Nimetayarisha mapishi ya Noeli katika pdf.
Kwa sababu ya kazi na mambo mengi yanayoendelea sikupata muda wa kutafsiri.


NOELI NJEMA
http://tasteoftanzania.com


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MMhhh wewe hauna hela acha kuzushia watu mimi nimetoka kuchukua laki sita muda simrefu lakini mambo biyeee wala sijaibiwa kama usemavyo.

    ReplyDelete
  2. Well done, you deserve credit for your effort to put things together for us wapenda mapishi. Sasa basi dada yangu naomba recipes za mandazi. Namiss kweli maandazi ya nyumbani yenye iriki, nitafurahi basi ukituwekea mapishi ya vitafunio mbali mbali. Noel njema pia and keep it up!!

    Mdau Canada!

    ReplyDelete
  3. Looking yummy mama. Lakini ungeweka ingredients of each dish and how to mix the Mdish ingekuwa bomba zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...