Profesa Mark Mwandosya akilishwa keki na mjukuu wake leo wakati wa hepi besdei yake ya kuzaliwa iliyofanyika kijijini kwake Lufilyo, Rungwe. Leo kagota miaka 60
Profesa Mwandosya akipokea zawadi toka kwa wajukuu akisaidiwa na mwanae


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Wazee waliotulia na familia zao hata maendeleo huonekana kwa macho,ila wale ambao zao ni kuhonga tuu basi hata nyumba kujenga ni shida

    ReplyDelete
  2. HAPPY BIRTHDAY PROF MWANDOSYA. MAY U LIVE LONG ENOUGH TO REALISE ALL YOUR DREAMS.BEST WISHES FOR 2010. GOD BLESS YU & YOUR FAMILY!

    ReplyDelete
  3. Hi david Luhanga umeonekana Dar, na wadau wanadai ni miaka mingi sana hujafika dar, umekuja kwa B/day ya rafiki ya ko prof. Mwandosya?

    ReplyDelete
  4. Nampenda sana huyu mzee wetu nilisikitika sana hakuwa raisi,anyway picha nzuri na zimejaa upendo na umoja kutoka kwa wajukuu wake.Na hiyo keki inaonekana ni kubwa na tamu lakini watoto wako wachache.

    Happy bethdei tu yuuuuu...lalaaaalalaaa.....tu yuuuu.

    Mhangaza wa kanazi
    http://duniayetukubwa.blogspot.com/

    ReplyDelete
  5. "kama unampenda sana mualike kwako unywe nae chai na mke wako"....JK NYERERE

    ReplyDelete
  6. Happy Birthday Prof. Mwandosya, the only sane man i know today may you live to blow 101 Candles, God has not finished the work he intended for you to do

    ReplyDelete
  7. happy birthday prof! mimi nakufagilia sana kwa kazi, upole wako. Mungu akupe mingine 60!

    ReplyDelete
  8. Usilolijua ni kama usiku wa kiza kinene.

    ReplyDelete
  9. Happy birthday Prof. kweli nyumba yako ni nzuri hii inadhiirisha moyo na nia yako nzuri dhidi ya familia yako, maana wezee wengi wa umri wako ni wachache sana utakuta ananyumba nzuri hivyo kijijini wao kazi yao ni kuhonga tu wakisha staafu wanaanza kuaibika na kuhangaika ovyo. Ipende na iheshimu familia na Mungu atakuzidishia maradufu. Mdau KK

    ReplyDelete
  10. Umefikisha umri wa kustaafu sasa. Hongera sana.

    Baki kijijini huko huko kwani huko ni kuzuri zaidi ya Dar kwa mtu aliyefika umri wa kustaafu kwa wewe. Waachie vijana wafanye kazi wewe pumzika tu.

    ReplyDelete
  11. Mdau LaMbegu sante sana kweli kabisa hebu waambie hao usilolijua ni kama usiku wa kiza tuu.. mpole muadilifu wapi wakati alichukua magari ya TRC enzi hizo yakaacha kazi ya trin ikiwa imepinduka na kulazimishwa kwenda mbeya kusaidia kampeni za uchaguzi uliopita

    muadilifu my foot!!

    ReplyDelete
  12. jamani kweli maisha bora kwa wenye vyeo vyao na utawala, hapo ni kijijini kwake, ............mmh mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki dogodogo cent.

    ni hayo tu.

    ReplyDelete
  13. Hongera sana Prof. Huyu ni mmoja wa vichwa ambavyo Tanz. inajivunia. Pia nadhani katika suala la urais sioni kwanini CCM bado wanaendelea kutafuta bahati za marais, huyu ndo Rais mwenyewe sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...