Mwakilishi wa IMF nchini Bw. David Robinson akitoa mada katika Mjadala wa uchumi na fedha uliofanyika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Kitivo cha Biashara na kukutanisha wasomi na wataalamu wa mambo ya biashara kutoka Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali za Kimataifa,washa hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Bw. Ephraim Mafuru ( kulia) akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa IMF nchini Bw.David Robinson jana mara baada ya kumalizika kwa mjadala wa mambo ya uchumi na fedha uliofanyika Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kitivo Cha Biashara na kushirikisha wataalamu mbalimbali wa masuala hayo na kujadiliana changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta za biashara, katikati Mkaguzi msaidizi wa
Ofisi ya Mahesabu ya serikali Bw.Richard Atanas.
Washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada kwa umakini zilizokuwa zikitolewa na wataalamu katika mjadala wa uchumi na fedha, Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, Kitivo Cha Biashara , ambapo wasomi na wahadhiri kutoka chuo hicho na wataalamu mbalimbali wa mambo ya biashara walikutana,na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2010

    Jamani, ni kweli Benki ya dunia = IMF? IMF ni Int'l Monetary Fund, na World Bank ni taasisi nyingine tofauti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...