DATE: SATURDAY 07. AUG.2010
TIME: 20.00-06.00
ADDRESS: ULVSUNDAVÄGEN 106
BROMMA(T-BAN BROMMAPLAN)
MAESTRO VUMBI & DEKULA BAND

DJ JESSICA & RICHY-BONGOLAND
ENTRY & BUFFEEE 100KR
HABARI ZAIDI INGIA


NJOO UKATIKE NGOMA YA KILO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani Ngoma ya Kilo inatuburudisha hapa Stockholm Sweden, kila baada ya Wiki moja hapo Klabu yetu Little Nairobi ao kwa jina lililo batizwa na PM wa Kenya "Raila Corner" Lilla Wien. Hongera sana Mkongwe wa Muziki Vumbi Dekula na bendi yooooote. NGOMA YA KILO big up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...