Home
Unlabelled
The Dream Team ya kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KASIM HANGA ALIYEKUWA MMOJA WA MAWAZIRI KARUME ALIMPELEKA WAPI? MAANA HATA KABURI LAKE HALIPO.
ReplyDeleteTIMU SAFI
ReplyDeleteMAREHEMU ALHAJ IDRIS ABDULWAKIL ALIKUWA KIJANA
MOLA AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI
Serikali ya vichwa vitupu!
ReplyDeleteHii ndio ilikuwa timu ya ushindi na mafanikio. Sasa hivi mifisadi kibaoooo.
ReplyDeleteOrodha haionekani vizuri. Ankal hebu iorodheshe pembeni badala ya kwenye picha. Huyo tall kushoto kwa Kawawa ni Moringe?
ReplyDeleteMarekebisho kidogo siyo "the Dream team Team ya Kwanza" ni "the first and the Only Dream Team".
ReplyDeleteHawa ndio waliokuwa WAZALENDO.
Tafadhali kaka Michuzi rekebisaha kichwa cha habari kidogo.
maandishi hatuyaoni apo chini wee michu
ReplyDeleteee mola tusaidie nchi yetu imeenda wapi??kwanini awa viongozi wanatufitini ivi na kutugeuza migulunyembe??
tunaikumbuka hii historia ya pekee wazee wetu
mafisadi mkome
Simkosoi Bwana Michuzi bali aliyeweka majina kwenye hiyo picha. Wa kwanza kushoto mstari wa mbele siyo Tewa Saidi Tewa; ni Michael Kamaliza.
ReplyDeleteAnon.Fri May 21, 02:19:00 PM; Huyo alikuwa ni Bhoke Munanka, na si Moringe. Ila Moringe naye ni kichwa kingine, zamani bwana, zamani ni zamani tu. Achana na mawaziri wasio na wito heshima na kazi zao. Mpaka Rais awafanyie kazi zao!
ReplyDeleteMabaraza ya Mawaziri ya siku hizi yangekuwa na similar percentage of MUSLIM kama hili nchi ingekuwa mbali.
ReplyDeleteEee Mola wetu, wako wapi viongozi kama hawa wa zamani hapa Tanzania? Hawa walikuwa viongozi wazalendo waliojali masilahi ya Taifa ingawa kuna wakati waligongana kimawazo lakini yote kwa masilahi ya Taifa.
ReplyDeleteAMA HAKIKA WALIKUWA VIONGOZI NA WAZALENDO WA KWELI. WALIKUWA NA NIA YA KUFANYA KAZI KWA FAIDA YA WANANCHI.
ReplyDeletenamuona Chediel Yohane Mgonja hapo.
ReplyDeleteKwa mtazamo wangu hawa ndio walikuwa viongozi wa kweli na wenye uchungu na nchi yao,na kama kunyakua au kujilimbikizia mali huko Swiss bank na kwingineko wao ndio wangevuna zaidi enzi hizo,sasa hivi nni bala tupu na hatuna viongozi kabisa.
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI TANZANIA.
mdau Tabora.
Hivi zamani suruali njiwa zilikuwa ndo fasion?
ReplyDeleteViongozi wa sasa wote wamelelewa na wafanyakazi wa nyumbani ndio maana vichwa maji,wezi na hawana muelekeo.
ReplyDeleteOmarRegan said...
ReplyDeleteMabaraza ya Mawaziri ya siku hizi yangekuwa na similar percentage of MUSLIM kama hili nchi ingekuwa mbali.
....omar hapo juu...fafanua vema hapo hujaeleweka.....
mdau.
Kwa kuchangia tu kutoka kushoto mstari wa mbele: 1 Michael Kamaliza 2Hasnu Makame,3 Oscar Kambona,4 Abeid Karume,5 J.K.Nyerere,6 Rashid Kawawa, 7Abdul Wakil. mstari wa kati kuanzia kushoto 1Kasim Hanga,2 Amir Jamal,3 Lawi Sijaona,4 Aboud Jumbe,5 Said Maswanya. mstari wa nyuma kuanzia kushoto 1Dereck Bryson,2 Job Lusinde Malecela,4 Abdulrahman Mohamed Babu,5 Austin Shaba na mwisho ni Chediel Mgonja kwa ufupi hao walikuwa viongozi waliotaka kuwatumikia wananchi wao sio watawala ambao tunao sasa.walioweka mbele udugu , ukabila na udini huku wakila jasho la mtanzania mlala hoi( maskini) bila huruma waliojaa kiburi,ufisadi , dharau na kujiona kama wata tawala milele. naomba usiku na mchana kwa baba muumba awashushie ugonjwa wa matende na mabusha ameen. ziada katika list hiyo hapo juu waliobakia (Walio hai ni Aboud Jumbe na Job Lusinde Malecela ) wengine wote wameshatangulia mbele ya haki)
ReplyDeleteMdau Pakacha UK.
LAWI SIAONA NAGWANDA NI CHINGA BOT NTU WA NEWALA, WENYEWE WANAITA
ReplyDeleteKU-NIWALA. HAWAKUIBA HATA SENTI TANO YETU. JAMANI YEYOTE ANAETAKA KUYASOMA VIZURI HAYO MAJINA CHA KUFANYA NI KU-DOUBLE CLICK HIYO PICHA ITAKUJA KUWA KUBWA NA MAJINA YATASOMEKA VIZURI TU.
Ninawapa 95% kwa uadilifu na kutokuwa na uroho na ulafi na ufsadi.
ReplyDeleteLakini katika uwezo wa kubuni mbinu za maendeleo nawapa 35%
(US Bloggr)
zidumu fikra sahihi za m/kiti wa ccm!!! ZIDUMUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete