Japan
mexico
Urusi
India
Taiwan

Uturuki






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. AMANI HAIJI ILA KWA NCHA YA UPANGA

    ReplyDelete
  2. Basi waanze hao CUF kuwapika CCM huko Unguja na mashokishoki!

    ReplyDelete
  3. hii ngoma inachezwa Singapore?

    ReplyDelete
  4. Mbona hujajumlisha Somalia? Nilikuwa nafikiri imetokea Somalia peke yake,kumbe imetokea kwenye nchi nyingi duniani.

    ReplyDelete
  5. kumbe ndio maana wanaendelea wenzetu jamani tukazeni mkanda mbaka kieleweke wasituchezee mtu wowote kama ana uchungu na taifa retu atoke atuwezi kufanywa wajinga kiasi ichi

    ReplyDelete
  6. Bongo watu hawapigani bungeni kwa sababu muda mwingi wanashinda wanakoroma.

    ReplyDelete
  7. Ndo maana hata maendeleo yanaonekana huko kwa wenzetu. Bunge letu hewala na shikamoo nyingi sana.

    ReplyDelete
  8. Hii ni danganya toto tu na si lolote si chochote. Kwetu tunarogana na kutoana maisha kwa njia za nguvu za giza. Ngumi za nini? Kwa Afrika asitudanganye mtu yeyote yule kwani hakuna mbunge ama waziri asiye mchawi. Kama urogi, basi wenzako watakumaliza tu, upende usipende.

    ReplyDelete
  9. ....lakini kweli, ebu jiulizeni kiongozi gani TZ asiye mchawi? Jibu hapa ni hakuna kila kiongozi si wa upinzani wala ccm, wote ni wachawi. We fikiria mpaka leo hii serikalini kuna viongozi wa miaka ya 70 (enzi za tanu) cha maana wanachokifany hakuna kazi kulala bungeni. Unataka kuniambi hakuna vijana wenye akili shanda hawa viongozi. Jibu tupo ama wapo ila tunaogopa kufanywa mandondocha majimboni mwa baadhi ya wenzetu.

    ReplyDelete
  10. Kweli vingozi wetu wachawi na ndio maana ile nchi haiwezi kamwe kuendelea. Viongozi akili kichwani zimeoza wataiongozaje ile nchi yenye mahitaji muhimu. Toka tupate uhuru mpaka leo hii bado umeme na maji tatizo, si ujinga huu? Miaka mingapi sasa toka uhuru?

    ReplyDelete
  11. Ungeweka na watani wetu wa Jadi huwa nao wanazichapa pale parliament Hall.
    ...the next itakuwa dodoma. Usiwe na shaka

    ReplyDelete
  12. Huyo mbunge wa JAPAN ni muhuni tuu.. Anamshika Maziwa huyo mama:))

    ReplyDelete
  13. ya uturuki ndo funga kazi mngeweka na ile ya watani wa jadi wao walirushiana viti kabisaa yani kwetu chama kimoja tu ndo kina ubabe mkileta za kuleta mnafukuzwa wote bungeni na chama kinafungiwa kabisaa haya mabavu iko siku yatakwisha tuu hata kama ni karne ya hamsini

    ReplyDelete
  14. Ankal mbona unataka kuhatarisha usalama wa taifa!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  15. Kuna ile ya Somalia nayo, bahati mbaya sina picha....wa kwetu na nafasi ya kuuchapa uzzzzzzz ipo, kwa haya mabunge ya wenzetu kuna kusinzia kweli hapo?

    ReplyDelete
  16. Na wote nchi zao zasonga mbele kimaendeleo. Sisi tunaojifanya waamani ziiiii!

    ReplyDelete
  17. Ya Uturuki ndio imefunika ikifatiwa na ya India.

    ReplyDelete
  18. mabunge ya kiafrica wanapigana kwa nguvu za kiza ( uchawi ) tena hasa Tanzania , ukitaka kuwa mbunge lazima ukaandaliwe usiingie hovyo hovyo unaweza ukawa kafara ya wengine, KUHUSU ZNZ INABIDI CUF WAWAPIGE CCM NA MADURIANI na SIO MASHOKI SHOKI KWANI YATAWAKUNA TU.

    ReplyDelete
  19. Kaka umesahau ya Kenya !!!!

    ReplyDelete
  20. kikubwa hapa bongo utakuta mbuge katoka uko smtyms na hangover, anachokiongea kimeandikwa and worse hajakiandika yeye,. then its biring unakuta viazi wenzake wanalala

    ReplyDelete
  21. Asilimia 50% kwa 50% Bungeni(Wanawake na maendeleo)Mtajiju!!

    ReplyDelete
  22. HUKU WANAPIGANA KWA STYLE YA NGUVU ZA GIZA! LOL!

    ReplyDelete
  23. ebwana ni kweli ya somalia ndio mwisho wa reli, hizi picha niliziona othmanmichuzi blog. Pia kuna ndugu zetu wa malaysia hapa picha yao sijawaona, ni kwanini michu umebana? plz weka zote

    ReplyDelete
  24. Hiyo ndio ishara ya maendeleo huku kwetu lini zitapigwa?

    ReplyDelete
  25. sasa wazipigie uchawi watamuachia nani? In any country ukiendekeza uchawi basi ujuwe unafuta na maendeleo kabisa. Unataka kuniambia Kikwete haoni matatizo ya nchi yake, na kama anaona nini anafanya? Yaani TZ is a mess, hivi kikwete kama raisi wa nchi haoni haibu kupokea mikopo kila mara na haleti maendeleo nchini? Na kama atakuja kutokea mbunge yeyote bungeni atakayepiga wenzake, I promise you huyo mbunge hawezi kuishi zaidi miezi sembuse mwaka. Yaani lazima tu watamfanya msukule kina Kingunge na wenzake. This is a shame for real.

    ReplyDelete
  26. Sisi watanganyika tuna amani ya upumbavu na woga na ndio maana tutabaki hapa tulipo mpaka kiama hakutakuwa na jipya.Kwani hata nchi zilizopigana vita zinajitihada kuliko sisi.Wazembe halafu tunakenua meno huku wakitucheka

    ReplyDelete
  27. MSILALAMIKI TU HUU NI MWAKA WA KURA FANYENI KWELI, IPENI NCHI CHAMA KINGINE, NA KATIBA IBADILISHWE IWE NA KIPENGELE KINACHOWAPA WANANCHI NGUVU YA KUIONDOA MADARAKANI SERIKALI MBOVU WAKATI WOWOTE ULE, NENDENI MKAJIANDIKISHE MPIGE KURA ONDOWENI WAZEE MADARAKANI, SIYO KILELE TU

    ReplyDelete
  28. nimecheka apa natapika khaaaa

    kweli tutafika tu,tena bunge letu adi FFU waje waamue ngojeni wenye akili/wataka mageuzi waingie bunge

    now hakuna kitu pale matope/upupu mtupu tulionao

    ReplyDelete
  29. Hivi we anon unayewashauri wenzako waende kufanywa msukule bongo una maana gani. Yes ni kweli huu ni mwaka wa uchaguzi na ukae ukijuwa kuwa ukifika muda kama huu wabunge wengi hutoana kafara majimboni mwao ili waendelee kushika wadhifa bila kuleta maendeleo nchini. Waende vijana kule wenye akili ya maendeleo lazima watazimwa tu na hawa vingunge. Inasikitisha kwa jinsi wananchi wanavyofanywa wapumbavu. Bongo lazima maendeleo yaje, na lazima kina Mkapa, Mama Mkapa, Msuya, Mramba, na wezi wote wakamatwe baada ya nchi kupinduliwa. Huu ni ujinga, wewe ebu angalia TZ ilivyo na mali kibao lakini mpaka leo bado ni waombaji wa misaada nje, for what? Hivi kweli hata Kikwete haoni haibu akiulizwa na watoaji misaada, kwa nini aendezi nchi? We need a change we can believe in, siyo ukeketaji na uchawi kwani kwa hiyo tu hatutaendelea daima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...