THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

damas na grace wameremeta

grace akinakshiwanakshiw katika saluni ya maznat mikocheni kabla ya kuelekea kanisani

mdau Damas Joseph Mallya na aliyekuwa Grace Seth Mbiro wakimeremeteshwa rasmi katika Kanisa la Mashahidi wa Uganda Magomeni Makuti jijini Dar
Damas na mai waifu wake Grace baada ya kumeremeta
maharusi na wapambe wao
mwenyekiti wa kamati ya maandalizi anatoa zawadi ya kamati ikiwa ni kadi pamoja na cheki ya shilingi milioni 25 kwenye mnuso wao hoteli ya kilimanjaro kempinski
anko akiwa na wadau victor (shoto) na gideon kwenye mnuso huo wa nguvu
baadhi ya wanakamatiKuna Maoni 18 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Michuzi we mkali, yaani minuso haikupiti? lol
  Hongereni maharusi mmependeza.

 2. Anonymous Anasema:

  Michuzi hapo hakuna ubishi hao ni Wakibosho kabisaaa harusi zao tunazijua bwana

 3. Anonymous Anasema:

  Wamenona kibongobongo!

 4. Anonymous Anasema:

  Hongera bibi na bwana harusi!Bi harusi ana sura nadhifu sana ila ingekuwa heri mbunifu wa nguo yake angebuni mtindo wa nguo unaoendana na umbo la Bi harusi, si kila mtindo unamfaa kila mtu...!

 5. Anonymous Anasema:

  anapasha moto kiporo

 6. Anonymous Anasema:

  wameshiba haswa, hongeeni jamani! bibi harusi she is beutifully! sasa wewe michuthi mbona unaenda tu kwenye minuso ya nguvu! hala mama unamwacha home!

 7. Anonymous Anasema:

  zawadi nono lakini badala ya kwenda haneymoon waende gym....na wamwalike mpambe wa kike...manake naona kuna wakati kucatch up na sherehe ilikua taaabu...ilibidi akae tu...

 8. Anonymous Anasema:

  Bibi harusi is so beautiful pamoja na mwili wake, ila angeweza kuchagua bwana kijana wangetoka zaidi, au wadau mnasemaje?Chuma kizuri hiko kisingekosa kijana mzuri

 9. Wabarikiwe.
  Sasa Kaka hiyo taswira ya chini lighting yake ilikuwaje? Ni mambo ya bouncer ama ni makusudi? Nataka kusoma kama nionavyo mimi ndivyo ama ni mautundu yako ambayo yatakuwa mapya kwangu
  Na lens ilikuwa wide angle?
  Blessings

 10. Anonymous Anasema:

  watu wazima sana hawa sijajua kwanini wapo hivyo...........

 11. Anonymous Anasema:

  Hongereni Mungu awabariki na kuwajalia katika ndoa yenu pasiwepo na vidudu watu kwani mapenzi hayana umri.

 12. Anonymous Anasema:

  Huyu bwana harusi hii ni harusi yake ya ngapi?Mbona amekaa kama FATAKI!!! (brand new second hand)

 13. Anonymous Anasema:

  hongera baba vero lol, kweli ndoa haichagui umri.

 14. Anonymous Anasema:

  Michuzi we umeshasafiri sana, hivyo unatakiwe uwe mfano kwa jamii, nguo gani hizo umevaa kwenye mnuso, simaanishi lazima uvae suti lakini smart!

 15. Anonymous Anasema:

  hivi michuzi unajua kama nina hasila yakukaa unanibania comment zangu? kinachonisikitisha sioni kwanini unanibania?Ebwanaee mimi nina hasila ya hatali sana kutoniwekea comment,,,ni dhalau tu. nashangaa comments 5 tano zoote sijaona hata moja,,ujue kuwa tunahakikisha kama umeweka comment zetu bwana ,,acha ujinga huo,

 16. Anonymous Anasema:

  Hongera mjomba na Mungu awabariki katika ndoa yenu ni mengi watasema lakini upondo na ndoa yenu ndio vinaumuimu katika maisha.

 17. Lavidalocka Anasema:

  Hongereni maharusi, Ila kuna jambo kubwa sana limejificha kwenye ndoa hii. Wote hamjaliona ila ninajua wengi wenu mtakuwa mnamsikitia baba harusi tena sana tu kwani hata yeye halijui jambo hilo.

  Ila upande wa Mama harusi naye naona pia kuna jambo kubwa sana lipo moyoni mwake au kwa makusudi kisha badilishana na bwana harusi na wote jambo hilo kubwa lipo mioyoni mwao. Jamani ni lazima tuwe makini maana kama hujui ni usiku wa giza.

  Jambo hilo ni "UPENDO WA DHATI" Ninaouona kwa maharusi hawa wawili. IDUMU NDOA HII na mungu awabariki sana

 18. Anonymous Anasema:

  Hongera baba angu kwa kupata mrithi mzur, Muwe tu na upendo isije ikawa yaleyaleeeeeeeeeee...