Ally Kiba On Sporah Show Discussing The Important of Condom for the Young Generation...Lily P "Am Not in Relationship But I Still Carry a Condom.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 41 mpaka sasa

  1. Sauti ya mic inaumiza masikio. please maproducer wa kipindi rekebisha hii kitu.

    ReplyDelete
  2. It was nice show, a little bit sharky at times but good overall. Ali Kiba, Lily P - your are grt ambassadors 4 the new generation. Big up Sporah girl - please spread the word esp our society is practically male dominant, we will get there but not without help from people like you! Hongera sana.

    ReplyDelete
  3. anawauliza maswali alafu wakianza kujibu, anawakatisha ili yeye aongee...inaudhi...waache wajibu..

    ReplyDelete
  4. the problem is not carrying condom but using it correctly.

    ReplyDelete
  5. KIBA NIMEMKUBALI, DEMU WAKO KUMKUTA NA NDOMMU APO NI UTATA SANA, ILA UKILIFIKIRIA JANGA LENYEWE APO INABIDI UTIE AKILI TU. ILA NDOM TATU TU PEKEYAKE AZITOSHI INABIDI NANE AT LIST UWENAZO SABA, HUWA ZINAPASUKA NA PIA INATEGEMEANA UNA MZUKA AINA GANI SIKU IYO. NA JAMAA YANGU ANAWEZA TUMIA MOJA GOLI TATU NA IZO NDO STORY ANATUPA MASKANI ETI ANABANA MATUMIZI, DU. KIBA UO WIMBO WA MADEM KUBEBA NDOM SIJUI UTAUANZAJE KAKA. NAKUPA IDEA, VERSE 1. NILIPATA AJALI, MPRIRA UKA PASUKA, AIRBAG ZIKA LIPUKA, NDO NIKAICHEKI POCHI WIFII, ZIPU IKAFUNGUKA, MPIRA MYPA NIKAUKUTA. MZUKA NIKAURUDISHA, GIA NIKABADILISHA. SAFARI IKAENDELEA NA DEEEEEN NIKAMFIKISHA. ILIKUA PATASHIKA NGUO KUCHANIKA. KAMA FIMBO TANDIKA, TUKO SAFE MAMIII, ALIKUA NA NDOOOOM MAMIIII,SAFARI YETU IINGEISHIA PWANIII, TUKAFIKA DOOOOOOM NA MIIIII, TUKO SAFE MAMIIIIII IIIII EEEEEEEEH. HAHA HAA.

    BIG UP KIBA.

    HASH WA DOMCITY.

    ReplyDelete
  6. i like this guy

    ReplyDelete
  7. ali kiba jitaidi kuongea kiingereza kidogo, sababu umeshakuwa mwanamziki mkubwa duniani na unatembea nchi nyingi duniani anyway big up!!!

    ReplyDelete
  8. libeneke la taifa linaendelea

    ReplyDelete
  9. inabidi tu niwe muwazi na kusema ukweli kwamba vijana wa kiume kwa wakike wa kiafrika na sio vijana tu bali hata watu wazima wanapenda ngono sana kuliko race zingine .na ninajaribu kwa muda mrefu sasa kutafiti ni nini sababu hasa ya jambo hili.
    nimeishi na watu wa race zote za hapa duniani,ila nimegundua kuna tofauti kubwa sana! sisemi kwamba race zingine hawafanyi ngono,ila ukifuatilia kwa dhati kabisa utagundua kwamba WANAWEZA KUWA KATIKA MAHUSIANO ya kirafiki{urafiki wa karibu sana) wakawa wanapigana mabusu ya kimapenzi,wanaweza kulala kitanda kimoja,kukumbatiana n.k lakini kwa kipindi chote hicho kabla hawajafikisha miaka 18 au hata wakawa wameivuka na hawajafanya tendo la ngono. hapa napata picha ya kiwango cha juu cha culture ya kibinadamu na uwezo wa kuitawala nafsi.
    lakini asilimia kubwa ya vijana wa kiafrika na hata watu wazima,akiwekwa karibu na mtu wa jinsia tofauti,utamuona anavyo weweseka,yaani anapata shida ya hali ya juu na ndipo matokeo yake kuishia kutaka ngono. na ndiyo maana maambukizi ya HIV kwa njia ya ngono ni makubwa sana afrika na yanawamaliza waafrika lakini bado hali yao ya utashi wa ngono iko palepale!!!!
    hitaji la ngono ni hitaji asilia.lakini hapa lazima ubongo utumike kuitawala nafsi ili tujenge utamaduni mpya. kuendelea kujifanya tunaenzi utamaduni wa kuficha mahusiano na kuzitenganisha jinsia tofauti kwa umbali mkubwa kunaishia kujenga vitu vya ajabu sana katika jamii,kwa mano:-
    1] wahindi na waarabu ambapo hutenganishwa strictly jinsia mbili,ambia ya u homosexual ni kubwa sana hasa kwa wanaume.
    2} kwa waafrika ambapo kutenganishwa sio sana,ila mahusiano yanafichwa,hupelekea ngono za kujificha na za kushtukiza bila kutumia akili zinakuwa nyingi,na mimba za nje ya ndoa,magonjwa,nk ni kwa wingi tu!!!
    3}kwa wachina ambapo akiwa na uhusiano unakuwa wazi na unaofuata mipaka husika hali yao haitishi sana.
    4}kwa wazungu ambapo wanakuwa wazi na wazazi maranyingi huhusika katika ushauri wa mahusiano hali ya magonjwa sio kubwa,ila tatizo lao lipo katika ndoa. maana freedom yao ya mahusiano hupeleka ndoa nyingi kutodumu,lkn hapa tatizo ni jingine na sio ngono,bali culture ya kutaka kuwa huru kivyako na kufanya utakalo kama binadamu asiyekuwa chini ya mili ya mwingine.
    haya kazi tunayo,ujumbe umefika.
    TUBADILI TABIA,DHIBITINI NAFSI ZENU na TUMA AKILI KATIKA KUAMUA,KUTENDA,NA KUPIMA MATOKEO kuliko KUTUMIA MISUKUMO YA MWILI KTK KUTENDA.vinginevyo AFRIKA itabakia tupu muda si mrefu!!!
    mdau.

    ReplyDelete
  10. Mhhh Kiba lugha ya kigeni aipandi Rudi shule jamani kama Mr blue,mhh jamaniata kuongelea kiswahili hii anashindwa pia duuh noma jamani.Ndo masataa wetu wabongo hao jamani

    ReplyDelete
  11. Dada Sporah, nakupa hongera kwa bidii uliyonayo ktk kazi ya habari.

    Napenda pia kukupa ushauri wa kuandaa kipindi kabla ya kukirusha hewani. Tunapenda kuangalia vipindi kama hivi hasa vinavyohusu mambo ya nyumbani. Lakini itakuwa vizuri kama utakuwa unaviandaa vizuri. Pia inabidi uwe unafanya kwa kutumia lugha moja, mfano unaweza kutumia kiswahili halafu kukawa na tafsiri.

    Kutokuongea kiingerza si dhambi,yaani show kama hiyo mngezungumza kiswahili pekee ingekuwa bomba sana.

    ReplyDelete
  12. My Two CentsFebruary 13, 2010

    This is definitely a breath of fresh air. The message is FINALLY sinking in the with younger generation. They understand that people WILL have sex whether or not there is marriage involved and whether or not there is protection. SEX will happen. Sex is nothing new, but AIDS is something that emerged a few decades ago. WE need to change the way we think in order to protect ourselves. Please talk to your children. Don't be embarrassed. The worst feeling you will have is when you bury you child who's died of AIDS knowing you could have done something. You could have said something to avoid all of this. It's time for this stigma, this embarrassment about using protection to end. WOMEN and MEN both should be responsible for their actions therefore the onus is on them to carry condoms at all times.

    The problem with the older generation is people refused to believe that they could catch AIDS. The idea that they are invincible. The mentality that anyone that looked plump and healthy couldn't possibly be HIV positive. Change is finally coming to TZ!
    Condoms will not promote 'uhuni'. Mhuni will have sex whether or not there is a condom because they are dedicated to it. You think people that don't have sex are just too scared to buy condoms? No. It's just a personal choice. No box of condoms can make one turn promiscuous. It's all a state of mind.

    ReplyDelete
  13. Dada kipindi chako ni kizuri. Ila nilitaka niku-challenge kidogo kwamba kwa culture zetu mwanamke kubeba condom haileti maana kabisa haijalishi how many man she can sleep with, ila her faithfulness kama she is not that way then its okay kwa yeye kubeba condom.

    Wazee na mademu wa one night stand wasiache kuzibeba, na kwa wanaojiuza ni muhimu kwao kubeba condom. Lakini its better if we will encourage faithfulness.

    Ni maoni yangu tuu wadau

    ReplyDelete
  14. Mtoto wa CoastFebruary 13, 2010

    Sporah hongera kwa show yako. Inafaa na unaanza kujadili mambo ya maana sana katika maendeleo yetu.


    Hata hivyo nikushauri.

    Unatakiwa utulie unapouliza swali na usiwe na ucheche wa kutaka kuonyesha msimamo wako ni nini mara moja na wakati mwingine hata si lazima maana kwa hivyo utakuwa na dhumuni ya kuonyesha mawazo yako tu na siyo kupata maoni ya wengine pia.

    Uliza maswali magumu na rahisi epuka kuuliza 'leading questions' na si vizuri kuwakata kauli kila wakati wateja wako wakati wakianza kujibu suali uliloliuliza isipokuwa kama kweli ni lazima, yaani ambapo unaona mtu haelekei kujibu swali.

    ReplyDelete
  15. ali kiba? mwanamuziki mkubwa duniani? you are having a laugh!!!

    ReplyDelete
  16. tabu sijui ni nini watanzania wengine

    huyu Sorah na Ayubu wote wamo kwenye BEN TV hiki kipindi nilikiona siku waliorusha hewani

    kweli nilichoka na hio mix ya kiswahili kiingereza ilikuwa boring nikajiuliza huyu ajitaarishi? basi kama anatafuta kujua kiba haongei lugha ya watu vizuri angejitayarisha na kumtayarisha katika maswali unaona hata aibu.

    BEN tv ni ya m nigeria, labda anatafuta watu wamwangalie wa nchi tofauti,

    kuna wa congo wanaongea lugha zao period.

    vipindi va Ayubu pia anaonyesha mambo ya uganda, malkia etc

    huu ndio ungekuwa chance kubwa kutangaza nchi yetu na sie tungekuwa fan wao wakubwa na kutangazia marafiki wa nchi zingine waangalie viindi vinavoongelea Tanzania.

    kweli dada unajitahidi ila usitafute kupanda juu angalia program zako ujirekebishe utuwakilishge vizuri.

    kuna habari nyingi sana.

    au utuambie Sporah show ni ya kivipi?

    n.b kijana yule mwingine alionekana kama umemsahau siku hiyo humu haijaonyesha kipindi chote

    tutasubiri mabadiliko mazuri

    ReplyDelete
  17. Hivi TALK SHOW ni lazima mtu anayeongoza aongee asilimia 99.99999 mwenyewe??? Kipindi ni kizuri, mada ni nzuri lakini TUWE WAZI, Huyu dada anaongea too much.

    ReplyDelete
  18. sijui vzuri lakini huyo anayemoderate hajanifulaisha,nimemsikia kidogo na kuna sehemu amesema,its the damn thing...nadhani hii haitakiwi kutoka mdomoni kwa mtuanayemoderate.
    sijui anatoka station gani,lakini nadhani sio kutoka BBC au stesheni za maana.

    ReplyDelete
  19. Kwa kweli ni vizuri, anajitahidi isipokuwa inatia kichefuchefu pale anapoongea English halafu ghafla anaongea kiswahili.

    Pia anapouliza swali anataka kujibu yeye mwenyewe. Inawezekana kabisa Ali Kiba angeweza kujibu vizuri sana kiswahili, lakini hakujua anatakiwa atumie lugha gani.

    Tukirudi kwenye topic, sidhani kama mwanamke au mwanaume ambaye yupo kwenye uhusiano ni vizuri kubeba condom. Kubeba condom kunaashiria kwamba unaweza kufanya tendo la ndoa popote na wakati wowote. Hili tuwaachie wafanyabiashara ya ngono.

    Lakini ni vizuri kuhimiza matumizi ya condom.

    ReplyDelete
  20. MTU MMOJA HAPO ANASEMA WA-AFRIKA WANAPENDA NGONO KULIKO RACE ZINGINE HUO UTAFITI AMEFANYIA WAPI? AU JUST ILL INFORMED STORIES ZA RACE ZINGINE AMBAZO YEYE ANAZIONE HAZIFANYI NGONO KWA WINGI KAMA WA-AFRIKA, YOU ARE UTTERLY WRONG WITH YOUR RESEARCH OUTCOME WITH NO CONCRETE EVIDENCES. MANY RSERACH EVIDENCES HAVE SHOWN THAT THE WHITE RACE NDO WANAONGOZA KWA NGONO, NDO MAANA UNAONA KATIKA MITAA YA LONDON NA NEW YORK WATOTO WAKIBEBA WATOTO WENZAO, KUNA IDADI KUBWA YA WATOTO KUPATA MIMBA NA KUZAA WAKIWA UNDER 16 NI WENGI TU TENA SANA FANYA UTAFITI TENA NA UTAONA NI RACE GANI IKO MBELE KWA NGONO, AND AFTER ALL IT IS NOT ABOUT RACE IT IS ABOUT WHERE YOU WERE BORN, WESTERN COUNTRIES ARE NUMBER ONE IN NGONO FOLLOWED BY ASIA COUNTRIES. GOOGLE UTAPATA STORY KAMILI.

    ReplyDelete
  21. Si kwamba Waafrica wanapenda ngono sana Kuliko watu wengine kama wahindi au Wazungu. Kukaa na watu hawa tu pengine bado unakuwa ujafunguliwa pazia kujua mahusiano yao na jambo la ngono. Waafrica uwanja wa ngono mara nyingi ni kati ya jinsia ya Kike na Kiume, Lakini ka wanzungu wao uwanja wao ni mpana mno, wanajamiana wake kwa wake, waume kwa waume, mme na mke (kama mara nyingi Africa), Wazungu, hasa Mabinti wenye Elimu na kazi nzuri- ulala na mbwa wao na wanyama wa kila aina. La msingi ni kuwa wao Elimu juu ya kutunza afya yao ni wazi, matumizi ya mipira nk.LA MSINGI NI KUTOA ELIMU AMBAYO ITAJENGA UTU WA VIJANA, WAZEE NA VIKONGWE KATIKA UWANJA HUU WA KUJAMINIANA.nimeona wazi kuwa elimu sasa inatiliwa msingi viduka vidogo vioski hata vijijini Moshi, Bukoba unakuta Mipira inauzwa, Lakini mazingira ya utunzaji wake kubaki salama unatia mashaka, maana zinashinda zimeanikwa kwenye jua kali.FANYENI UTAFITI KISHA MUWEZE KUONGEA NA KUTOA VIPINDI ASANTE

    ReplyDelete
  22. Mimi wabongo wanaojifanya wanaongea kiswahili cha waKenya wananichosha...Eti"maproducer wa kipindi please rekebisha hii kitu".Kiswahili ni lugha nzuri na inavutia ikiongelewa nasi wabongo.Sioni kwanini tuwaige majirani ambao bado wanajifunza kuongea kiswahili!!Tujivunie lugha yetu.

    ReplyDelete
  23. Jamani Wabongo, Tunawajua sana saaana namidomo yenu, hamuwasifiagi watu hata siku 1 mpaka msikie wamekufa.
    Spora show jamani mbona nikipindi kizuri sana! yani mnashangaza, huyu dada anajitaidi sana jamani embu jaribuni kuwapa watu sifa zao ili waongeze juhudi, ndio maana wabongo hatufiki popote, oneni wazungu wanavojua kusifia watu wao. anhekua amekaa uchi hapo, wote mngemsifia lakini kwasababu anaongea mambo ya condom basi mnaanza kukritisiz.

    Na wewe unaesema aongee kiswahili hebu fungua mavho, kiswahili kitatupeleka wapi, iliona jinsi kanumba alivofanya big brother, dunia sasaivi imekua kama kijiji usipoongea English then umekwisha, tembea kidogo uone.
    Nakama huyu dada kipindi chake kiko london means anawatu wakutoka nchi tofauti sasa kwanini mnataka kiwe in swahili jamani mnaniuzi mpaka basi.

    Nawewe unaesema BBC yani we ndio bureee kabisa.
    badala ungefurahi anafanya kwenye tv ya watu weusi au muafrica mwenzio unaongelea bbc.
    We unafikiri angekua bbc angeelimisha watanzania? au angempa Alikiba hii exposure acheni kutweka mind zenu nyie. ungesema hata hii program ipelekwe bongo ingemake sensi to me, ila BBC ebu fungua mambo, huyu dada anatiwakilisha wabongo kwenye ngazi za juu, mi nakaa france na ninaweza kuangalia spora show, nimeweza kuona intervie ya Dogo Kiba, je angekua bbc tungeona?

    Fungueni mambo jamani na jaribuni kuappreciate vitu, na muache hatress, mnapenda kudanganywa, madem wangapi tumewaona hapa kwa michuzi na hadithi nyiiiiiiingi, mambodo, designer, supermodel, style, sooo many. WAKOWAPI????
    Hatuwasikii tena, huyu dada kazi yake inaonekana na inaimprove everday jamani hamuoni?????
    Nyie acheni.
    Sporah, kweli sikujui lakini lakini i real admire you, such an insparation to our young sister.
    Keep it up.

    ReplyDelete
  24. dada haongei 2 much, the 2 guys are too slow to react or answer a question, besides its her program otherwise it as well ended up being boring? big up sis! tell them- hongera sana!!

    ReplyDelete
  25. Sporah pole sana mdogo wangu, ila jaribu tu kuwazoea wabongo maana ndio wakwetu. hawasifiagi hata siku moje.

    Hongera dada na usiwasikilize watu maana mbongo gani amewahi kufanya kitu unachofanya??? LOOOOSSSEERRR

    Sporah uko juu mama.

    ReplyDelete
  26. Jamani mi nina BA ya media production na sasa nasomea MBA ya mambo ya Media.
    Huyu dada anaquality zote za kuwa presenter, A Good presenter ni yule ambae anaweza kucontol the microphone, na watu around. sio

    kweli sauti ya video haijatulia lakini hata BBc kunasiku sauti zinakoromaga, hayo ni mambo ambayo huwezi kuyaavoid sometimes kwenye production.

    Ila kuhusu huyu kusema Demn.. Acha wewe watu wanasema FCK on BBC we unasema nini babu.

    ReplyDelete
  27. BIG UP SPORAH.. LOVE YOU SO MUCHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH

    ReplyDelete
  28. Nyie wabongo vipi, hebu muacheni Alikiba wa watu, kizungu kitu gani?
    Huyu dada anaakili kuwachanganya hao wawili kwenye English na Kiswahili sasa simnaona wabongo tunaelewa na wazungu pia wanaweza kuelewa kinachoendelea.
    Acheni kutekwa mind zenu na wazungu jamani.. Huyu Sporah ni Mbongo, hawezi kufanya muijiza leo aanze kufanya kazi yake kama BBC, TV zenyewe za hapa Bongo, hata TV yetu yataifa hazifanyi kazi kama BBC, Sembuse huyu Spola!!!!!!!!!!!
    Hongera Ali Kiba na Hongera saaaaaaaana SPORAH. Keep it up

    ReplyDelete
  29. Hongera kwa huyo dada anajadili mambo ya maana sana na mimi sioni mbaya haya mambo ya kisasa dunia inamwelekeo tofauti.Kitu kingine huyo dada aangalie sana hicho kimombo maneno mengine hayafai kuonge kwa mtangangazaji hasa ikiwa ni utaratibu wa utangazaji.

    ReplyDelete
  30. yote tisa, cha msingi we kama unajua unaweza ku instal xp yako,beba na tumia cd. maana kuna watu wengine flash zao hazija tulia kabisa,kila akiona ki-laptonga kama kimemvutia anaanza ku-google hapohapo,sasa bora hata kiki mpa kitsunami inakuwa pengine ndo pona yao.lakini kikifungua page tu anataka ku-instal hapohapo xp,matokeo ndo kuishia kukwaa TROJAN HORSE.
    haijalishi uta instal GB 1,2,au zaidi. chamsingi anti virus ni muhimu sana.so hata kina dada kubeba ni poa tu.
    mimi.

    ReplyDelete
  31. Upendo MalekoFebruary 14, 2010

    I Love you so much Sporah hasa uliponipa advice kuhusu relatioship yangu, nilifuata ulichonishauri na sasaivi naona jinsi gani nilivyokua napotea. I wish ungekua bongo siku tuonane.
    Asante sana kwa ushauri wako.

    Nyie Wapambe muacheni dada wawatu, wabongo wangapi wanafanya vitu kama hivi, au kazi kutembeza uzuli tu ulaya?? Hongera Sporah na endelea kujitahidi na pia njoo basi bongo watu kibao wanataka advice kwenye relationship zao hapa bongo.
    Love you sporah.

    ReplyDelete
  32. Jamani sitaki uchokozi, msinifinye jamani.. Huyu dada no nuru yangu.

    Kaka Michuzi, mi ninamabinti warembo 3 hapa ndani kwangu, woote wanapenda mambo ya urembo, na vitu wanavoviangalia day and night ni hawa mamiss wahapa bongo.
    Siku nilivoangalia Michuzi blog ninamuona huyu dada, Ndio siku niliobadili mawazo ya wattoto wangu kwenye mambo ya Umiss.
    Huyu dada ni mfano mzuri sana Kaka Michuzi kwa watoto wetu wetu hapa Tanzania, maana hatuna good role model at all zaidi ya hao mamis.
    Hao mamiss Kila siku unasikia story zao huko mabaa. Angalia Sasa miss Tanzania 2009, skendo yake, Hivi watoto wetu wanajifunza nini jamani au kama sio kupotesha vijama wetu?
    Nyie wote mnaoandika Negativ Things about huyu Dada, Hamjui nijinsi kani Tanzania Society inavooathirika na ukosefu wa Role Model.
    Naombeni Tufungue Mambo tumsaprt huyu dada maana anafanya mambo mazuri sana, am sure Mimi na Wewe una wish huyu dada angekua ngugu yako,Au hata rafikiyako Sema tu ukweli. Ni kwasababu anaakili, sasa kama Tunapata Mtanzania Kama huyu jamani anaitaji sapport zetu kumbukeni vijana wetu wanajifunza kutoka kwa hawa hawa kina dada.
    Angevaa Kimin, aache kifua wazi, woote mngemsifia, Ebu acheni ujinga na angalieni tuinakoenda na ni nini hasa kinaitajika kwenye Tanzania Society.
    we need this girl in Tanzania, she is one in a million.
    Hongera dada, we nimfano mzuri sana na kila siku nawapa watoto wangu mfano wako.
    Achana na Wabongo, hawasifiagi, hata ulambe miguu.
    Asante Maka Michuzi.

    ReplyDelete
  33. Dada Sporah, Condom ndio kitu kimeniachisha mimi na boyfriend wangu. Siku my fiancee alikuta condom chumbani kwaku ndio siku alioniacha, na ninaapa ile condom nilinunua kwa sababu yake maana hiyo siku nilikua mwezini, sasa nikaona niwe na Condom nadi.
    I swear, hicho ndio kitu kilivunja relationship yetu tuliokua nayo for 3 yrs. Hata siku izi simshauri mtu abebe condom hasa women. Ila kuangalia hii program, imenikumbusha mbali sana na sasa nitaanza tena kuwashauri wadogo zangu wabebe condom, ni mihimu sana jamani. Wabongo wamedata na niwalevi sana wakishalunywa mapombe yao hawakumbuki kitu, sasa hapo ni wewe Mwanadada unatakiwa kukontrol the whle game. AAh Condom Muhimu Kaka Michuzi.
    Am glad sasa ivi ninamme ambae Docka hapa Muimbili, yeye hata akiikuta condom mezani ananielewa.. Sasa nyie msioamini Condom, Nendeni mkaone pale Muimbili jinsi gani Ngono inatesa vijana.
    Sporah Umenikumbusha mabli sana na hii topic. Love yu girl

    ReplyDelete
  34. Angekua ni Beyonce au Rihana au staa wa Ulaya, Wooote nyie mngempa comment nzuri,Ila tu kwasababu ni mmbongo mwenzenu basi shida. Acheni ujinga huyu dada Kichwa jamani.
    Big Up Michuzi Blog, kaka Michuzi, we love you.

    ReplyDelete
  35. i love you Ali Kiba
    i love you Sporah
    i love you Michuzi
    I love Tanzania.

    ReplyDelete
  36. Kaka Michuzi kwanza Hongera kwa kutupa News mpya kila siku.

    Mi naishi London Reading, Nimesomea mambo ya Media na Watanzania weengi sana wanajua hilo.
    Kunanzia huyu Dada ametoa show yake hapa london.. michizi sikutanii napokea sio chini ya Simu 5 au zaidi kwa wiki kutoka kwa wakina dada wakitanzania,

    Wanasema wanataka Kufanya TV Show kama ya Sporah. Yaani michuzi wengine wanakuja na gia zoote utafikiri kweli wako serious but NOTHING its all JELOUS.
    Nimejaribu kufanya nao kazi, MMH Wamenipotezea tu muda wangu.

    Poit ninayoileta hapa ni hivi, Its very easy kumtoa mtu kasoro na hasa kufikiria kwamba unaweza kufanya vizuri zaidi kumshinda.

    Mfano unao Mwenyewe Michuzi, sasa ivi kila Mmbongo anaanza kufungua Blog yake, kisa Michuzi inavuma.

    My Point is: Hebu jamani angaliane what it takes kudelivr something that people can accept, Kuproduce TV show its not easy, tena sio mchezo, nimejaribu hii kazi na Kinadada kibao hapa UK wameshindiwa njiani.

    Najaribu kusema, No body is perfect, ila jaribuni kusifia watu pale wanapofanya vizuri.
    This girl is so Professional, Intelligent, na focus hata sijui kwanini Kina Mengi hawamchukui aje bongo. Hichi ni kipaji jamani.
    Asante Kaka Michuzi, Your the Best of the Best.
    Spora Keep working harder and hearder, your soooooooo good, dont let anyone put you down, we all start from somewhere, hata Oprah alianzia somewhere.
    Ali Kiba, Hongera bwana kazi yako nzuri, na wasikuzinguwe na English maana Hata hapo France two hrs kutoka London hawajui English, sembuse wewe. Fanya kazi dogo Utafika too.
    Haters.. try to appreciate thats the only way tunaweza kufika mbali.
    >> FROM READING, UK

    ReplyDelete
  37. MIMI NIMESOMA MAONI YOOOOTE WAMENIACHA HOI WATWANA WAWILI TU JAMANI..KUNA MMOJA ANAEDAI YEYE ANA BA YA MAMBO YA MEDIA NA MWENGINE NAE ANADAI YEYE NI MSOMI ALIEBOBEA KWENYE MAMBO YA MEDIA ALIESOMEA LONDON NA KUONGEZEA KUWA WOTE WANAMJUA HAPA UK KAMA YEYE YUPO JUU HUKU KAFICHA JINA LAKE.. HA HA HA !!!I THINK THOSE 2DUDES ARE BOTH SICK DESPITE WHAT THEY VE COMMENTED...TULETEENI BASI HIVYO VYETI VYENU KM MLITAKA TUWAJUE NYIE KINA NANI MANAAKE HAIHUSIANI CHOCHOTE NA COMMENTS ZAIDI YA KUONEKANA MLITAKA KUJIFARAGUA TU

    ReplyDelete
  38. Sporah alikuwa anajaribu ku-balance kati ya maswali na majibu. Wanaohojiwa walikuwa hawatoi majibu immediately. Sasa mnataka kuwe na ukimya katika mahojiano? Alikuwa anajitahidi kujaza vacuum iliyokuwa inajitokeza kwa ukimya wa waliokuwa wanahojiwa. Tatizo ni la waliokuwa wanahojiwa. Tena alikuwa anawasaidia sana.... Mtanzania kujieleza bado ni tatizo sana. Hatufundishi kujieleza tangu tukiwa watoto. Kuna makabila mengi mtoto haruhusiwi kuongea mbele ya watu (wakubwa). Sasa unaanza kujieleza ukiwa mkubwa tayari na huwezi ku-overcome childhood inhibitions.

    ReplyDelete
  39. I Love you Sporah, can u b my wife?

    ReplyDelete
  40. For sure, hata mi naona hapo Sporah Anajaribu ku-balance hao, maana naona ukimia hapo ulikua mkubwa, si unamuona dogo yupo very unconfortable, pia nivizuri sana Sporah anavowachapa chapa ma Star wetu wa bongo na interview kama hizi maana anawaprepare for high level. we unafikiri Bongo wanapata wapi Interview kama hizi?
    Big Up Sporah.

    ReplyDelete
  41. big up ali kiba ,big up spora condom muhimu dada hapo juu usijute kwa kuachwa baada ya kukutwa na condom hata kama ingekuwa unaenda kutumia somewhere kwanza kwa nini ulikuwa unatembea na bf bila ya condom unachekesha wewe mimi nimeolewa na kwa kuwa tumashazaa tayari na hatuna mpango wa kuzaa twena tumeamua na mume wangu kutumia condom ili tujikinge na mimba na ukumwi pia ili akiambukizwa mmoja mwingine aweze kubaki kulea watoto

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...