Meneja Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando(kushoto) akimkabidhi, Mkazi wa Mbezi Beach, Josephine Mwanjela ufunguo wa gari jipya aina ya Suzuki Grand Vitara baada ya kushinda katika promosheni ya 'Jisajili na Ushinde' nyumba, gari na pikipiki.Hafla hiyo ya kukabidhi zawadi hizo kwa washindi imefanyika leo katika viwanja vya fukwe ya Cocobeach jijini Dar.
Gari lililokuwa likishindaniwa likiwa limepaki kabla ya kukabidhiwa kwa mshindi.Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ukishuhudia zawadi zikikabidhiwa kwa washindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2010

    ama kweli kiswahili lugha ya taifa!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2010

    Kwa nini probability ya hizi bahati nasibu huwa ni 100& kwa wakazi wa Dar hata washiriki wakiwemo wa mikoani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...