JK akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kilombero
Bw. Abdul Mtekete katika mkutano wake wa kampeni huko Mlimba, Morogoro
JK akiongea na mlemavu wa mikono na miguu
Bi. Sijali Chesko mara baada ya kuwasili mjini Ifakara kwa mkutano wa kampeni

Afisa msaidizi wa JK Bw. Fyataga akipata maelezo toka kwa Mzee Mohamed, Mwenyekiti wa watu wanaoishi kwenye mazingira magumu wa Ifakara baada ya JK kuagiza Bi Sijali Chesko asaidiwe
JK akisalimiana na wananchi kibao waliojitokeza kumsikiliza huko Mlimba
JK akiwasili Ifakara na kupokelewa kwa shangwe
Nyomi huko Mlimba kwenye mkutano wa kampeni wa JK
Ifakara palikuwa hapatoshi
shangwe na nderemo vilimlaki JK Ifakara
JK akisalimiana na mtoto kwa staili ya gonga muda mfupi baada ya kuwasili kata ya Mlimba, mkoani Morogoro na kuongea na wananchi katika mikutano ya kampeni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

 1. JK watu wanakupenda sana lakini umezungukwa na watu ambao si rizki, Na kwa bahati mbaya unawakumbatia ile mbaya

  ReplyDelete
 2. JK watu wanakupenda sana lakini umezungukwa na watu ambao si rizki, Na kwa bahati mbaya unawakumbatia ile mbaya

  ReplyDelete
 3. Nahudhuria sana kampeni zenu na nimekusanya kanga za kuogea na tisheti za kulalia but kura yangu hupati NG'O

  ReplyDelete
 4. watu wanampenda sana ? Watu ngani.
  yeye kama raisi kama amezungukwa na watu ambao si risiki kwa nini anawakumbatia bado.

  ReplyDelete
 5. Beautiful, Absolutely Beautiful.... Go Go Go JK.....

  ReplyDelete
 6. Mr President kwamba wewe ni mtu wa watu, hilo hakuna hata mtu mmoja anayekufikia.WEWE NI RAIS WETU.
  PAMOJA TUNASONGA MBELE.
  MUNGU AKUONGOZE NA KUKUPA HEKIMA ZAIDI.

  ReplyDelete
 7. HONGERA JK. ENDELEA KUNADI SERA. ACHANA NA WANAOJADILI WATU. HAO WANAOJADILI WATU WANA FIKRA FINYU. (SIMPLE MINDS ALWAYS DISCUSS PEOPLE)

  ReplyDelete
 8. mzee amejitahidi and kampenzi za danganya toto hapendwi mtu hapa

  wana wakati mgumu sana, we are real tired of them......

  ReplyDelete
 9. Hiyo picha ya JK na mlemavu wa mikono na miguu Salma ameiona? Inaweza kuleta balaa hiyo.

  ReplyDelete
 10. JK hajazungukwa na watu ambao sio rizki. Amejizungushia watu ambao sio rizki. Ana mamlaka ya kunipa mimi ubunge na kuwatosa hao wanaodhaniwa kwamba sio rizki.

  ReplyDelete
 11. kwani we michuzi vp? Mbona hutuonyeshi yanayofanywa na vyama vingine? Huo ni ubaguzi wa kisiasa na kamwe haujengi. U should learn how to balance things. Eboooooooooooo.

  ReplyDelete
 12. wa Tarehe Sat Oct 23, 06:19:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous, kwani wewe ndie Salma? Hayakuhusu hata kidogo!

  ReplyDelete
 13. ..........Ankal nakuulizaga kila siku....umeahidiwa yule Daktari wa Meno! hizi juhudi zakko si za kwaida HATA UKUU WA MKOA HAUKUTOSHI!

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...