Kijana ambaye yuko kwenye £ovely Gamble anaitwa Kisiri Elly anacheza part ya Frank. Huyu actor chipukizi wa Kitanzania ambaye ameingia katika fani ya usanii wa filamu. Kisiri amecheza filamu hii na staa za kitaaluma unaweza kufikiri ni mzoefu wa siku nyingi. Hivi tuzungumziavyo kesha tafutwa na Nollywood na ataanza production ya 'Man Alone' itakayotengenezewa Lagos na London shooting itaanza August mpaka September.

Tumfagilie mbongo huyu ambaye anaanza carrier hii kwa kasiMahojiano haya yamefanywa na Watayarishaji wa kipindi cha ALL ABOUT WOMEN ambacho presenter wake naye ni Dada wa kibongo aitwaye Tina George, Kipindi hiko hurushwa kwenye vituo vya television vya AILTV na Ben TV huko UK.

Onyesho maalum la Filamu ya £ovely Gambl kuchangia watoto yatima wanaoishi na virusi vya UKIMWI Litafanyika
JUMAMOSI TAREHE 29/05/2010. SAA 12 Jioni MPAKA SAA 5 NA NUSU Usiku. WYCLIFFE
VENUE, 233 KINGS ROAD,

READING, RG1 4LS
WATANZANIA WOTE WA UK MNAKARIBISHWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2010

    wenye wivu sasa umefika wakati wa kujinyonga.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2010

    Niliwahi kuangalia filamu moja tu ya kibongo, haikunifurahisha. Ilipanbwa wee na watu tukajitokeza kuiangalia kumbe hofyooo. Hii nayo na nyingine nyingi, mbona ni ishu za wanawake na mapenzi tu? Anyway, labda ndio matakwa ya soko, I'm out.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2010

    kila kitu kinawezekana.piga mzigo usije tu ukaendekeza madem!

    ReplyDelete
  4. Dah!kaka inabidi sasa uwe makini na mambo ya madem.umeingia kwenye hii fani vyombo vya habari vinakuangalia.ukifanya kosa tunaitoa hewani.all the best

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2010

    wabongo mmeshaanza umbea,mademu gani shem yuko kwa dada yetu katulia.sasa amwogope nani?wivu tu hamna lolote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...