Hallo kaka michuzi,
Natumai unaendelea vizuri na shughuli zako za kulijenga taifa. ningependa unitangazie blog yangu ya
Natumai unaendelea vizuri na shughuli zako za kulijenga taifa. ningependa unitangazie blog yangu ya
ambayo inahusu maswala ya ku-share recipe za mapishi (home cooking).
Nitafurahi kama utanifikishia ujumbe wangu kwa wadau wote wanaopenda maswala ya maakuli ili waje kunitembelee na ku- share recipe zao pia.
Ahsante
Mdau Asha
Nitafurahi kama utanifikishia ujumbe wangu kwa wadau wote wanaopenda maswala ya maakuli ili waje kunitembelee na ku- share recipe zao pia.
Ahsante
Mdau Asha
Ukinipikia chakula na mafuta yanaelea bila ushirikiano na the msosi namna hiyo unanikumbusha 'uyenguyengu' wa boarding skuli!
ReplyDeleteAhsante sana kwa blog yako, nilikuwa natafuta jinsi ya kupika vitumbua maana mikate imenichosha. naomba uniandikie jinsi ya kupika maandazi ya kumimina maana nimejaribu hayatoki kama ya bongo au kuna kitu nakosea, huku USA kuna unga wa aina tofauti kwahiyo sijui upi ni mzuri.{ hakuna azamu}
ReplyDelete