yanga ikiwa brazil miaka hiyo. haya tena wadau wenye data, msaada tutani. mie naanza na bona max, wa kwanza shoto waliochchumaa..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Timu zilizowahi kwenda Brazil Kutoka Tanzania za Mwanzo nafikiri ni Yanga na Pan african. Simba ikawa ya kwanza Kwenda nje France.

    ReplyDelete
  2. Wee anon, acha maneno yako. Mnyama alienda Brazil na akarudi na style ya Samba Carnival na Kocha Mbrazil Paulo Nizzo.

    Aliyefanikisha yote hayo alikuwa Muheshimiwa ..................alipokuwa Waziri wa ...............

    ReplyDelete
  3. wa2 shoto waliosimama ni Athuman Kilambo na wa mwisho kulia waliosimama ni Omary Kapera (mwamba) golikipa alievaa nyeusi ni Muhidin Fadhili
    mdau
    Kisiju Pwani

    ReplyDelete
  4. Kaka Michu naomba nifahamu hawa wachezaji wa SIMBA wa zamani wapo wapi? Nimesikia Kasongo Athumani ni teja anaiba mikufu na simu hapo Manzese. Je hawa wapo wapi? Abduli mashine, Twaha hamidu, Fikiri Magoso, Mustafa Hoza, Geoege Lucas, Ntwa Kiwhelu, Hussein Masha, George Masatu, Duwa Saidi, Fanibula, Alfonce Modest. Niliowasahu ntaniwekea chini R.I.P. Gaga lino na Saidi Mwamba

    ReplyDelete
  5. Nakumbuka Simba iliporudi toka France ndio wakaenda kupambana na Stella Abjan kwenye fainali ya kombe la CUF mwaka 1992.

    ReplyDelete
  6. Hali yako ndugu yangu Michu na pole kwa kazi . kwa kuchangia tu comment ya mdau anon wa oct 28 05.12pm napenda kumsaidia kuwa Simba kwenda nje(ya bara la Africa) kabla ya ufaransa ilikuwa Poland . tukirudi kwa listi hiyo ya Yanga ni kwa waliosimama kutoka kushoto 1 jina limenitoka, 2 Athuman Kilambo, 3 Hassan Gobos ,4 Elias Michael,5 Selemani Said Sanga ,6 Abdulrahman Juma ,7 Omar Kapera. waliochuchumaa kutoka kushoto 1 Bona max,2 Maulid Dilunga,3 Clement 4 Adam Juma,5 Gibson Sembuli. na hiyo nadhani ilikuwa milango ya 73 na 74. kwa kumalizia tu nakuomba Mkuu wa wilaya ya Aggrey usiwe unabania Comment za watu mara tunapokukosoa . Mdau Leicester UK.

    ReplyDelete
  7. George Lucas nyeo yupo ktk kituo cha kuuza mafuta mbagala zakhem pamoja na kaka yake Rafael Lucas nyeo wanafanya kazi pale na Hussein Aman Masha yupo Reading uk anabeba boksi
    MdaU
    KisiJu PwAnI

    ReplyDelete
  8. waliosimama kutoka kulia ni athman kilambo,hassan gobbos,elias michael,seleman said,abdulrahman juma,na omar kapera. waliochuchumaa kutoka kulia ni bona max,maulidi dilunga,clement joseph,moshe dayan n a gibson sembuli. hapa kitwana manara na sunday manara walikuwa reserve nakumbuka tulikuwa jirani dom na manaras family 1974 tukasikia yanga walipata ajali kidogo ya ndege huko brazil, dada yao mgeni manara alikuwa anafurahia kwa kelele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...