. KAMA HUMWELEWI KAJIANDIKISHE NGOMBARU - MBONA MIMI VIVA YANGU NI KESHO NA UMRI 58 WAKE 4 WTT 18 N.K?????? ACHENI UHIYO-EXTRA - kuwa ukonde basi..fabulous stuff..

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 28, 2009

    There is two things involve either you laugh or don't laugh/ I laugh!!!! and Laugh!!!! So funny.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 28, 2009

    If you watched this video,two things are involved,either you learned or laughed,if you learned you are safe,if you laughed two things are involved either you laughed comedian thoughts or his English accent,if you laughed his thoughs you are safe,if you laughed at his accent two things are involve,either you imitate English accent or u still have your accent,if you imitate English accent you are safe but if you still use your matumbi accent just one thing is involve,white people won't understand you.They will be like excuse me?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 28, 2009

    WA ANONY WA 'Tue Jul 28, 03:51:00AM' hakika umeniacha nauguza mbavu zangu.....unatisha!! Mdau_Japan

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 29, 2009

    Jamaa Lengo lake ni zuri kila moja anaona hapo, labda mtoto mdogo ndio itakua shida. Ila ameboa mwishoni kumpoint mwanamke kama chanzo cha AIDS. Huu ni udhalilishaji wa Kijinsia, tuangalie full msg sio tunacheka kwa vichekesho vya mwanzo na kupoteza the whole content. Tuwe makini tunapopokea msg/ujumbe. Tujitahidi kuuelewa wote, then fanya uchambuzi kidogo tu. Mmechangia kweli bila kuliona hilo. haya watanzania, najua mmerithishwa kupenda kucheka na mizaha zaidi. Tubadilike. Kazi bado kubwa mbele yetu. UKIMWI UNATATUMALIZA.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 29, 2009

    Kutumia mwanamke si ubaguzi wa jinsia kumbuka ujumbe wake umetawaliwa na sanaa zaidi hivyo alikuwa katika mchakato tuu wa kufikisha ujumbe juu ya ukimwi.
    GJK

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 30, 2009

    emmanel adebayo wa man city... hahaaaaaaa

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 30, 2009

    GJK, bado sikubaliani na ww. Sanaa inaatakiwa ifikishe ujumbe sahihi, hasa kwenye issue sensitive kama UKIMWI nk. Sababu hapo sasa inaonekana mwanaume kama ni mhanga na wala sio chanzo, wakati ukweli ni wote chanzo tu. Inategemea. NI SUBJECTIVE ZAIDI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...