Baadhi ya vifaa vya Zahanati ya Hekima iliyopo katika mtaa wa Makunganya, Dar es Salaam, leo vikiwa nje baada ya Kampuni ya Udalali ya Fosters kuvitoa nje kutokana na deni la zaidi ya shilingi milioni 40 wanazodaiwa na Shirika la Nyumba la Taifa. Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Joshua Mwaituka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Serikali nao vipi! Watanzania wanahitaji kwa hali ya juu huduma ya afya maana pana upungufu mkubwa. Hapa Wakala wa serikali (shirika la nyumba) wanafanya utekelezaji wa kujipatia kipato lakini kwa kuathiri jamii maana sasa waliokuwa hakuna atakayepata huduma tena katika kituo hicho cha afya. Kwa nini Serikali isitaifishe kituo hicho na kukifanya kiendelee na kutoa huduma yake pasipo kubughudhi wananchi? Mtu kama ameshindwa kumiliki kituo hicho wakati serikali inaweza basi ni vyema ikashikilia hata kwa muda wakati mmiliki mpya akitafutwa. Vinginevyo ni kuturudisha nyuma tu watanzania na umasikini wetu.

    ReplyDelete
  2. Inaonekana miaka mingi hajalipa pango. Tuwe wepesi basi kufanya maamuzi kwenye biashara tunazozifanya.

    Miaka yote hiyo, hivi ni kwa nini ung'ang'anie biashara ambayo haiwezi kukuingizia mapato ya kutosha kulipia gharama na kukuachia faida.

    Do you need an MBA to do that?? No, just a common sense.

    ReplyDelete
  3. Kuna mkono wamtu hapo kaka, na wewe ndugu yangu hapo juu unasema serikari itaifishe? do you know serikali ya Tanzania inamajukumu mangapi?. Let me tell you this has nothing to do with the government. Itis time now sisi watanzania to start thinking outside the box.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...