Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya kuboresha mazingira ya uwekezaji barani Afrika (ICF), Omari Issa akifungua mkutano wa siku tatu unaofanyika katika hoteli ya Hilton Double Tree iliyopo kandokando ya ufukwe wa bahari ya hindi maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam leo. Mkutano huo unahudhuriwa na viongozi mbalimbali mashuhuri kutoka Afrika, wafanyabiashara wakubwa pamoja na wafanyabiashara wadogo. Katika mkutano huo pia Rais mstaafu wa awamu ya tatuMh. Benjamini William Mkapa na Rais mstaafu wa Botswana, Mh. Festus Mogae, pia walihudhuria
Katika mkutano huo umehudhuriwa pia na Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa na Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae.



Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamin Mkapa akitoka katika mkutano leo akiwa na Rais Mstaafu wa Botswana, Mh. Festus Mogae.

Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa akibadilishana mawazo na Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Augustino Ramadhani wakati wa mkutano wa uboreshaji mazingira ya uwekezaji unaoendele katika hoteli ya Hilton Double Tree ya jijini Dar.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    Mbona Mkapa anavaa funguo shingoni, kunani....?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...