anko akiwa na mdau MC Catunda (shoto) ambaye yuko vekesheni akitokea marekani na mdau wa hapa hapa bongo wikiendi hii. Globu ya Jamii inaheshimu sana wadau na hufurahi kupata habari kwamba huko waliko libeneke ni kama kawa
anko akila konozz toka kwa Mike ChumaMchezaji Soka wa Tanzania wa kimataifa wa Tanzania Mike Chuma anayecheza soka la kulipwa Nchini Denmark katika timu ya daraja la pili ya Alvarta Tanga baada ya ligi nchini humo kusimama kwa vekesheni ya mwezi mmoja. Chuma aliyekuwa akichezea katika klabu ya Valerlose amesema aliihama klabu hiyo katika majira ya baridi na kujiunga na klabu hiyo ya Avarta ambayo pia iko daraja la pili. Chuma ambaye amewahi kuichezea timu ya Simba kabla ya kwenda Denmark anatarajia kurejea Denmark kuendeleza libeneke wiki ijayo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Oga tutafutane nipe number!

    ReplyDelete
  2. mhhh Misupu naona una uzi mpya,baada ya wadau kukupigia domo sana na ule uzi wa ngazi ngazi blue na kijivu,maana ule uzi ulipigwa sana na jua mpaka ukawa umepauka sana,ila huo ulioutinga ,mwana umelipukaa sana ,

    ReplyDelete
  3. Aaah mzee Oganigwe uko "vekeshen". Haya kula bata kwa kwenda mbele, halafu karibu tena kwenye winter!

    ReplyDelete
  4. DUH mzee wa libeneke unapenda sana hizo fulana za ngazi ngazi, basi ndugu yangu nunua japo tatu au nne zingine lakini wewe ukianza kuisakama hiyo mpaka kipauke, usitutie aibu mzee wa libeneke.

    ReplyDelete
  5. bwana Misupu wala huna haja ya kutoelezea mdau wa bongo ni nani na wa ughaibuni ni yupi kati ya hao wawili kwani hali zao tu unajaza yupi ni yupi..kazi njema

    ReplyDelete
  6. kesha piga box sana sasa matanuzi karibu bongo land ukishangaa hata ticket utaiweka dhamana na wanakupa visa ya kifo vile vile (mawaya)

    ReplyDelete
  7. Oga , sema babake?, hebu tutaftane unakuja kimya kimya , njoo tukuonyeshe raha ya Dar ,maana najua huko kiwanja mnatesekaga sana.
    Mtoto wa Kishua

    ReplyDelete
  8. Michu, mtambulishe jamaa kwa Maximo labda atamchukuwa kufanya majaribio sababu Bongo 2naitaji wa2 kama hao

    ReplyDelete
  9. Maximo anamtambua jamaa. Alituwakilisha kwenye challenge miaka miwili iliyopita na kupiga bao moja au mawili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...