grace akinakshiwanakshiw katika saluni ya maznat mikocheni kabla ya kuelekea kanisani
mdau Damas Joseph Mallya na aliyekuwa Grace Seth Mbiro wakimeremeteshwa rasmi katika Kanisa la Mashahidi wa Uganda Magomeni Makuti jijini Dar
Damas na mai waifu wake Grace baada ya kumeremeta
maharusi na wapambe wao
mwenyekiti wa kamati ya maandalizi anatoa zawadi ya kamati ikiwa ni kadi pamoja na cheki ya shilingi milioni 25 kwenye mnuso wao hoteli ya kilimanjaro kempinski
anko akiwa na wadau victor (shoto) na gideon kwenye mnuso huo wa nguvu
baadhi ya wanakamati






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Michuzi we mkali, yaani minuso haikupiti? lol
    Hongereni maharusi mmependeza.

    ReplyDelete
  2. Michuzi hapo hakuna ubishi hao ni Wakibosho kabisaaa harusi zao tunazijua bwana

    ReplyDelete
  3. Wamenona kibongobongo!

    ReplyDelete
  4. Hongera bibi na bwana harusi!Bi harusi ana sura nadhifu sana ila ingekuwa heri mbunifu wa nguo yake angebuni mtindo wa nguo unaoendana na umbo la Bi harusi, si kila mtindo unamfaa kila mtu...!

    ReplyDelete
  5. anapasha moto kiporo

    ReplyDelete
  6. wameshiba haswa, hongeeni jamani! bibi harusi she is beutifully! sasa wewe michuthi mbona unaenda tu kwenye minuso ya nguvu! hala mama unamwacha home!

    ReplyDelete
  7. zawadi nono lakini badala ya kwenda haneymoon waende gym....na wamwalike mpambe wa kike...manake naona kuna wakati kucatch up na sherehe ilikua taaabu...ilibidi akae tu...

    ReplyDelete
  8. Bibi harusi is so beautiful pamoja na mwili wake, ila angeweza kuchagua bwana kijana wangetoka zaidi, au wadau mnasemaje?Chuma kizuri hiko kisingekosa kijana mzuri

    ReplyDelete
  9. Wabarikiwe.
    Sasa Kaka hiyo taswira ya chini lighting yake ilikuwaje? Ni mambo ya bouncer ama ni makusudi? Nataka kusoma kama nionavyo mimi ndivyo ama ni mautundu yako ambayo yatakuwa mapya kwangu
    Na lens ilikuwa wide angle?
    Blessings

    ReplyDelete
  10. watu wazima sana hawa sijajua kwanini wapo hivyo...........

    ReplyDelete
  11. Hongereni Mungu awabariki na kuwajalia katika ndoa yenu pasiwepo na vidudu watu kwani mapenzi hayana umri.

    ReplyDelete
  12. Huyu bwana harusi hii ni harusi yake ya ngapi?Mbona amekaa kama FATAKI!!! (brand new second hand)

    ReplyDelete
  13. hongera baba vero lol, kweli ndoa haichagui umri.

    ReplyDelete
  14. Michuzi we umeshasafiri sana, hivyo unatakiwe uwe mfano kwa jamii, nguo gani hizo umevaa kwenye mnuso, simaanishi lazima uvae suti lakini smart!

    ReplyDelete
  15. hivi michuzi unajua kama nina hasila yakukaa unanibania comment zangu? kinachonisikitisha sioni kwanini unanibania?Ebwanaee mimi nina hasila ya hatali sana kutoniwekea comment,,,ni dhalau tu. nashangaa comments 5 tano zoote sijaona hata moja,,ujue kuwa tunahakikisha kama umeweka comment zetu bwana ,,acha ujinga huo,

    ReplyDelete
  16. Hongera mjomba na Mungu awabariki katika ndoa yenu ni mengi watasema lakini upondo na ndoa yenu ndio vinaumuimu katika maisha.

    ReplyDelete
  17. Hongereni maharusi, Ila kuna jambo kubwa sana limejificha kwenye ndoa hii. Wote hamjaliona ila ninajua wengi wenu mtakuwa mnamsikitia baba harusi tena sana tu kwani hata yeye halijui jambo hilo.

    Ila upande wa Mama harusi naye naona pia kuna jambo kubwa sana lipo moyoni mwake au kwa makusudi kisha badilishana na bwana harusi na wote jambo hilo kubwa lipo mioyoni mwao. Jamani ni lazima tuwe makini maana kama hujui ni usiku wa giza.

    Jambo hilo ni "UPENDO WA DHATI" Ninaouona kwa maharusi hawa wawili. IDUMU NDOA HII na mungu awabariki sana

    ReplyDelete
  18. Hongera baba angu kwa kupata mrithi mzur, Muwe tu na upendo isije ikawa yaleyaleeeeeeeeeee...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...