Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. William Lukuvi akiwahutubia wakazi wa Mchikichini waliofika katika uzinduzi wa mradi wa maji safi na salama ujulikanao kama "HAKUNA MAJI,HAKUNA UHAI" ulioanzishwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL),Mchikichini Ilala leo.kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala,Mh. Leonidas Gama na kulia ni Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa TBL,Bw. Phocus Lasway ambaye alimuwakilisha mkurugenzi mkuu wa TBL.
Mkurugenzi wa mambo ya nje wa TBL,Bw. Phocus Lasway akiongea na wakazi wa Mchikichini leo baada ya uzinduzi wa mradi wa maji uliozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mchikichini,Bw. Said Walala akitoa shukrani kwa kampuni ya bia Tanzania (TBL) kwa kuweza kuwaletea mradi huo wa maji safi na salama katika eneo lake na maeneo ya jirani na hapo.
Mgeni rasmi, Mh. William Lukuvi akifungua pazia la jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi huo wa maji.
Mh. William Lukuvi akimtisha ndoo ya maji mkazi wa Mchikichini,bi. Ashura Kaganja mara baada ya uzinduzi huo.
Mh. Lukuvi akikinga maji.
wakazi wa Mchikichini pamoja na wanahabari wakimsikiliza mgeni rasmi,Mh. William Lukuvi leo.



Tanzania Breweries Ltd today launched a project to provide safe drinking water to the Mchikichini community of Dar es Salaam. This is a part of TBL’s NO WATER THERE IS NO LIFE “Hakuna Maji Hakuna Uhai” project in which TBL will invest 1.3 Billion Tanzania Shillings over a three-year period.

The whole amount of money will be used for rehabilitation and restore hand pumps which are not working due to defects.

Building and training people how to construct Rain Water Harvesting in public places eg schools, hospitals and also drilling of water boreholes. Moreover, to support the government through “National Rural Water Sector Strategic Plan” which is aiming at improving access to clean and safe water in rural areas.

As the project is still under preparation the criteria for small project funding in Tanzania will be communicated to the community.

Access to clean and safe water is a major problem in Tanzania. Many areas in the country have no access to sufficient water for either domestic or agricultural use. The Mchikichini area of Dar es Salaam is no exception.

Announcing the project in Dar es Salaam today, TBL’s Managing Director Robin Goetzsche said that he hoped this initiative by the company would alleviate many of the hardships being experienced by the Mchikichini community.

“Many people take water for granted and it is only when clean water is not available that they realize just how important a reliable supply of water is,” he said. “A lack of access to safe drinking water is a threat to public health and poverty reduction for many people. Through this investment we hope not only to supply clean and safe water but also to educate the community in sensible water management.”

The project is centered on the provision of safe drinking water from taps that will operate a specified times during the day. Mr. Goetzsche requested the local authority in the Mchikichini ward to establish a water committee in the area so as to have a system in place to manage the water project and the supply of water.

The Dar es Salaam Regional Commissioner, Honourable William Lukuvi said,” The government appreciates the efforts of private organizations joining hands with government to improve the lives of the people of Tanzania and thereby providing a means to eradicate poverty in the country.

TBL management should know that, this project will not only serve the people of Mchikichini but also the two schools in the area.” The people from the Karume market will also benefit, he said.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. huyo jamaa ankitambi anakula sana vat

    ReplyDelete
  2. Hayo maji ukinywa unalewa.

    ReplyDelete
  3. itakuwa Bora hizo bomba zikitoa Beer

    ReplyDelete
  4. jioni zinatoa bea baridi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...