Sudanese artiste Emmanuel won many a heart with his songs and poetry aimed at bringing peace and harmony in the African continent
Super Duet: Senegalese mega star Youssou N'dour and Benin's queen of african music Anjelique Kidjo in action during last night's Mo Ibrahim Fundation's Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership at the Mlimani City Conference Centre in Dar es salaam. Nd'our turned 50 and the Mo Ibrahim Foundation paid special tribute to the music icon
Youssour Nd'our does his evergreen hit 'Bilima' to the delight of all

The enthusiatic crowd led by President of Tanzania Jakaya Kikwete wave after Nd'our

Mo Ibrahim gives a short presentation

Dr. Salim Ahmed Salim sets the tone with his opening speech

Ibrahim Prize laurete for 2008 former Botswana President Festus Moghae speaks

Apart from singing Angelique Kidjo was also MC of the night

a bird's-eye view of the function hall

President Jakaya Kikwete, former Botswana President Sir Ketumile masire (left) Zanzibar'sChief Minister Shamsi Vuai Nahodha (second left), Mo Ibrahim and Dr Salim Ahmed Salim give a standing ovasion

President Jakaya Kikwete greets former Prime Minister Frederick Sumaye who is flanked by another former Premier Judge Joseph Warioba

The crowd waves back to Youssou Nd'our

UN-Habitat boss Prof. Anna Tibaijuka (left) and Executive Secretary of the International Conference on the Great Lakes Region Ambassador Liberata Mulamula and the President of the African Development Bank Dr. Donald Kaberuka join the VIPs to dance to nd'our's tunes

President Jakaya Kikwete mingles with the crowd at the post-function cocktail



Executive Secretary of the Mwalimu Nyerere Foundation Mr. Joseph Bitiku (left) chats with Minister for Livestock Development and Fishery Hon. John Pombe Magufuli. behind them are former Zanzibar Chief Minister Dr. Ghalib Bilal (right) and former CCM Secretary General Philip Mang'ura

Suprise guest: Mo Ibrahim is and other VIPs are delighter to see Inkosi Mangosuthu Buthelezi, the veteran South African Zulu politician who is the leader of the Inkatha Freedom Party.

















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Great moment for Youssouor Nd'our, he is such a great musician. Music is great weapon in bringing peace and harmony in our world, but only if its taken seriously with serious artist like Youssour Nd'our. Music bring together enemies and get moment to shake hands, and forgets their differences. Bush can shake hand with Osama. Its time now for our brothers and sisters who call themselves musician to think global, get inspired by Youssour success and his vision for his country and Africa.

    ReplyDelete
  2. YOU KNOW THE MEANING OF BIRD'S EYE VIEW????? OR YOU JUST WANNA SEEN AS IF YOU KNOW. NI KWAMBE MAONO YA NDEGE NI PICHA ILYOPIGWA TO KA JUU NA KUANGALIA CHINI MSEMO HUO UMEKUJA KWA KUMUONA NDEGE AKIWA JUU ANATAZAMA CHINI, SASA HIYO PICHA YAKO SI BIRD'S EYE VIEW HUJAPIGA UKIWA ANGANI/JUU UKIANGALIA CHINI, TAFADHALI USIPOTOSHE WATU.

    ReplyDelete
  3. michuzi waahabarishe waungwana kua
    Mo Ibrahim is the richest man from Africa continent , ni mzaliwa wa Sudan lakini kwa sasa anaishi UK,
    Kila mwaka hutoa zawadi ya US$1 M kwa kiongozi bora wa Africa,

    ReplyDelete
  4. ain't fisadisNovember 16, 2009

    this mo ibrahim ange vizuri zaidi kama angesaidia maskini kuliko mafisadi

    ReplyDelete
  5. hivi huyo bodigadi kuaribu shughuli ya watu na migwanda yake ndo nini kwani angepiga suti then awe benet na mkuu isingewezekana?? labda sielewi lakini haina mvuto dizain kuogopesha watu

    ReplyDelete
  6. Kila mtu ni tajiri kwa namna moja au nyingine. Utajiri sio lazima uwe wa pesa tuu, hata hekima, busara, utu,upendo na amani ni utajiri mkubwa ajabu. Mo Ibrahim pesa ni zako na familia yako. Nikisifia utajiri wako nafaidi nini? Sisi wabongo tutumie akili zenu kuzalisha chakula cha kutosha na kuuza nje. Sijapenda sana kumwona rais wangu anashiriki kwenye ka-shughuli kama haka ka Mo Ibrahim. sio saizi yake kabisa. Next time watu wa protocol angalieni hili pliiiz. Vipi Nyerere ingeweza kuwa anga hizo kama angekuwa bado hai??

    ReplyDelete
  7. NAKUBALIANA NA ANON Sun Nov 15, 05:49:00 PM, HIYO SLIDE YA TISA SI BIRD'S EYE VIEW BALI NI ONE POINT PERSPECTIVE VIEW KWA SABABU KUNA VARNISHING POINT MOJA. BIRD'S EYE VIEW ISHAELEZEWA NA MDAU HAPO JUU, NA KWA JINA JINGINE INAITWA AERIAL VIEW
    Mdau Chiggs, deslam

    ReplyDelete
  8. Watu kama akina MO tunawahitaji sana AFrica sio kwa ajili ya pesa zao lakini amechukua hatua kukuza Demkrasia na utawala bora. Unajua mwaka huu hawajampa mtu hiyo award kutokana na kuwa mwaka jana hakukuwa na rais wa Africa aliyemaliza muda wake wa utumishi na ameonyesha kufanya vizuri. Naisifu hii kamati ya MO kwani wanaonekana wapo makini kuzingatia vigezo vyao, Mkapa hawezi kuqualify, wala Obasanjo unaona jinsi wanavyoangalia kwa makini?

    ReplyDelete
  9. we unaelalamika ati hujapenda raisi kuwapo hiyo sehemu hata na yeye ni binadamu kwani kosa liko wapi hapo mwache ajiachie maisha mafupi kama nyerere asingeweza kwenda hapo yeye kaenda vidole vilingani

    ReplyDelete
  10. Ok, Mo kaenda kucheza uwanja usio na refa wala sheria. Huyu jamaa simzimii hata kidogo. Aliyoyafanya TTCL na hao wajumbe wake wa Bodi Ya Wakurugenzi kina Salim Ahmed Salim, Joseph Warioba, Pius Msekwa, Omar Issa na wengineo hastahili hata kidogo kutoa tuzo yoyote inayohusu maadili au uadilifu.

    ReplyDelete
  11. NCHI YETU INGEJARIBU KUBADILISHA MFUMO WA ULINZI WA RAIS KWANI NI KUJIAIBISHA

    KWA SASA INGEFAA MLINZI WA RAIS AVAE VAZI LA KAWAIDA AU SUTI NA AWE NA REDIO KWENYE MASKIO KAMA INAVYOTUMIKA KOTE DUNIANI

    HAYO MAMBO YA KUVAA MAGWANDA YAMEPITWA NA WAKATI TENA YANAHARIBU SHUGHULI ZA KIHESHIMA

    SEHEMU KAMA HIYO WENGI WALIOFIKA HAPO NI WAKUU LAKINI UTAKUTA KUNA MTU AMEVAA MAGWANDA KUMLINDA RAIS

    SASA KWANZA KWA UPANDE WANGU NIJUAVYO MIMI MLINZI WA RAIS ANATAKIWA AVAE SUTI AKAE KAMA KAWAIDA ILI ASIJULIKANE SANA YUPI ANAEMLINDA

    SASA KWA HUKO KWETU MLINZI WA RAIS KAVAA MAGWANDA NA SAA ZOTE KAKAMAA NYUMA YA RAIS

    HEBU WADAU ANGALIENI HIZO PICHA UTAMUONA JAMAA NA MAGWANDA YAKE UTASEMA WAPO KAMBI ZA JESHI

    WATANZANIA TUNAJICHELEWESHA WENYEWE KWENYE MIFUMO MIPYA YA MAENDELEO ALAFU TUNALALAMIKA OOOH BADO TUPO NYUMA SANA VITU KAMA HIVYO INAFAA KUFANYA MABADILIKO HARAKA

    ReplyDelete
  12. Kwa mtazamo wangu suala hilo la mlinzi kuvaa magwanda linafanywa zaidi ili kutoa picha kwamba Jeshi la Tanzania linamuunga mkono Raisi (ukizingatia mapinduzi ambayo yanatokea mpaka leo Africa, nadhani hiyo wanaona ni muhimu). Ni kweli hamna nchi nyingine ninayojua wanafanya hivyo, lakini viongozi wetu wanafikiria hatua 3 mbele zaidi yetu, muwaogope!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...