Utawala wa Urban Pulse unapenda kuwaletea exclussive behind the scenne kwa wadau wote wa libenekene kuhusu matayarisho na maandalizi ya Miss & Mr East Africa Uk 2010 yaliyofanyika katika kitongoji cha Edmonton, Ukerewe jumamosi 26.6.10

Fainali ya kuwania Taji la U Miss na U Mr East Africa UK litafanyika Jumamosi Julai 3, 2010 katika ukumbi wa Central Hall,Westminister, London

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2010

    eeh makubwa nina comment nyingi sana takujazia blog kaka misupu..
    all the best kwa wadada na wakaka

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2010

    I WOULD PREFER BEHIND THE SCENE RATHER THAN SCENNE, ANYWAY I'M NOT SURE OF WHAT TUO MENT.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2010

    Kumbe hata mimi naweza kua miss kwa mpango huu.Mwimbaji wa sierra leone kanywa hamira nini?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2010

    KAZI IPO KWELIKWELI. JE UZURI SI KIGEZO KIMOJAWAPO KWANI?AU NI YEYOTE ATAKAYEJITOKEZA?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2010

    SCENNE!!!!!!!!!!!!! WHAT IS THAT? KISWANGILISH?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2010

    exclussive!!!!!! ANOTHER SWANGILISH, BEBENI TU MABOX NA MUZEEKEE HUKO HUKO MUPELEKWE HOME CARE KWA MTINDO HUO.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 30, 2010

    Westminister!!!!!!! ANOTHER ONE, IT IS WESTMINSTER, TAKE CARE MAN

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 30, 2010

    WESTMINISTER???????? NO WAY, IT IS WESTMINSTER ACHA UVIVU NDO MAANA UMEANDIKA LIBENEKENE

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 01, 2010

    damn! this is watsup< big up east africans in UK..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...