Flaviana Matata
Gumzo limezuka huko ughaibuni juu ya uhusiano wa supa modo wa Kitanzania Flaviana Matata na mjasiriamali tajiri mmarekani Russell Wendell Simmons kwa kile ambacho wadau wa huko wanahisi iko namna kati ya mwanadada huyu anayefanya shughuli za umodo Sauzi na Simmons. Globu ya Jamii inaendelea na juhudi za kumsaka Flaviana kutaka kusikia kutoka kwake.
kwa habari zaidi
kuhusu Russel Simmons
kuhusu Flaviana Matata
kwa taswira zaidi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ankall,

    Hebu mwacheni binti atanue na maisha yake jamani. Kama wamependana na Russell tumwombee heri.

    Mdau, Reading.

    ReplyDelete
  2. Who cares??

    ReplyDelete
  3. mama shikilia hapo hapo na wewe uje utengeneze show yako kama kimora lee..

    ReplyDelete
  4. Hongera dada yetu. Umeipeperusha bendera ya Taifa huko ughaibu hasa kwa mtu mkubwa kama huyo.
    Kinda pumba thou

    ReplyDelete
  5. Akili kichwani, lazima uwe mjanja, mpende ukweli lakini huku ukiwa na mipango yako ya uchumi ambayo yeye kama mwanaume lazima akusaidie. all best wishes.

    ReplyDelete
  6. BAADA YA KUACHANA NA SIMONS, KIMORA ALIMUOA HOUNSOUN DJIMON, YULE SUPPORTING ACTOR AMBAYE NI MWENZETU 'MZAWA' WA AFRICA. WATU WENGI WAME COMMENT KWAMBA KUACHA PIJAPI CHA UIGIZAJI, DJIMON NI 'VERY UNGLY'. KWA HIYO KIMORA KAOLEWA NA MTU ANAYEONEKANA NI 'UGLY'. JE, KITENDO CHA SIMONS KUWA NA HUU UHUSIANO NA FLAVIANA NI AINA FULANI YA KURUDISHA MAPIGO, 'BEEF'? HII NI TEASER TU!!

    ReplyDelete
  7. Ushauri uliotolewa hapa umenichekesha sana
    Aya

    ReplyDelete
  8. hahah kamjibu Kimora basi

    ReplyDelete
  9. SASA JAMANI KWANI LAZIMA MUWEKE IKAWA SKENDO AU GUMZO KWANI NYIE HAMNA WAPENZI SI KIIVYO MIMI SIJAPENDA WALA NINI

    ReplyDelete
  10. She is free mradi havunji sheria. Tuombeane heri badala ya kuwa ma-"PHDs" (pull him down syndrome ya wivu unaotokana na chuki ya kuona wenzako wanafanikiwa: ugonjwa mkubwa sana TZ).

    ReplyDelete
  11. Waegoshirikilia hapo hapo. Bonge la makaratasi hayo.Ila uwage unatembelea na hapa kwetu, mimi niko mtaa wa pili hapa tu, wala hauitaji visa.

    ReplyDelete
  12. Some of us are Dangerous! Hatufungamani na upande wowote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...