THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Mapishi ya Noeli


Nimetayarisha mapishi ya Noeli katika pdf.
Kwa sababu ya kazi na mambo mengi yanayoendelea sikupata muda wa kutafsiri.


NOELI NJEMA
http://tasteoftanzania.comKuna Maoni 3 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  MMhhh wewe hauna hela acha kuzushia watu mimi nimetoka kuchukua laki sita muda simrefu lakini mambo biyeee wala sijaibiwa kama usemavyo.

 2. Anonymous Anasema:

  Well done, you deserve credit for your effort to put things together for us wapenda mapishi. Sasa basi dada yangu naomba recipes za mandazi. Namiss kweli maandazi ya nyumbani yenye iriki, nitafurahi basi ukituwekea mapishi ya vitafunio mbali mbali. Noel njema pia and keep it up!!

  Mdau Canada!

 3. Anonymous Anasema:

  Looking yummy mama. Lakini ungeweka ingredients of each dish and how to mix the Mdish ingekuwa bomba zaidi.