Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema akipokea ripoti mbalimbali zilizofanyiwa kazi na tume kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Japhet Sagasii wakati alipofanya ziara yake ya kwanza katika ofisi za tume hiyo Dar es Salaam, wengine ni Adam Mambi Naibu Katibu Mtendaji Utafiti(wa pili kulia) na Angela Bahati Naibu Katibu Mtendaji Mapitio
Mwanasheria Mkuu Werema akipeana mkono na Maofisa Sheria wa Tume wa kwanza kulia Shadrack Makongoro, Marlin Komba wa pili kushoto na Flora Tenga
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Werema akiongea na Wanasheria
Mwanasheria Mkuu Werema wa pili kulia akiwa katika picha ya pamoja (wa kwanza kulia Kaimu Mkuu wa Utawala wa Tume Zakariyya Kera, Katibu wa Tume Japhet Sagasii, Msaidizi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Yohana Masara na Naibu Katibu Mtendaji wa Tume Utafiti Adam Mambi. Picha zote na Ofisa Habari wa Tume Munir Shemweta




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2010

    Wadau hamjambo? mbona wenzetu wanasheria mnautunga sheria na kujali haki za kibinadumu, hamyazingatii hayo, mbona hakuna usawa wa jinsia katika nafasi za juu katika kada zenu, kama mwanasheria wa serikari ni mwanaume kwanini msaidizi wake asiwe mwanamke, zingatieni hilo, ni muhimu sana,naamini wako wanawake wenye uweza wa kushika nafasi hizo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...