Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

 1. Utamaduni huu utachukua muda mrefu sana kuja Bongo, mtu hana uhakika wa kupata milo yake miwili ya kutwa atakuwa na apetite ya kusoma buku kweli..???!!!.Labda serikali ianzishe utaratibu wa Welfare kila mtu atayesoma vitabu at least vitatu kwa mwezi atapewa Ths.20,000kwa mwezi as a positive catalyst.Hata idadi kubwa ya watanzania waliokaa hapa Ughaibuni miaka kumi hawana utamaduni huo wa kujisomea vitabu..!!

  Good luck.

  ReplyDelete
 2. Hapo kazi hipo mkuu labda kwa viboko.

  ReplyDelete
 3. Heheheh... Sisi tunaopata muda na uwezo wa kusoma blog ya ankal hapa tunaweza kuuanzisha, itakua ngumu kwa wale wanaokesha BAR tu...

  ReplyDelete
 4. Hili ni suala zuri sana kwani linaweza kutusaidia katika kupata maarifa ambayo tumekua hatuyapati kwa muda mrefu.

  Hata hivyo kuazima kitabu kimoja kwa Tshs 2000 ni aghali sana ukilinganisha na uchumi wa watu wetu. Mie nilinunua kitabu cha "Seven Habits of highly effective people" kwa bei sawa na Tshs 10,000 tu ingawa kilikua kimetumika.

  Itafutwe njia ya watu kujiunga na kua wanachama na kulipa ada ya awamu mfano mwezi, miezi 3 au mwaka.

  Kwa upande mwingine bei ya delivery and pick up itenganishwe na bei ya kuazima kitabu ili kwa wanaoweza kuazima kwa kuwafuata wawe na uhuru huo. Hii pia itapunguza gharama ya kuazima na usumbufu kwenu. Just imagine mie nakaa Kimara bong'onyo ambako hata namba ya nyumba hakuna nyie mtafikaje?

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...