THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

mbeya kumekucha siku hizi...

hii ni stendi mpya ya mabasi madogo ya Kabwe jijini Mbeya yaendayo nje ya wilaya ya Mbeya. Kule nyuma ni ujenzi wa maduka madogo madogo ambayo ujenzi wake unakaribia kukamilika karibuni. Ujenzi wa majengo mapya na ya kisasa umeshamiri jijini humu, hususan Mwanjelwa
Kuna Maoni 4 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  if mbeya region gets more private investors it will be remarkably improve economically and increase its output to the national cake... michuzi please post photos of the songwe airport... we need to know the progress made.

 2. Anonymous Anasema:

  kaka mithupu ASANTE sana kwa kutuletea habari za nyumbani, jamani mbeya kuna mabadiliko makubwa! ngoja niongeze bidii ya kubeba box! makaratasi nayo mmmmh! mugonile le mwesa wa kukaja, mmah le tukusyukwa kukaja pali myee!

 3. mnyakyusa halali Anasema:

  Michuzi uko kwetu leo, basi hapo soweto upande wa pili wa barabara kuu ukiingia ndani kuna eneo linaitwa block T, kuna ma mansion ya kufa mtu huko, nenda kashangae kidogo basi uweke snapu kidogo au vipi ankal?
  ndaga fijo ankal.

 4. Anonymous Anasema:

  Ni kituop kipya lakini madereva walishakigongagonga tayari. mmmm!!