Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

 1. teh teh teh! kwa kweli umenipata mjinga wa kwanza, kumbe hamna f13 key kwenye keyboard!! gud day

  ReplyDelete
 2. HAHAAA MICHUZI YOU ARE SO HUMBLE NI MTU WA WATU. NIMECHEKA SANA TANGU THE FULANAZI MPAKA HII KITU YA F13. HAHAAAA.

  ReplyDelete
 3. umenipata kwa kweli

  ReplyDelete
 4. hapo umechemka baba tunaotumia desktop za mac tunazo f13 sasa wamepatikana wale wa computer zingine zingine

  ReplyDelete
 5. wewe vipi eti tunao tumia desktop za mac. masifa tu!! wakati redio za mbao

  ReplyDelete
 6. HAYA NDUGU YETU MWENYE HIYO COMPUTER YENYE F13 TUAMBIE ULIPOBONYEZA HIYO KEY NINI KIMETOKEA? USIPOTUPA JIBU TUNAENDELEA KUAMINI KUWA NAWE UMEPATIKANA KAMA WENZIO. TEH TEH TEH!

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...