hoteli ya movenpick ilikuwa white tupu ijumaa usiku
palikuwa hapatoshi
flaviana matata akiwa vekesheni nyeupe na wenzie
mr. gonga akila pozi na jide
white, white, white mpaka basi
ukiwa huna white ulikuwa unaonekana kama dole gumba lililo na donda
mtu mzima JP afurahia fanaka ya white party yake na wadau
DJ bonny luv aliyemwaga old skul usiku kucha akiwa na mr gonga na mdau









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Nanii wa nanihii, hukwenda kwenye huu mnuso? Au Zefulanazi wozi noti alaudi?

    P.E.D

    ReplyDelete
  2. FRANK MACHOZI NA JIDE ETI NI NDUGU? NILISIKIA WATU WANASEMA, PIA NAONA KAMA WAMEFANANA HIVI AU MACHO YANGU! MNITANABAISHE WADAUZZZZZ

    ReplyDelete
  3. Unawaleta hapo watoto watundu na Pisto za maji unaweka maji ya Tomato Sause Chafuwa mbaya hahahaa. watoto wenye machungu na maisha kule majalalani siku za zaka hizi muwakumbuke sio mnakumbuka white party tu lini black party?. Mzushi.

    ReplyDelete
  4. Michu. Zefulanas ilikuwa ya njano ndio maaana nanihii haonekani hapa?

    ReplyDelete
  5. Bado Naked Party. Naked Party huwa ni maarufu sana huku mitaa ya Europa.Nimeshahudhuria sanna. Huwa ni tamu. Au kuna Sex Party ambazo ukiingia humo ni sex tu mtindo mmoja. Jinsi Globalization inavyoenda kwa kasi lazma hizi party zitafika Darisalama.

    ReplyDelete
  6. Woooooow!! Jamani TZ tambarare sanaaa...kumekucha sana, na kuna mvuto wa nguvu. Inaonekana watoto woote wanaokaa majuu wakishuka mambo yanachangamka kwa sana...safi sana, kila kitu kinaonekana poa. mzee nanihii asante kwa kutu apdati na vijinuuz vya wite pati..senkyuu veri machi.

    ReplyDelete
  7. KWENDA ZAKO MKUU WHITE PARTY IMEFANA WAKATI MADADA WANA VIPOCHI VYEUSI NA PINKI KIBAO... HIYO IMESHAFELI MKUU. P.DIDDY AKIONA HIYO ANAWEZA KUJINYONGA....KWAKE MPAKA MSOSI ULIKUA MWEUPE.... HIYO NDIO ILE TUNAITA BIGA UFE..

    ReplyDelete
  8. Its obvious that this party rocked japo kuwa sikuweza hudhuria. JP tuletee na huku Columbus basi.

    ReplyDelete
  9. Kanzu white na kibarakashia white vinakubalika?

    hahaha

    ReplyDelete
  10. misupu umekosea, Boniluv hakupiga mangoma alikuja kula raha tu na mawaif wake, tulirushwa na peter mo na steve b wanafunzi wake...mzee mwenyewe alikula poz

    ReplyDelete
  11. ama kweli bonny love kazeeka kweli manake nikikumbuka wakati wa shule tuko pamoja na wengine ambao kwa sasa ni marehemu yaani naona duuu kama mnamjua mwalim SHARIF hahaha ni viboko tu eti leo ni selebriti wa huko... kamichu narudi na mie please niweke kwenye hii blog na vipi wale watoto waliokuwa viziwi kule mbagala vipi kamichu mbona hutu updeti?

    ReplyDelete
  12. afu kweli pati ya puff didy ilifana sana ila wote tunajifunza leo ni white pati kesho ni blu na mwishoe labda globolizeshen basi ni uchi pati (over my dead body) haiji kutokea KAMWE. si mnaona zeutamu imeshakuwa marehemu?? so hii ya michuzi ni blog ya kistaarabu sana haina uswahili, congrats bro michu

    ReplyDelete
  13. haaahaaa kweli bongo tambarare na mimi nitaleta black part nitamualika na jk

    ReplyDelete
  14. Mbona watu wa maraha ni hao hao? kila siku kwenye party tunaona sura hizo hizo wengine hawajui kuparty au wako kwenye FB

    ReplyDelete
  15. Jamani watu walipendeza mnoooo...IS that FJ nakuona kwa mbaaali...ndo maana simuoni kwa LIBENEKE....FJ tutafutane plzz

    ReplyDelete
  16. Sura zilezile!,Watu wanaona mbali hawana time na mambo yasiyo na tija hakuna vijana waliofanikiwa na wanaoheshimika bongo simwoni; Nehemiah Msechu(CEO CBA), Heri Bomani ( CEO KCB), Kelvin Twissa ( Head marketing ZAIN), David Minja ( Head marketing TBL), Mafuru ( Head marketing Voda), Imani Kajula ( Head Marketing and Communication NMB), Bashir ( CEO Stanbic) etc.

    ReplyDelete
  17. not bad lakini mpako empti ...mie sikuweza kudhuria maana fundi shabani hakumaliza ngo yangu .sasa swali nani alikuwa ze besti dress ?maana tuliambiwa tutapewa zawadi

    ReplyDelete
  18. Jamani Miafrika kwa nini hivyo?
    Kila kitu ni kuiga iga tu si muwe creative jamani? Mngejitahidi kuwa wabunifu mkatoka na kitu cha Kiafrika hii tayari wenzenu wamesha ifanya nyie mnarudia tu.
    Miafrika ndivyo tulivyo tutaendelea kuiga kila kitu. Mdau Fidel

    ReplyDelete
  19. ha ha haa ati humuoni kevin twisa we nenda tu facebook utamkuta amejaa tele tena kapiga full white kwani watu wakila raha siku za weekend ni crime? ati ooh fanyeni kazi kwani uliambiwa hao watu wooote kwenye hiyo party hawafanyi kazi jamani acheni wivuuuuuuuuuuu ukute we mwenyewe apeche alolo
    mdaus canada

    ReplyDelete
  20. Kuiga iga nini wewee hapo juu!! Unaongea pumba bila kuiga wewe ungefika hapo ulipo?? Kwanini usingebaki kwenu KIJIJINI Naminywili ukaendelea kuwinda ndezi,, hacha habari zako. Haloo Party Nyeupe kweli ilifana licha ya vikasoro vidogo vdogo tuu kama hao waliochanganya rangi mambo flani, lakini next time hop itakuwa mzuka zaidi.Big up mtoto wa Mwalimu Eliya (J.P)

    ReplyDelete
  21. tutaiga sana enzi zilee kwenye arusi sisi wachaga ati ndafu ilikuwa inaitwa keki ebo kwi.. kwi.. kwi... kweli kuiga ni safi sana siku hizi kuna ndafu na keki utajiju kuiga ni poa sana watu wananyuka pamba za haja wana panda ndege business class kujichana na uma yoote hii ni kuiga kuifanya dunia imeremete na kuwa a better place for you and for me na uache kijiba cha roho basi usiitwe fidel manake limekaa kidhungu hilo jina ni la kijijini kwenu????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...