THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

Loleza

Shule ya Secondary ya Wasichana ya Loleza Jijini Mbeya ni mojawapo ya taasisi za elimu ambazo watu maarufu wengi wamepita. wenye data msaada tutani tafadhali


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Neema Ngwilulupi malecela( mke wa william malecela ) mkazi wa NEW YORK kasoma hapo .

 2. Anonymous Anasema:

  La hasha hapo Langoni panahitaji makeover, Sina uhakika huko mabwenini kutakuwa kunafananaje!

 3. Anonymous Anasema:

  Marehemu Rhoda C Msuya, mke wa waziri mkuu mstaafu mheshimiwa Cleopa D msuya,
  Marehemu Ezerina Mwaipopo Malecela, Mke wa Waziri Mkuu/Makamu Mwenyekiti wa CCM mstaafu Mheshimiwa John S Malecela,
  Marehemu Mary Hankok, Mwalimu mkuu wa kwanza wa shule hiyo, na baadaye kushika nyadhifa kwenye serikali
  Mrs Tabitha Siwale Waziri wa Elimu mstaafu, Waziri wa Ardhi mstaafu.
  Mheshimiwa Mary Nyoni Katibu Mkuu Wizara ya Afya.and the list goes on and on. Ni wengi mno walio maarufu walisoma hapo ambao wameitumikia nchi kwa muda mrefu sana,na kwa upande waliofuata nyayo ni wengi mno ambao wameshika nyadhifa mbalimbali kwenye Mashirika ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali.