Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2010

    wamarekani wanamziki wakiona huu wimbo watacheka sana bongo kwa kuiga nawavulia kofia mpaka tamaduni za watu lol

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2010

    Utaiona tu mijitu ya wivu wacheni wenzetu wanakula pesa. DK ya 1;49 imenichekesha sana jamaa mpaka kuangukia pool. Rudini Nyie kujifanya USA ndio kama kwenu vile.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2010

    sio mkali

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2010

    na wanavyowadharau waafrika sipati picha!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 29, 2010

    wabongo acheni mambo ya kishamba hii ngoma kali... kila ki2 mnataka kuponda tu jaribuni kukubali vi2 vya nyumbani uu mpaka wa2 wacheze ngoma za kienyeji ndo mjue ya nyumbani?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2010

    Mdau wa kwanza (Tue Jun 29, 12:48:00 PM,), acha kujishaua, HATER! kuiga kitu gani,,this song is a version of Hip Hop, and Hip Hop is universal..waanzilishi twawajua ni US, so kuna ubaya gani mtu akifanya muziki huo akiwaiga wamarekani?
    Stop HATING mayne, instead, you should appreciate the good work our bros. n sisters are doing back home. Production ya ukweli, video quality ya ukweli, atleast ungecomment wimbo sio mzuri tungekuelewa. Big up to JF na TID, na bongo flava kiujumla,pamoko.

    One,
    Mdau,US.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 30, 2010

    Nice chorus, nice video..but JF's flow sucks!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...