ankal akijinafasi na bonge la hindi. msimu wa mahindi umeshawadia na kila kona utakuta yanachomwa, bei ni kuanzia thumni hadi bati kulingana na saizi...
mahindi yakiwa yamewasili soko la Soweto, Mwanjelwa jijini Mbeya


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ehe ankal unajifaidia tu vya mbeya maana umenitamanisha hilo hindi mshikaji sisi huku hatuyaoni mahindi kama hayo ukipata ni hindi la njano ndani si maepu kama kwetu afrika,ankal hii si kazi mahindi ya kutengenezea popcorn huku wanachoma na kumchemsha duu bora nirudi tanzania

    ReplyDelete
  2. Uwiiiiii.Nasikia kulia ...vitu hivyo ndio vinanifanya nisahau ufisadi wa bongo na kumiss my lovely country....Mahindi ya kuchoma jamaniiiiiii.....

    ReplyDelete
  3. I had to comment Michuzi huu ubaya huu ndo nini kututamanisha mahindi tulio nje. I miss them vibaya mno

    ReplyDelete
  4. ANKALI POLE NA MSIBA SASA HUKO MBEYA KUMEINGILIWA NAONA WANA GLOBU YA JAMII MNAWAKILISHA VILIVYO
    ANGALIA HAYO MAHINDI DAAH USIJE ACHA HISTORIA YA KUACHA JINO

    ReplyDelete
  5. ankal ule mtindo wa kuchuna ngozi umeisha be vigilant mbeya hiyoo

    ReplyDelete
  6. Ankal, hilo vumbi la huko Mbeya ushalisahau kwa uchu wa hindiz la kuchoma!Natumai una vidonge vya tumbo mfukoni. Vinginevyo, poleni sana kwa msiba na asante kwa ndogondogo toka Mby!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...