Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani,Mh.Mwanaid Maaja akisalimiana na baadhi ya viongozi na wafanyakazi wa ubalozini hapo pindi alipiwasili katika ofisi za ubalozi huo zilizopo Washington DC,Marekani.
Balozi Mwanaid Maajar akiwa katika mazungumzo na baadhi ya wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,alipowasili rasmi katika ofisi yake hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. The Lord (My God) shall fight my case, and I SHALL HOLD MY PEACE.

    ReplyDelete
  2. SHE IS SENT HERE FOR ONE SOLELY REASON AND THAT IS TO ESTABLISH CCM GROUNDS AMONG TANZANIANS WHO LIVES HERE AND IF THAT WILL BE THE CASE THEN YOU GOT NO BACK FROM ME MAM

    ReplyDelete
  3. Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Karibu ukurubie Mama.

    ReplyDelete
  4. KIKWETE JUU, JUU, JUU ZAIDI KWA KUTOENDEKEZA UDINI NCHINI KWETU

    ReplyDelete
  5. Wishing you all the best and pray to the Almighty God to bless you always and continue to give you a wise and discerning heart. Miss you.

    ReplyDelete
  6. UK tunakumis sana mama. Tunatamani ungukuwa hapa zaidi na zaidi. Hakika utumishi wako ni mzuri kwa nchi yetu.

    ReplyDelete
  7. Kama kawaida Sefue kaondoka bila hata neno la shukrani kwa watanzania na Balozi mpya atakuja na hatutamuona tena mpaka siku anaondoka. Hivi hawa mabalozi wanakuja huku kujumuika na wafanyakazi wa ubalozi au watanzania wote tunaoishi hapa marekani. Shida kwani ni nini? Sisis hatutaki chakula cha bure kupika tunajua na hatumind kuleta vyakula. It's all about unity na umoja haswa tukiwa huku nje. Na uhakika watanzania wengi hawakupata nafasi hata ya kumfahamu Balozi wetu au mama balozi wetu. Maana kila tukio linaishia ubalozini. Watanzani wengi tumejiandikisha hapo ubalozini with our phone nubers and anuani it's just simple kutuma kutujumuisha kwenye mambo muhimu angalau viongozi wetu kama Rais au Rais wa Zanzibar au makamu wanapokuja huku tuweze kuwa na maongezi muhimu. Kuna Madaktari, manurse, waalimu from high schools to college, wachumi na fani mbali mbali kuna mambo yanaweza kufanyika kuendeleza au kutoa mawazo kuhusu issue muhimu zinazohusu nchi yetu. Hapa DC. hakuna mawasiliano kabisa baina ya ubalozi na watanzania tunaoishi hapa na tunakuomba Mama Maajar ulipe suala hili kipaumbele. Tanzania community nadhani ilikwisha kufa since janabi na Balozi Nyanganyi aondoke. PLEASE WE NEED CHANGES IN DC HATUHITAJI PARTY ZENU BUT AT LEAST SHEREHE ZA KIHISTORIA ZIKUMBUKWE KWA SOMETHING. WATOTO WENGI WALIOZALIWA HUKU I'M SURE HAWAJUI HATA NCHI YAO ILIPATA UHURU LINI NA NI MUUNGANO WA NCHI GANI ILIZAA TANZANIA. THIS IS A SHAME!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...