Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akizindua Program ya Miaka Mitano ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi inayoratibiwa na Vyuo vikuu vya Sokoine, Dar es Salaam na Ardhi kwa kushirikiana na Chuo cha Life Sciences cha Norway.kulia Prof Idris Mshoro, Prof Y Mgaya, Prof Geraid Monella na Balozi wa Royal Norwegian Bw Jon Lomoy Leo Huko Ubungo Plaza jijini Dar leo. Picha na Ali Meja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. tabia nchi tafsiri yake kwa kiinglishi ni ipi?? ni country characteristics au ni country behaviors?? lipi katika haya ni sahihi?. nisaidieni wadau manake nataka kuvamia fani ya mazingira sasa striiti kumekuwa kugumu!!!
    mkosa kazi, manzase, dsm.

    ReplyDelete
  2. Tabia nchi=Climate
    Mabadiliko ya Tabia nchi=Climate Change.

    ReplyDelete
  3. Haya majina huwa yanatungwa na nani? Huwa wanatoan "Press Release" kuwa wametunga jina jipya?

    ReplyDelete
  4. Hapo naona ma profesa na ma dokta, ila kuna dokta mmoja simuoni, naye ni 'Dr. US Blogger'-hahaha


    (US Blogger)

    ReplyDelete
  5. Dr. Buriani unapendezaga sana Mash Allah, keep it up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...