Napenda kuwajulisha kwamba nitakuwa Dar next month. Kwa kushirikiana na SickKids Hospital ya Toronto, natafuta watoto wagonjwa, chini ya miaka 14 ambao wanahitaji operation moja ili wapone na kwamba matibabu hayo hayapatikani Tanzania.
Matibabu yote ni bure hospitali; na gharama za kuishi huku kwa mtoto na baba au mama najitolea mimi. Tunaweza kuanza maongezi sasa na tukaonana nikija March.
Pia napenda kuwajulisha kwamba Serikali ya Canada, kupitia CIDA, "imetangaza" kutoa "misaada" zaidi kwa Tanzania na Ghana kwa mambo ya afya. Nina imani serikali ya Tanzania imejulishwa tayari.

Mabula Sabula
Executive Vice President
Dillon-Kaijuka Associates, Inc.
Skypename: mabsab
Website:
www.dillonkaijukaassociates.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. I am completely puzzled. Your website appears to promote trading. Anyway, the effort is quite appreciated but who are you actually targeting - individuals? Local hospitals? Why don't you liaise with the appropriate institutions which know more about the types of operations children need and whether or not those servives are available in the country? It would also be helpful to provide the link to the CIDA Ghana/Tanzania aid scheme...

    ReplyDelete
  2. serikali haijatangaza hilo. Inawezekana vingunge wa serikali wanataka kupeleka watoto wao "wagonjwa wasiougua" waende ku-"vekeshen" canada.

    Najua kama na-sound stupid lakini kwa bongo hilo linawezekana sana.

    ReplyDelete
  3. WHOSE CLINICAL RESEARCH IS THAT?? WHAT ARE ITS COSTS AND UTILITIES TO PARTICIPANTS?
    CLARIFY BEFORE SELLING YOUR COUNTRYMEN AS GUINEA PIGS

    ReplyDelete
  4. SHUT UP GUYS WITH NEGATIVE COMMENTS, IF YOU WANNA KNOW MORE ABOUT THE ISSUE IN QUESTION HE HAS PROVIDED AN EMAIL ADDRESS AND YOU COULD ASK HIM OR HER DIRECTLY, AND IT IS NOT NECESSARY ALWAYS WHEN AN INDIVIDUAL WANTS TO HELP SOMEBODY TO PASS HIS ASSISTANCE TO THE RELEVANT AUTHORITY UNLESS IT IS SOMETHING TO DO WITH GOVERNMENT RELATION, BUT AN INDIVIDUAL CAN GIVE HIS SUPPORT THE WAY HE THINKS FIT, AFTER ALL IT IS NOT A MUST YOU CAN TAKE THE HELP OR SHIT IT.

    ReplyDelete
  5. Huko serikalini wala hujakosea kama mtoto wa mkubwa hajafaidi au mkubwa hafaidiki haendi mtu sijawahi kuona watu walio selfish kama Wabongo kitu kama hakina paso au panga hakisogei wakati watu wanakufa, Ni vizuri kushirikiana na watu husika na kuelezea kwa mapana zaidi the whole project kwa uwazi ili watu wawe na imani. Mara nyingi watu hutuma mawazo yao kwa Ankal ili wapate genuine mawazo kuhusu la kufanya kuliko kwenda kichwa kichwa na kuishia kuwa frustrated

    ReplyDelete
  6. Good job kaka..we can use more of you...

    ReplyDelete
  7. tena ukifika wala usiwashirikishe viongozi wa serikali watakuzungusha maswali kibao we bora ukafanya press conference na bloggers watakusaidia sana watoto wasaidiwe hawa viongozi wa tanzania wana matumbo makubwa we huko nyuma kuna kiongozi aliwahi kumpeleka mkewe abroad kutoa machunusi yake usoni kwa hela za serikali kuna watu hapo.otherwise all the best

    ReplyDelete
  8. Web page iliyotolewa naona haina taarifa za kutosha kumfanya mtu aamini kilicho zungumziwa na mdau.

    ReplyDelete
  9. Good Idea, If I have the ability Icould have done samething, Kwa NINI UNAPENDA FORMALITY SANAHUO NI UTUMWA NA KUTOKUJIAMINI. Fanya jambo kwa ajili ya mwenyezimungu na nafsi yako ikiwa safi huna haja ya kupitia kwa mafisadi. msimkatishe tamaa mimi nishamuunga mkono na nitafanya kazi naye bega kwa bega. Tutawatangazia mlete watoto wenu nyumbani kwangu tuwaone kama kweli wanaumwa.Acheni tusaidiwe wengine mlo wa siku hawana watoto wamepinda miguu kwa kukosa iron na MHESHIMIWA RAIS HAWEZI KUWACHUKUA WOTE, MAWAZIRI WAKE NA WABUNGE HAIGI MFANO WAMEJINWENEPEA NA FAMILIA ZAO. BONGO TAMBARARE MBONA MALI HAZITANGAZWI TENA??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...